Zelensnky aeleza malengo yake kivita ni pamoja na kuikomboa Crimea kuirudisha kwenye himaya yake

Zelensnky aeleza malengo yake kivita ni pamoja na kuikomboa Crimea kuirudisha kwenye himaya yake

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Akihojiwa na vyombo vya habari Raisi wa Ukraine Zelensnky amesema malengo ya sasa kivita kwa Ukraine ni kwanza kuzuia majeshi ya Urusi kusonga mbele ndani ya Ukraine na la pili ni kuyarudisha maeneo ya ndani ya Ukraine yanayoshikiliwa na Urusi na Tatu kukomboa maeneo yote ambayo Urusi iliyachukua huko nyuma ikiwemo Crimea nk

"As Russia continues its attacks on Ukraine, President Volodymyr Zelensky said that they are seeking full restoration of territory - including Crimea.

Speaking at the Wall Street Journal's CEO council summit, Zelensky mentioned three top goals: to halt Russia's advance, reclaim territory and restore Ukraine's entire territory'
 
Kuna watu watakuja na matusi hapa lkn bado Hali halisi itabaki palepale kuwa Russia ameenda Ukraine kuwapa ushindi WA bure.ukiona mpaka zelensky ameanza kujitapa hivi ujue kuna viashiria vya ushindi.

leo kuna tetesi kuwa kuna warship nyingine ya Russia imezamishwa Huko black sea, ikiachilia mbali hujuma zinazoendelea za kulipua maeneo muhimu ya silaha za Russia zilizopo mipakani.

more sanctions on Russia... support more heavy weapons to Ukraine
 
Hiyo ya pili ni ipi?
Ya pili kuwaa vita ilivyoanza kuna maeneo Russia kayateka anayakalia na majeshi yake ikiwemo hapo Mariupol alikozingira kiwanda cha chuma

Kwa hiyo lengo la pili ni kuhakikisha popote Jeshi la Urusi lipo kwa sasa wanaondolewa
 
Ni maneno ya kishujaa ambayo kila kiongozi uwa anayatumia.mpaka crimea irudi huyo Mrusi atabaki anakuangalia tu wakati nyuklia zipo
Kuna watu watakuja na matusi hapa lkn bado Hali halisi itabaki palepale kuwa Russia ameenda Ukraine kuwapa ushindi WA bure.ukiona mpaka zelensky ameanza kujitapa hivi ujue kuna viashiria vya ushindi.

leo kuna tetesi kuwa kuna warship nyingine ya Russia imezamishwa Huko black sea,ikiachilia mbali hujuma zinazoendelea za kulipua maeneo muhimu ya silaha za Russia zilizopo mipakani.
more sanctions on Russia... support more heavy weapons to Ukraine
 
Akihojiwa na vyombo vya habari Raisi wa Ukraine Zelensnkyy amesema malengo la sasa kivita kwa Ukraine ni kwanza kuzuia majeshi ya Urusi kusonga mbele ndani ya Ukraine na la pili ni kuyarudisha maeneo ya ndani ya Ukraine yanayoshikiliwa na Urusi na Tatu kukomboa maeneo yote ambayo Urusi iliyachukua huko nyuma ikiwemo Crimea nk

"As Russia continues its attacks on Ukraine, President Volodymyr Zelensky said that they are seeking full restoration of territory - including Crimea. Speaking at the Wall Street Journal's CEO council summit, Zelensky mentioned three top goals: to halt Russia's advance, reclaim territory and restore Ukraine's entire territory'
Ndio mana sasa Putin ameona hakuna mchezo tena May 9 huenda akatangaza vita kamili badala ya ile anayoiita operation kufeli kuliko kufeli., ni tofauti kabisa, russia ili-take it easy. Urusi watafurushwa Ukraine kama kuku na watarudi kwao wakajipange tena,
 
Hawajui hata sisi zamani tuliamini hakuna mbabe wa Vita zaidi ya Russia ila baada ya siku kusonga mbele tunamuona Russia ni wa kawaida, sana sana hizo nukes alizonazo.

Hii game itamuumbua zaidi Putin.
Afya ya Putin imeshakuwa ni mgogoro nayo kwasababu Parkinson imekata mwili wake kwelikweli..
Western countries wanachota ni kurefusha hii vita ifike mpaka December na majibu juu ya vikwazo vya uchumi yataanza kujibu kupitia wananchi wake mwenyewe
 
... tuleteeni picha nasi tumtukuze Mungu kwa matendo yake makuu! Tufunge na kuomba kwa ajili ya taifa na watu wa Ukraine.
Sisi tuliomba toka mwanzo wa vita kuwa Mungu awashindie hii vita wayahudi wa Ukraine chini ya kiongozi wao Myahudi Zelensnkyy na Mungu.alishajibu kusema watashinda Ukraine

Niliposti humu sema moderators hata sijui ule uzi wangu waliutupa wapi
 
Kuna watu watakuja na matusi hapa lkn bado Hali halisi itabaki palepale kuwa Russia ameenda Ukraine kuwapa ushindi WA bure.ukiona mpaka zelensky ameanza kujitapa hivi ujue kuna viashiria vya ushindi.

leo kuna tetesi kuwa kuna warship nyingine ya Russia imezamishwa Huko black sea,ikiachilia mbali hujuma zinazoendelea za kulipua maeneo muhimu ya silaha za Russia zilizopo mipakani.
more sanctions on Russia... support more heavy weapons to Ukraine
Russia atajutia hivi vita...ni muda tu..Urusi iliwekeza kwenye makombora ikadharau askari...sasa makombora wanayo na vita haiendi, Majenerali wanauliwa...
 
Hawajui hata sisi zamani tuliamini hakuna mbabe wa Vita zaidi ya Russia ila baada ya siku kusonga mbele tunamuona Russia ni wa kawaida
Umenikumbusha msemo wa kikurya usemao mtoto huamini kuwa baba yake ndie mwenye nguvu kuliko yeyote kijijini sababu anapiga wao na mama yao .Imani hiyo huyeyuka Siku wakimkuta baba yao anapata kipigo cha mbwa koko kutoka kwa mwanaume mwenzie waliyegombana kwenye pombe na kumkuta analia kama mtoto kwa kipigo

Ndipo anajua aaah kumbe nilichokuwa nikiamini sicho baba naye boya tu
 
Back
Top Bottom