dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... shukrani sana Mkuu. Seeing is believing. Imekaa vizuri sana! Mungu aendelee kusimama na Ukraine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majeshi ya NATO yalishafanya mazoezi ya kivita ya namna kujilinda na kupambana na silaha za nyukilia endapo Russia atazitumiaNi maneno ya kishujaa ambayo kila kiongozi uwa anayatumia.mpaka crimea irudi huyo Mrusi atabaki anakuangalia tu wakati nyuklia zipo
... siku mwendawazimu Putin atakapojaribu kuwasha nyuklia for sure Moscow, Petersburg, na miji mingine itageuka majivu. Asidhani nukes anazo yeye tu; na wengine wanazo na options zote zimekamilika. Anasubiriwa yeye tu; hata Biden juzi kati alisema wako tayari kwa lolote analotaka kufanya huyo mwehu!Majeshi ya NATO yalishafanya mazoezi ya kivita ya namna kujilinda na kupambana na silaha za nyukilia endapo Russia atazitumia
Teknolojia ziko juu sana sasa hivi
Unaweza jaribu washa nyukilia watu wakazima kwa remote tu!!
Ndo maana sometimes nakuona mweupe kichwaniMajeshi ya NATO yalishafanya mazoezi ya kivita ya namna kujilinda na kupambana na silaha za nyukilia endapo Russia atazitumia
Teknolojia ziko juu sana sasa hivi
Unaweza jaribu washa nyukilia watu wakazima kwa remote tu!!
Kwanza hiyo cremia haiwezi kurudi Ukraine kamwe hawana uwezo huo Sasa hivi tunaongeza Donbass na miji ya mashariki ambayo tayari IPO chini ya warusiAkihojiwa na vyombo vya habari Raisi wa Ukraine Zelensnky amesema malengo la sasa kivita kwa Ukraine ni kwanza kuzuia majeshi ya Urusi kusonga mbele ndani ya Ukraine na la pili ni kuyarudisha maeneo ya ndani ya Ukraine yanayoshikiliwa na Urusi na Tatu kukomboa maeneo yote ambayo Urusi iliyachukua huko nyuma ikiwemo Crimea nk
"As Russia continues its attacks on Ukraine, President Volodymyr Zelensky said that they are seeking full restoration of territory - including Crimea.
Speaking at the Wall Street Journal's CEO council summit, Zelensky mentioned three top goals: to halt Russia's advance, reclaim territory and restore Ukraine's entire territory'
... Kwa Mtogole & Co; watakuambia ni PROPAGANDA. Ndicho walichobaki nacho kwa sasa.Duuu hii kweli jamiiforum.....asante sana kiongozi
Kutangaza vita kamili maana yake operation imefeli, au tafsiri ya kawaida haiwezi kuzaa matunda.Ndio mana sasa Putin ameona hakuna mchezo tena May 9 huenda akatangaza vita kamili badala ya ile anayoiita operation kufeli kuliko kufeli., ni tofauti kabisa, russia ili-take it easy. Urusi watafurushwa Ukraine kama kuku na watarudi kwao wakajipange tena,
Na itaenda mpaka mwakani, japo hatujajua vita kamili alotangaza putin italeta nini ndani ya ukraine.Afya ya Putin imeshakuwa ni mgogoro nayo kwasababu Parkinson imekata mwili wake kwelikweli..
Western countries wanachota ni kurefusha hii vita ifike mpaka December na majibu juu ya vikwazo vya uchumi yataanza kujibu kupitia wananchi wake mwenyewe
Majeneral wote wanaogopa kuingia Ukraine pamoja na mafsa wengine.Russia atajutia hivi vita...ni muda tu..Urusi iliwekeza kwenye makombora ikadharau askari...sasa makombora wanayo na vita haiendi, Majenerali wanauliwa...
HahahahahahahahaUmenikumbusha msemo wa kikurya usemao mtoto huamini kuwa baba yake ndie mwenye nguvu kuliko yeyote kijijini sababu anapiga wao na mama yao .Imani hiyo huyeyuka Siku wakimkuta baba yao anapata kipigo cha mbwa koko kutoka kwa mwanaume mwenzie waliyegombana kwenye pombe na kumkuta analia kama mtoto kwa kipigo
Ndipo anajua aaah kumbe nilichokuwa nikiamini sicho baba naye boya tu
Unajuaje umewahoji?Majeneral wote wanaogopa kuingia Ukraine pamoja na mafsa wengine.
Hiyo ni maana yakoKutangaza vita kamili maana yake operation imefeli, au tafsiri ya kawaida haiwezi kuzaa matunda.
Amen 🙏... tuleteeni picha nasi tumtukuze Mungu kwa matendo yake makuu! Tufunge na kuomba kwa ajili ya taifa na watu wa Ukraine.
Uko sahihi Russia lengo lao kubwa lilikuwa ku demilitarize uwezo wa kijeshi wa Ukraine na Kuua capability ya kijeshi ya Ukraine isiwe na uwezo kupiganaKutangaza vita kamili maana yake operation imefeli, au tafsiri ya kawaida haiwezi kuzaa matunda.
Zile laser weapons zitafanya kazi huko Ukraine. Wakati tunafikiria Ukraine kushushiwa Nuclear, tufikirie pia huko Moscow vitapelekwa vitu gani.... siku mwendawazimu Putin atakapojaribu kuwasha nyuklia for sure Moscow, Petersburg, na miji mingine itageuka majivu. Asidhani nukes anazo yeye tu; na wengine wanazo na options zote zimekamilika. Anasubiriwa yeye tu; hata Biden juzi kati alisema wako tayari kwa lolote analotaka kufanya huyo mwehu!
Kwani warusi hawana laser weapon hata hivyo sijui unafikia Kwa nini kwa sababu Nuclear ni silaha ambazo zipo Kwa ajili ya NATO.yaani zitatumika Kwa ajili ya uingereza Na marekani.Samart 1 Tu inaweza kuangamiza hicho kisiwa kimoja cha uingereza.Zile laser weapons zitafanya kazi huko Ukraine. Wakati tunafikiria Ukraine kushushiwa Nuclear, tufikirie pia huko Moscow vitapelekwa vitu gani.
Warusi wanaweza kuangamiza hicho kisiwa chenu cha uingereza kirahisi Sana.View attachment 2211082Zile laser weapons zitafanya kazi huko Ukraine. Wakati tunafikiria Ukraine kushushiwa Nuclear, tufikirie pia huko Moscow vitapelekwa vitu gani.
Vikwazo walisema may ndo vitaan a kumtafuna Putin na Urusi. Hivyo wananchi watarise kumuangusha kuhani Putin. Sawa naona washasogeza kidogo mpaka DecemberAfya ya Putin imeshakuwa ni mgogoro nayo kwasababu Parkinson imekata mwili wake kwelikweli..
Western countries wanachota ni kurefusha hii vita ifike mpaka December na majibu juu ya vikwazo vya uchumi yataanza kujibu kupitia wananchi wake mwenyewe