Justin Dimee
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,146
- 248
Namzungumzia mtangazaji wa kipindi cha supermix kinachorushwa hewani na EARadio.Nimekuwa msikilizaji wa kipindi hiki kwa muda mrefu toka kilipokuwa kinaendeshwa na Musa.Ninachokiona kwenye utangazaji wa Zembwela ni sawa sawa na ile style ya mtangazaji wa people station ambae haipiti mwezi watu humzodoa.Zembwela jirekebishe majibu ya mkato,kejeli na dharau siyo kabisa.Pia kujifanya kila kitu unajua wewe tu wengine mafisi pia sio.Muungwana ni vitendo badilika.

Maajabu hayaishi duniani.wanamuita rais wao
Kila mtu ana mapungufu yake yaani hata baba yako anayo ya kwake tena yanaweza kuwa makubwa kuliko ya zembwela. Ukibisha utakuwa una matatizo!
Maajabu hayaishi duniani.
teh teh teh,,,kifupi huwezi pendwa na wote Mungu tu mwenyewe kina Kiranga hawamjui wala kutaka kumsikia japo itakua Binadam mwenzako? We kama humpendi unapita hiviiiii
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Zembwela ninalolijua ni dansi la Marquis du Zaire.
Liingine photocopy.