Zembwela amewezaje kuwa Mwenyekiti wa waandishi wa habari katika Kikao cha Makonda Arusha badala ya Kikeke na Ivona Kamuntu?

Zembwela amewezaje kuwa Mwenyekiti wa waandishi wa habari katika Kikao cha Makonda Arusha badala ya Kikeke na Ivona Kamuntu?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nadhani kuna shida mahali kwenye tasnia hii. Zembwela ni wale comedian katika habari. Ivona Kamuntu na Salim Kikeke ni magwiji katika tasnia. Ikawaje Zembwela ambaye elimu yake katika habari haijulikani, akawa Mwenyekiti wao?

Hii tasnia haina seniority?

Maswali yaliyokuwa yanaulizwa pia yalianiacha na maswali badala ya majibu. Ni mkutano ambao haukuwa na mpangilio. Hakuna presentation ya utekelezaji iliyofanywa kabla ya maswali.

Bado kuna kazi ya kufanya katika kuwapika waandishi wetu.

Anyway, nadhani waandishi hao waliusoma mchezo japo kwa kuchelewa, wakaona hata kuuliza maswali ni upuuzi, wakaacha.
 
Back
Top Bottom