Zembwela amewezaje kuwa Mwenyekiti wa waandishi wa habari katika Kikao cha Makonda Arusha badala ya Kikeke na Ivona Kamuntu?

😂 Eh bhana eee jamaa umefunguka knoma tena kwa hasira 😂 kitu kdg tuu lkn umetokwa na povu la kufulia nguo za mafundi magari
 
Hata wandishi wa habari walio kwenda kusikiliza mwendawazimu makonda nao ni wendawazimu. Hivi kweli jambazi ambaye hajakamatwa anaweza kuitisha press ili ahojiwe kama ni jambazi au sio jambazi na watu wenye akiri wakakubali kwenda kumuhoji?
Hajakamatwa kwa sababu hakujathibitishwa hayo madai yako ya ujambazi, sasa ww mwanaume nenda ukathibitishe na uache kujifanya hodari wa nyuma na keyboard
 

Wenye akili wako siti za nyuma...mbele sijui amekaa nani?
 
Ni utapeli na usanii kama usanii mwingine,vijana wana Masters za Journalism,Media Studies,Mass Communication nk lakini wapo benchi,lakini matapeli na vilaza kama Zembwela ambao hata Certificate wala D mbili hawana eti wanapewa nafasi,Nchi ya kichoko sana hii
 
Uandishi wa Habari umekuwa kama Wizara ya Afya ambayo imekua ikiongozwa na watu wasio na Taaluma husika.
 
Alikuwa ni Mwenyekiti anayefanana na huyo mwenye Mkutano. Mtu kama huyo alihitaji Mwenyekiti yeyote tu kusimamia mkutano wake na bado ingekuwa tu sawa.

Ova
 
Huna akili...
 
Hajakamatwa kwa sababu hakujathibitishwa hayo madai yako ya ujambazi, sasa ww mwanaume nenda ukathibitishe na uache kujifanya hodari wa nyuma na keyboard
Ukimwaga damu ya mtu asiye kuwa na hatia hata usipo kamatwa huwezi kuwa binadamu tena. Hata ukiangaria makoda ni li mwilimwili tu lakini hana utu tena. Anajaribu kuwa public kila mara sio kwasababu anapenda ni kwasabu kaisha poteza nafusi . Kila siku anapigana vita akiwa peeke yake chumbani. Akiwa kwnye vyombo vya habali ndio anajuwa kuwa yupo hai. Ndio maana yuko tayari kufanya chochote ili asikie akitajwa.. watu walio poteza nafusi huwa wanjaribu kuwa public mara kwa mara . Kwa sababu hawana uwezo tena wa kuwa kama binadamu.. hivi wewe fikiria kila siku unajitahidi kuzuwia uovu na picha za ukatil ulio wafanyia binadamu wezako visitoke nje? Kila ukiongea unatamani useme maovu uliyo watendea binadamu wezako lakini unajizuwia. . Nafusi yako inakusuta inakwambia acha kudanganya sema tu ukweli uliuwa watu wengi , anajikuta aongea vitu vigine vyepesi visito anabaki navyo ndani.
 
Zembwela ni mtangazaji wa redio
 
Zembwela, sio professional journalist, ni mpiga makelele tu, kama wenzie Hando, kitenge, ni wapuuzi, Fulani kama baba levo,Mkandamizaji, nk,
Waandishi wa habari, ni Doto bulendu, Mtoz Nyanda, Nk
 
Zembwela ni mmoja wa wale machawa wa DP World waliowakodi kuwapamba hapa nchini. Hana shida na professionalism, yeye anaangalia maokoto TU. Wala simlaumu. Inalipa sana kuwa chawa siku hizi.
Una chuki binafsi , kwani Dp world aliipamba peke yake??

Sometimes kubali kutokubaliana, yeye aliitaka kwa sababu zake na wewe huitwki kwasababu zako.
 
Bora hata Charles williuam au odemba. Japo hata angekuwa Jenerali ulimwengu isingesaidia maana yale mwaswali yalikuwa kwenye script kutoka offisi ya RC. mtu ulipwe posho, chakula, hotel na usafiri kutoka dar had Arusha utaenda Kuhoji maswali gani? umkere boss unyimwe posho au umteknye kidogo acheku uongezewe posho
 
Zembwela, sio professional journalist, ni mpiga makelele tu, kama wenzie Hando, kitenge, ni wapuuzi, Fulani kama baba levo,Mkandamizaji, nk,
Waandishi wa habari, ni Doto bulendu, Mtoz Nyanda, Nk
Nyanda naona anakuwa chawa kwa spidi kubwa. Ila umemlipa mpaka kajenga saloon Igoma, na akafungua kampuni ya microfinance
 
Lile lilikuwa ni kusanyiko la wahuni tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…