Antivirus ilitoka kabla sugu hajawa mbunge
Damn bullshit.Ni wakati anaielezea Antivirus mixtape. Amejiuliza inakuwaje mbunge anapata muda wa kutunga matusi kwa ajili ya kuwatukana watu. Je jimbo lake la Mbeya limekamilika kwa mahitaji yake hadi anapata muda wa ziada kama huo.

Ni wakati anaielezea Antivirus mixtape. Amejiuliza inakuwaje mbunge anapata muda wa kutunga matusi kwa ajili ya kuwatukana watu. Je jimbo lake la Mbeya limekamilika kwa mahitaji yake hadi anapata muda wa ziada kama huo.
whos is Zembwela by the way? mtu wa kufanya watu wacheke, sasa hatucheki akome tuone sijui atakula nini yeye na mkewe. mpelekee hii info maana wewe ya yeye you belong in the same group.Ni wakati anaielezea Antivirus mixtape. Amejiuliza inakuwaje mbunge anapata muda wa kutunga matusi kwa ajili ya kuwatukana watu. Je jimbo lake la Mbeya limekamilika kwa mahitaji yake hadi anapata muda wa ziada kama huo.

Anatafuta umaarufu. Anataka kujiingiza.Shida yake na yy achanwe kwenye hiyo mixtape ili apate pa kutokea. Mngese tu.anaijua mbeya yy? Akagombee hata uenyekiti wa shina kama atapata.

Watu wanachukulia simple simple tu! Hizi propaganda hazifui dafu lazima wezi wachanwe.

zaidi zaidi kujua anapata wapi muda apite huku www.suguformbeya.blogspot.com

Mbona Zembwela hujiulizi viongozi mafisadi wanapata wapi muda wa kuiba?
Zembwela ni nani?Ni wakati anaielezea Antivirus mixtape. Amejiuliza inakuwaje mbunge anapata muda wa kutunga matusi kwa ajili ya kuwatukana watu. Je jimbo lake la Mbeya limekamilika kwa mahitaji yake hadi anapata muda wa ziada kama huo.

Nilicheka sana nilipoiona ile thread inaitwa "Zembwela zuzu"

wewe nae!!
Hebu sikiliza hili mbupu we dogo halafu useme matusi yako wapi hapo? View attachment 15.BADO NAUA.mp3

Sheria za JF haziruhusu ku-upload kitu chochote chenye content ya matusi
Ni wakati anaielezea Antivirus mixtape. Amejiuliza inakuwaje mbunge anapata muda wa kutunga matusi kwa ajili ya kuwatukana watu. Je jimbo lake la Mbeya limekamilika kwa mahitaji yake hadi anapata muda wa ziada kama huo.
Jilaumu kwa kupewa kichwa kizito kwa kufikiri. Mbona wenzio wenye akili wana changia?