Zembwela ni mtangazaji asiyefungamana na upande wowote ule, mleta nyuzi anaweza akawa anamchukia zembwela kwa kuwa yupo upande fulani ambao umekua ukikosolewa na huyu mwandishi , mleta mada inabidi atuambie yeye MAGAMBA DAMUNIIII AU MAKOMBATI YA KAKI DAMUNI , Mwisho zembwela usikate tamaa kwani msema ukweli ndo yule ambaye kwa HAPA TANZANIA, anakufa mapema, anaitwa majina mengi ya kushangaza kama mropokaji, mchochezi, mnafiki, mpiga makelele, mpinga maendeleo na n.k. CHUNGUZA KWA MAKINI WATU wanaomchukia zembwela, mf: mama anaisaporty magamba na huwa anasema hamuelew zembwela kazi anyofanya kisa tu huwa anaikosoa serikali, KIJANA mmoja wa hapa mtaan anaisaport CDM huwa hampendi jamaa kisa mara nyingi amekua na mtazamo hasi juu ya hiki chama hasa kwa viongoz wake Kama Mbowe , Mnyika Na N.k Sasa Mleta Uzi Tuambie Upoupande Gan MAGAMBA AU KAKI?