Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Habari wakuu,
Nimekuwa msikilizaji mzuri wa kipindi cha supa mix cha East africa Radio kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 7 mchana. Kipindi hiki kinatangazwa na Zembwela (mchekeshaji wa zamani) na mwanadada mwingine.
kinachonikera katika kipindi hiki ni upotoshaji mkubwa wa Zembwela, ambaye siamni kama ana elimu nzuri (kulingana na hoja zake) zaidi ya kuongea mambo asiyoyajua hovyo hovyo. Kazi yake kubwa ni kukebehi wabunge, serikali za mitaa n.k. bila kutoa uchambuzi yakinifu. Utangazaji huu haufai kwa maendeleo ya taifa kwani mtangazaji anatakiwa kuchambua jambo ambalo ana ufahamu nalo, na iwapo hana ufahamu wa kutosha basi aalike wataalamu wa fani husika ili watoe habari kwa kina.
Zembwela anaropoka ovyo kiasi cha kukera wasikilizaji makini,
Rai - Zembwela ulikuwa mchekeshaji mahiri, usikurupukie fani ambazo una uelewa finyu. Nakushauri uwe na busara ukufahamu kuwa unasikiliza na watanzania wenye uelewa tofauti, punguza uropokaji usio na tija.
Sasa hapo wewe hujaelewa nini....zamani RTD walikuwa na mda wa nusu saa ....wa kipindi cha mziki na matangazo....sasa kama talk show mziki na matangazo ni mengi kuliko talk yaenyewe...si bora uite kipindi cha mziki na matangazo....sijui kama utaelewa logic yangu maana huku jf napo...!!Mkuu hiyo username yako ni Dr.kweli au ile ya kupewa kama Mkuu wa Kaya? Maana napata tabu kuelewa uwezo wako,,hao wadhamini ndio wanaoendesha hicho kipindi kwahiyo bila wao huwezi kumsikia Zembwela wa Irene.
Habari wakuu,
Nimekuwa msikilizaji mzuri wa kipindi cha supa mix cha East africa Radio kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 7 mchana. Kipindi hiki kinatangazwa na Zembwela (mchekeshaji wa zamani) na mwanadada mwingine.
kinachonikera katika kipindi hiki ni upotoshaji mkubwa wa Zembwela, ambaye siamni kama ana elimu nzuri (kulingana na hoja zake) zaidi ya kuongea mambo asiyoyajua hovyo hovyo. Kazi yake kubwa ni kukebehi wabunge, serikali za mitaa n.k. bila kutoa uchambuzi yakinifu. Utangazaji huu haufai kwa maendeleo ya taifa kwani mtangazaji anatakiwa kuchambua jambo ambalo ana ufahamu nalo, na iwapo hana ufahamu wa kutosha basi aalike wataalamu wa fani husika ili watoe habari kwa kina.
Zembwela anaropoka ovyo kiasi cha kukera wasikilizaji makini,
Rai - Zembwela ulikuwa mchekeshaji mahiri, usikurupukie fani ambazo una uelewa finyu. Nakushauri uwe na busara ukufahamu kuwa unasikiliza na watanzania wenye uelewa tofauti, punguza uropokaji usio na tija.
Tatizo vyombo vya habari vinashindwa kuajiri wasomi kwa sababu ya kupenda mtelemko,wanaishia kuchukua makanjanja wa mtaani,pale alipo Zembwela sina uhakika kama ana mkataba wa ajira.
Zimbwela ni mropokaji,na hana elimu ya kutosha na hakijui anchoongea,kila anachoongea huwa anaropika,ni moja ya watu wanaokariri na kufanyia kaz maneno ya vijiweni.cha ajabu anadhani ndo sifa kukashfu na kuongea habar za siasa nakati hata sheria hajui.kuna mwenzake anaitwa kibonde,sasa bora zembwela kibonde nahisi hata akili yake ni kama jina lake anajipendekeza kwa serikali ambayo hata haimjali.na kila kitu ye anapinga
bora nibaki na radio tumaini tu
mkuu tatizo za redio zetu ndo hizi wanaajiri kisaa umaarufu,nilienda east africa na degree yangu ya mass communication kilicho nisibu acha tu.kachukuliwa ndugu doh salalaa ila wanaharibu hii fan kabisa kwa kubebanaHabari wakuu,
Nimekuwa msikilizaji mzuri wa kipindi cha supa mix cha East africa Radio kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 7 mchana. Kipindi hiki kinatangazwa na Zembwela (mchekeshaji wa zamani) na mwanadada mwingine.
kinachonikera katika kipindi hiki ni upotoshaji mkubwa wa Zembwela, ambaye siamni kama ana elimu nzuri (kulingana na hoja zake) zaidi ya kuongea mambo asiyoyajua hovyo hovyo. Kazi yake kubwa ni kukebehi wabunge, serikali za mitaa n.k. bila kutoa uchambuzi yakinifu. Utangazaji huu haufai kwa maendeleo ya taifa kwani mtangazaji anatakiwa kuchambua jambo ambalo ana ufahamu nalo, na iwapo hana ufahamu wa kutosha basi aalike wataalamu wa fani husika ili watoe habari kwa kina.
Zembwela anaropoka ovyo kiasi cha kukera wasikilizaji makini,
Rai - Zembwela ulikuwa mchekeshaji mahiri, usikurupukie fani ambazo una uelewa finyu. Nakushauri uwe na busara ukufahamu kuwa unasikiliza na watanzania wenye uelewa tofauti, punguza uropokaji usio na tija.
Matola una akili nyingi sana...
mkuu tatizo za redio zetu ndo hizi wanaajiri kisaa umaarufu,nilienda east africa na degree yangu ya mass communication kilicho nisibu acha tu.kachukuliwa ndugu doh salalaa ila wanaharibu hii fan kabisa kwa kubebana
Zembwela aunganishwe kwenye kundi la Comedy pamoja na kina Bambo kule ndiyo kwenye Talent yake, tusipende kulazimisha fani.
Mtu anaropoka tu mwanzo mpaka mwisho wa kipindi halafu panatokea watu hapa eti mnamsifia!! labda ninyi ni Waswazi wenzake ndio maana anawakonga nyoyo, kwangu mimi Zembwela ni useless.
Sintoshangaa wengine nikisikia mnapendekeza awe Mbunge maana anasema ukweli, kama ukweli huwa unaongelewa bila logic na mpangilio basi Baadhi ya Watanzania wenzetu mna zaidi ya tatizo.
Hah hah hah Redio Tumaini wale wanaomaliza kusali Sala ya Salam Maria kisha wanapiga Mugongo Mugongo ya Twanga?
We jamaa kweli unatumia kichwa kubebea mashkio hayo
Ni kama ilivyo kwa tasnia ya muziki yaani kila mtu anataka kuwa mwanamuziki, wao wanajiita eti wasanii, usisahau na wacheza filam huko ndo utacheka.