Zembwela katika Super mix

kwi kwi kwi kwi kwi du yan huyo ndo ananichefuaga mtu makini hawezi fanya ujinoga huo. halaf huwa nawashangaa itv. ina maana hawaoni kama ni upuuzi na utoto anafanya. khaaaaaaa
vipi kuhusu simon kabendera.
 
anahisi tukisikiliza wapo radio tutaokoka na baadae kuongeza sadaka kwenye saccos zao za kidini.
 
anahisi tukisikiliza wapo radio tutaokoka na baadae kuongeza sadaka kwenye saccos zao za kidini.

Usihangaike nae, Matola is a mental retard, namfahamu tangu udogo wake alipoandikiwa cheti cha aluminium pale Milembe Hospital...
 
Last edited by a moderator:
Hana uelewa mkubwa wa mambo wakai huohuo anajifanya anajua kila kitu. Anafanya kipindi kuonekana kibovu!
 
zembwela kwa kweli ni kituko...alafu sidhani kama mengi huwa anapima watu akili kabla ajawapa kibarua,najua mzee wetu mengi ana moyo wa kuwawezesha walemavu nampa big up kwa ilo,,ila hii ya kiajili mpaka walemavu wa akili hapana.haiwezekani mtu kuanzia saa tatu mpaka saba mchana anaongea pumba tupu lazima uyu mtu atakuwa mlemavu wa akili.. alafu ubaya wa uyu zembwela ye anajiona smart kichwani hana shida kabisa,,kumbe pumba tupu na ubabe wa kitahaira
 
Hahahaha watu waabayaa
Mwanzon Zembela alianza vizur alipokuwa na M.baruti bt toka apandishwe cheo kaanza vuta bange zake,watu wakipiga simu anawakatisha kwa kutoa majib mkato yan dah,bt ndo kipnd bora kwa asubuh,ajishape poa atateka zaidi,,,Kibonde piga ua garagaza namsikia tu kwa jina kama hvo stotune blauuus fm jion,asubh na hata mchana.
 
Super mix ndiyo jina la kipindi chake lenyewe linajieleza au liwekwe kwa kiswahili ndiyo mtamuelewa? kwa ujumla huku mitaani kwetu jamaa anapendwa sana na nimepita mikoa mingi yenye net ya hii redio most ya watu huwa wana tune kwenye kipindi chake ss nyie mnaompinga si m tune redio zingine za akina dina marios! acheni wivu
 
Zembwela wa leo siyo yule wa zamani. penye ukweli acha na tuukubali tu jamani.
 

Ndugu Hillary Daudi mbona pamoja na kupewa ushauri wa bure na wadau wako hutaki kubadilika?Maana toka umerudi likizo unatoa manyago tu .Badilika ndugu sio kila kitu unaweza kukijua hadi kukebehi wengine.Kama ni uborn here here mbona tuliozaliwa Princess Margret na Ocean road tupo lakini hatuna hizo.Wazaramo wana msemo kuwa usijifanye "sidahikaga".
 
sifa mojawapo za mtangazaji ni hizi hapa... lazima uwe;


  • Opinionated
  • Smart
  • Funny
  • Well-informed
  • You like to talk
  • People listen when you talk
halafu pia, mtangazaji kama huyo, labda anafit kulingana na kituo hicho alichopo jamani...

hawezi wekwa kituo sensitive kama tbc halafu aongee pumba hizo mnazodai...

kama anaharibu, kuna mamlaka husika za kutoa malalamiko, nina imani watashughulikia tatizo la zembwela..
 
jamn kwani kuja mambo ya serikali za mitaa pan hitaji lugha ya kigeni au
maana ni mambo ya kujionea huku mtaani kwetuu
utangazaji ni kama omo la civis tuu hata usipoingia class utajuua tuu
kwa kufwatilia mambo mbalimbali
 

Wee nawe bado ujajifungua tuuu, kama abadiliki unasikiliza station nyingine

Zebwela ndio mtangazaji bora kwa uchambuzi makini na wenye hoja na majibu ya hoja mfatilie vizuri utamjua vizuri....

Ukiona tena bado abadiliki nenda ata wavu fm msikile muda huo dina marios sijui..

Zembwela piga kazi supermix na uswaz tupo nyuma yako.
 
mm nafikiri kipindi kina wadau wengi pamoja na ww mleta mada (underline&bold), yapo mazuri yake na mapungufu km ilivyo kwavipindi vingine, sijapenda jinsi ulivyoandika ni kama umemdharau sana,.
 
Haya bwana nabii mwenzio anapiga pesa wasafi now [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…