Hivi ni kwa nini mnaendelea kusikiliza vipindi vinavyoongozwa na watu wapuuzi kama Zembwela, Kibonde, Hando, Shafi Dauda & likes?
Karibuni Wapo Radio Fm tuchambuwe mada motomoto kwenye meza ya busara na Sabinus Mbogo, jana nilisikiliza hicho kipindi cha Super Mix na niliapa kamwe sintosikiliza tena kipindi hicho kinachoongozwa na mtu mwehu asiye na akili ambaye anajihisi ni Genious kumbe kichwa maji matupu.
Kuna kijana alikuwa anatangaza na Zembwela jina nimemsahau na sasa amehama hapo East African radio, kwakweli huyu kijana alikuwa ni msaada mkubwa sana kwa Zembwela na alijitahidi sana kumshape lakini sasa hivi mambo ni shaghalabagala.
Imagine kijana wa miaka 30 eti anajiita Babu na badly analazimisha na yule binti anaetangaza naye aitwe Bibi, this is rubbish, i will never tune my radio kusikiliza upuuzi wa Zembwela.
Na ushahidi wa haya ninayoyasema Zembwela atafia EA radio au atafukuzwa muda wake ukifika lakini hana vigezo vya kuombwa na redio nyingine kuhamia kwao, wenye sifa hizo wanajulikana ni watu wa kariba ya Fredwaa aliyekuwaga Redio Free Africa.