Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Was referring to Larry page, huyo mhindi ni recent na masters ni mbili ambayo ali forfeit PhD ndio akachukua masters. Na hiyo ni cherry picking tu maana CEOs wenye PhD ni wengi kuliko wasio na PhD.
Unalinganisha kampuni za marekani na Tanzania? Au sijakuelewa?
 
Hao waliofanya hizo feasibility study za WB and the like ni Maprofesa wangapi?
Ni wengi sana mkuu maana zipo kila siku maana wanadhamini miradi mingi sana. Nimeshasema hakuna kazi inafanyika bila independent consultant kuwepo hata hao PwC huwa wana team na professors kama kina Luoga kufanya hizo kazi za ukaguzi.
 
Mpoki ana jumba, V8, endorsements na bado yupo kazini vs prof wa jalalani mwenye Toyota Corolla anakaa nyumba ya taasisi na mshahara take home (3.8m)
Hivi mnazungumzia prof au kila anaefundisha chuo kikuu nyie mna muita lecture wakuu, em tupe picha ya mpoki na v8 au ilo jumba tuone
 
Back
Top Bottom