Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Akili za wabongo ni za ovyo sana nakwambia [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Eti celebrity , kuna celebrity bongo hapa ?
Hao mashoga akina Ommy Dimpoz ,ndio mnawaita rich celebrity ?
Huyu Dimpoz si alinusurika kifo kwa kuanza kutembeza bakuli kwa yule Gavana wa Mombasa ili atibiwe koo ?
Eti Haji Manara na zembwela [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila hii nchi hii
 
Yaani definition ya hili neno "mtu aliyetoboa " hapa Bongo ni vituko sana
Mtu aliyetoboa ni mtu ambaye ana uhakika wa kugharamia health care kwa tatizo lolote litakalompata kiafya ,mwenye kuweza kuafford chakula bora ,malazi bora , usafiri bora ,elimu bora na mwenye pesa au assets zinazozalisha income na zilizo na thamani isiyopungua usd milioni moja ambayo ni bilioni 2.3 za pesa ya madafu Tsh .
Hii tabia ya wabongo kutunisha mabega kisa mtu kaokoteza visenti vya kununulia mbege baada kahongwa huko kwa kuuza nyuchi na mnaanza kutunisha mabega na kujiita matajiri mara mabilionea ni ujinga sana .
Ni watu wachache sana wenye maisha hapa Bongo ,tusidanganyane
 
Tanzania hii inayopoteza muda kufuatilia mambo ya kipuuzi , mfano : we angalia wimbi kubwa la watu wanaosambaza na kufuatilia picha za ngono za hawa celebrity feki wa Bongo , kuna hadi apps kabisa siku hizi hapa bongo , unakuta jibaba lizima na mkewe + watoto wametune in kuangalia ngono na mambo ya udaku na umbea ,
Vitu vya kipumbavu visivyo na maana ,ndio priority ya Mtanzania
No wonder hata uongozi wa hii nchi unaendelea kuneemeka na kuvurunda miaka na miaka , huwezi tumia nguvu kuongoza mizoga na maiti .
Wabongo wengi ni kama maiti au mizoga
 
Ila Maprofesa wa Medicine wengi Wana hela aisee, hata salary scales zao ni kubwa kuliko Maprofesa wa politiko science, sociology,nk
Kuna Neurosurgeons , dental experts , molecular biologists wanafanya reasearch za kutosha na wanaruka kila pembe ya dunia na wanakuwa funded na pesa za kutosha kwenye shughuli zao na bado wanalipwa mishahara mizuri .
So professors bongo hawana njaa ,
Wenye njaa ni wafanyakazi wa uma wa Tamisemi ,taasisi njaa na majobless kama sisi wa mtaani huku .
Hao ngumbaru watuambie sisi jobless na watumishi wa Tamisemi + taasisi njaa tu
 
Professors inabidi wawe researchers zaidi , waje na discoveries zaidi , wafungiwe maabara nk na kufanya stuffs kama hizo ,consultancy na kufundisha ni moja ya kazi anazoweza fanya proffesor lakini tafiti na kuja na solutions za matatizo ndio kazi kuu ya professor .
Ni vile tu mifumo yetu Tanzania ndio iko ovyo na inatweza taaluma .
 
Huitaji kuwa Professor kufanya hizo kazi. Madogo Wana bachelor za Open University ndo wanapiga hizo donkey work
Nchi haiwezi kuwa surrounded na illiteracy ikategemea kuendelea hata siku moja .
Mifumo ya nchi ni lazima itengenezwe kuheshimu elimu ,kupenda elimu na kureward elimu na kutumia elimu katika tafiti na kuleta suluhu za matatizo ya kijamii .
Sio kuwa maprofessor Jalala wanauabudu mediocrity
 
Mleta uzi ni mjinga mno. Sasa Profesa akianza kuishi kipumbavu kama Manara kuna kijana ataweza kupata elimu bora? Elewa tu kuwa maprofesa wana mishahara yao na posho za kuwatosha na hawampigii magoti mtu ili mkono uende kinywani. Hao maboss wa town wakifika SUA au UDSM lazima wawe na adabu. Manara au Zembwela ana mchango gani kwa taifa zaidi ya kuchangia mmomonyoko wa maadili?
 
Kinachofanya elimu idharaulike ni ccm , wanachukua hao watu halafu wanawaambukiza mediocrity , na wanawatumia kusambaza mediocrity kwenye jamii ,badala ya enlightenment .
Mfano enzi za covid ,yule msukule kabudi alivyochukua ndege ya serikali mabilioni kwenda Madagascar Kununua mataputapu kwamba ndio dawa ya covid , na hapo akiongozwa na Marehemu dokta jiwe , so unaweza ona dokta jiwe na profesa Jalala wanazalisha upumbavu kama ule
 
Ukiona taifa limefikia level hii ya thamani ya elimu kushuka hivi basi jua kuna tatizo kubwa kwenye mifumo ya hiyo nchi ,kama Tanzania hapa .
Iko hivyo
Yupo dogo (bachelor degree) anafanya Taasisi fulan ya serikali (jina kapuni) Ni Mkurugenzi msaidiz tu, ana gari/dereva wa ofisi, akisafiri Kwa ndege Ni business class, per Diem @250,000 per night.... Professor Sasa! Per Diem @120,000, Safar za kikazi nchini anapewa nauli ya basi
 
Na ndio architect na wavumbuzi WA mbinu na mifumo kukwepa kodi na wanauza hizo techniques Kwa makampuni ya kimataifa , mfano hawa pwc na Delloite wana scandal za kuuza siri za Tax and revenue authority ya Australia Kwa makampuni ambayo yanakwepa kodi Australia .
Hii imegundulika mwaka huu ,sasa jiulize wamefanya huo umafia kwa miaka mingapi ? .
 
Mleta uzi ni mjinga mno. Sasa Profesa akianza kuishi kipumbavu kama Manara kuna kijana ataweza kupata elimu bora? Elewa tu kuwa maprofesa wana mishahara yao na posho za kuwatosha na hawampigii magoti mtu ili mkono uende kinywani. Hao maboss wa town wakifika SUA au UDSM lazima wawe na adabu. Manara au Zembwela ana mchango gani kwa taifa zaidi ya kuchangia mmomonyoko wa maadili?
Elimu Bora ipi? Kwa wahitimu wapi?
 

Hawa pwc , Delloite nk
Huwa tunawashabikia ila mimi huwa sometimes nawaangalia Kwa angle tofauti , nawaonea kama magenge ya kimafia yanayowezesha ukwepaji kodi duniani , hizo tax heaven kama Cayman Island, Cyprus , British virgin land ,Bermuda ,seychelles , Switzerland nk
Unafikiri nani anahusika nazo kama sio hao wahuni
Hawa ndio wajenzi wa mifumo ya ukwepaji kodi na wanaitengeneza na kuiuza kwa makampuni ya kimataifa
 
Yupo dogo (bachelor degree) anafanya Taasisi fulan ya serikali (jina kapuni) Ni Mkurugenzi msaidiz tu, ana gari/dereva wa ofisi, akisafiri Kwa ndege Ni business class, per Diem @250,000 per night.... Professor Sasa! Per Diem @120,000, Safar za kikazi nchini anapewa nauli ya basi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]eti nauli ya bus , [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kwamba professor anapanda bus ,halafu bus chafu bayaaaa kama lile la king Msukuma linalopiga ruti ya Mwanza -Geita [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom