zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Yeah but hiyo ni cherry picking, unachagua position moja tu ku justify ur narrative lakini google ina PhDs nyingi kuliko Big tech companies zozote duniani.Kwa hiyo umekubali kuwa Sundar Pichai ana masters tu Hana PhD?
Unalinganisha kampuni za marekani na Tanzania? Au sijakuelewa?Was referring to Larry page, huyo mhindi ni recent na masters ni mbili ambayo ali forfeit PhD ndio akachukua masters. Na hiyo ni cherry picking tu maana CEOs wenye PhD ni wengi kuliko wasio na PhD.
Ni wengi sana mkuu maana zipo kila siku maana wanadhamini miradi mingi sana. Nimeshasema hakuna kazi inafanyika bila independent consultant kuwepo hata hao PwC huwa wana team na professors kama kina Luoga kufanya hizo kazi za ukaguzi.Hao waliofanya hizo feasibility study za WB and the like ni Maprofesa wangapi?
Haya wataje hao PhD wa GoogleYeah but hiyo ni cherry picking, unachagua position moja tu ku justify ur narrative lakini google ina PhDs nyingi kuliko Big tech companies zozote duniani.
Huyo kadai kwamba Alphabet having a CEO asiye na PhD means PhD si lolote wala chochote.Unalinganisha kampuni za marekani na Tanzania? Au sijakuelewa?
Ooh nami nakubaliana nae. PhD holder Bongo Ni ovyo na Hoi kifedha wanazidiwa hata na Steve Nyerere kipato na influence Kwa watunga sheria/Sera/maamuzi ya kitaifaHuyo kadai kwamba Alphabet having a CEO asiye na PhD means PhD si lolote wala chochote.
Ingia home page yao si una bando, tafuta taarifa kwanza sio ubishi. Hii taarifa ni 5 years old ila by then Google ndio iliongoza kwa PhDs dunianiHaya wataje hao PhD wa Google
Yeah kila mtu ana uhuru wa maoniOoh nami nakubaliana nae
Ni kweli, hata hao PhDs Wana haki ya kikatiba kukataa umaskini Kwa kukomaza mafuvu hayo sio kufugia minywele isio na tija. Waandike miradi ya maana, wakatae kutweza utu wao na wanasiasa uchwara Kwa ujira wa TEUZIYeah kila mtu ana uhuru wa maoni
Hivi mnazungumzia prof au kila anaefundisha chuo kikuu nyie mna muita lecture wakuu, em tupe picha ya mpoki na v8 au ilo jumba tuoneMpoki ana jumba, V8, endorsements na bado yupo kazini vs prof wa jalalani mwenye Toyota Corolla anakaa nyumba ya taasisi na mshahara take home (3.8m)
Kusoma sio kuwa na ela na uwezi kuwa zembwela, vipindi ivyo wakina zembwela wanavobwabwaja vina waongoza vipindi walioendaa shule awafanyi chochote bila maelekezo ya hao ma producerSoma PhD lakini utaishia kuwatamani kina zembwela
Ilii? Maisha ni pesa tu ? Bhas mpaka Leo mngekuwa mnavaa kaniki kwa akili hiziMagari wanayoendesha nyumba wanazo kaa vyo wananyofundisha mshahara wanaolipwa
Sasa nani mwenye hela huyo aliyesoma au producer?Kusoma sio kuwa na ela na uwezi kuwa zembwela, vipindi ivyo wakina zembwela wanavobwabwaja vina waongoza vipindi walioendaa shule awafanyi chochote bila maelekezo ya hao ma producer
Wame wafundisha Panya kubaini mabomu.🤣🤣SUA wamekufanya nini mkuu mpaka uwafanye mfano?.
Nimeomba tu unitajie Wala Mimi siko kwenye ubishiIngia home page yao si una bando, tafuta taarifa kwanza sio ubishi. Hii taarifa ni 5 years old ila by then Google ndio iliongoza kwa PhDs duniani
This tech company has the most highly-educated employees
To work at companies like Amazon, Google and Facebook, you'll need to stay in school.www.cnbc.com
Sijakuelewa, hoja yenu ni nini watanzania kusoma hakuna maaana kwasababu wachache wasiosoma wanna vipato sana auSasa nani mwenye hela huyo aliyesoma au producer?
Hili ndo jibu la swali langu?Sijakuelewa, hoja yenu ni nini watanzania kusoma hakuna maaana kwasababu wachache wasiosoma wanna vipato sana au