jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
imefanyeje tena?Kondom?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
imefanyeje tena?Kondom?
hahahahhaah yaani nimecheka kwa nguvu jaman looohPhD zinatumika kisiasa kama kondom. Zikichoka zatupwa Tena jalalani
Acha kuwafananisha wapumbavu na maprofesaPamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Proffesa Jay na Maji marefuMkuu unawajua Prof Anna Tibaijuka, Sospeter Muhongo, Pro Rwekaza Mukandala? Au unazungumzia maprofesa gani?
Tukizungumzia kwa %, basi wasomi wenye maisha uliyotaja hapa ni wachache ukilinganisha na wasio wasomiNOTE: HII COMENT HAIJAANDIKWA KWA MADHUMUNI YA KUJISIFIA BUT NATAKA NKUFUNGUE AKILI, I GUESS YOU WILL LEARN A FEW THINGS
Mimi ni mtoto wa professor kwenye moja ya reputable universities hapa nchini
First, jifunze kutofautisha Flashy life style (maisha ya online) na Humble lowkey life style, celebrites wengi wapo kwenye spotlight kwahio lazima aishi kwa kuonesha ana good life iwe money, cars, houses n.k
wapo celebrities wenye maisha mazuri wapo pia wenye maisha ya kawaida sana.
turejee kwenye point ya university proffesors.
My dad ni kama rafiki yangu, katokea humble beginings, yani kijijini interior, kitu pekee kilichomfikisha hapa ni baraka za mwenyezi Mungu, na toka amezaliwa he was very very smart, kichwani he was very very gifted.
mimi binafsi najivunia yeye kua mzazi wangu, he is a true example of a self made man, he is an Academic hustler, yani yeye katumia kichwa chake kumfikisha hapa alipo.
My dad ukiacha mshahara wake, kajiwekeza sehemu nyingi mno, ana real estate za kutosha hapa mjini, nkisema real estate i mean viwanja, mashamba(ambayo yote yamechimbwa visima vya maji), fremu za kupangisha, apartments, family houses za kurent etc.
analima na nkisema kilimo na maanisha kilimo cha kisomi na kilimo cha umwagiliaji, kilimo cha more than 50+ acres.
bado ana businesses zake zingine ukiachana na hizo real estate, magari kwake have never been an issue ana magari ya kumtosha kabisa, magari ya kazi, magari mengine ambayo hata akitoka lazma heshima yake utampa.
bado kajiwekeza kwenye stocks( ana hisa kwenye makampuni mengi ya ndani ya nchi na nje ya nchi) analipwa divends/gawio kutoka kwenye hizo kampuni kila mwisho wa mwaka.
kajiwekeza kwenye treasury bonds, ana fixed accounts ndani ya nchi, ana foreign fixed accounts za pesa za kigeni zinazomzalishia interest kila kwezi.
kazunguka sehemu nyingi sana duniani, ana fahamiana na watu wengi kwenye siasa anatumika kwenye moja ya wizara kama mshauri, kuna raisi mmoja wa nchini ni rafiki yake sanaa, yani najaribu kukuelezea tu kwa kifupi.
lakini ukimwona huwezi hata kumdhania, he is very very humble, because haishi maisha ya show off, na pia hayupo kwenye spotlight so huwezi sema ana good life.
je unajua salary ya university proffesor ni kiasi gani?, pia kuna associate proffesor na full proffesor hao wote wana mishahara tofauti, je unajua kiasi wanachopokea kila anapokanyaga darasani?
bado wanatumika kwenye consultancy, unajua rate ya kumchukua na kumtumia proffesor in consultancy?
wanaandika miradi mingi tu mikubwa, na hio miradi/projects nyingi wanalipwa na donors kwa foreign currency iwe USD, pound, euro n.k
University professor analipwa kwa kila mwanafunzi wa Phd anaemsimamia, bado wana research zao wakifanya wana funding wanapata, kwa kifupi hawategemei chanzo kimoja cha mapato
kuna ma proffesor wengine hawajiongezi, wala kujiwekeza, bado wanaendekeza anasa, multiple families, multiple children hawezi kutoboa licha ya mshahara mkubwa, but bado wana maisha mazuri ya kuwazidi wengi ya celebrities wenu wenye majina makubwa.
usidanganyike na life ya mtandaoni, most celebrities wana fake life, na wapo wengi tu pia wana maisha mazuri.
ila kuna watu wengi tu sio celebrities na wanamaisha ambayo hawa celebrities wangeyajua wangewaonea wivu na kuyatamani.
Tatizo wakiugua wanatuomba misaadaMkuu tuache chuki hawa kina msnara na ommy dimpoz wana maisha mazuri sanaaaa siyo ya kawaida income zao ni kubwa kuliko unavyodhania
Manara kila mwezi kuna bayport , tigo na utitiri mwingine huko gsm na kadhalika kote huko hela inaingia nyumba anakaa apartment ya usd 3000 per month hiyo ni 8m embu nionyeshe prof yoyote anayeishi karibia tu na maisha hayo
Napata wapi orodha yaoShida wakiugua ndipo ukweli hujulikana. Halafu Maprofesa Tanzania ni wachache Sana hawazidi 66 ambao ni full proffesors.
Ukweli wasanii wetu huwa hawa invest ni tatizo kubwa sana wanadhani watakuwa maarufu siku zoteTatizo wakiugua wanatuomba misaada
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sup SUA kawaida usichukie professa.
[emoji16]Wakulima wengi huwa wanaishi maisha yanayoendana na kazi yao. SUA ni chuo cha wakulima unataka waishi kama mapresenter wa TV na radio wakati akirudi home anapokelewa na kuku, bata, mbuzi na mbwa. [emoji38]
Kwa hiyo profesa kutoishi apartment ya usd 3000 ni maisha mabaya?Mkuu tuache chuki hawa kina msnara na ommy dimpoz wana maisha mazuri sanaaaa siyo ya kawaida income zao ni kubwa kuliko unavyodhania
Manara kila mwezi kuna bayport , tigo na utitiri mwingine huko gsm na kadhalika kote huko hela inaingia nyumba anakaa apartment ya usd 3000 per month hiyo ni 8m embu nionyeshe prof yoyote anayeishi karibia tu na maisha hayo
Siyo maisha mabaya na SIyo lazima waishi hivyo ila tunachosema hawa jamaa kina manara so far waingiza pesa nyingi sana kwa endorsements walizonazo ukiangalia hawakwenda shuleKwa hiyo profesa kutoishi apartment ya usd 3000 ni maisha mabaya?
Ndio maisha yalivyo.Siyo maisha mabaya na SIyo lazima waishi hivyo ila tunachosema hawa jamaa kina manara so far waingiza pesa nyingi sana kwa endorsements walizonazo ukiangalia hawakwenda shule