Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Professor hajawahi kuwa chawa,hajafikia hatua ya kujidhalilisha kushobokea wanaume wenzie ili pesa ziingie,professa akipata mtoto wa kiume hajawahi lazimisha apewe jina la Boss wake ili kumfurahisha zaidi na kibarua kiendelee kudumu. Professor hajawahi kuwa mropokaji.

Mjini ni kujitoa akili ili uishi vizuri mitandaoni
Yule Kabudi sio profesa?
 
Tukubali maprofesa wetu wapo Hoi kiuchumi kuliko ngumbaro walio wengi. Mara kadhaa nimesafiri ndege moja na Vice Chancellorbwa UDOM (sawa na CEO/MD wa taasisi ya Umma/kampuni) eti Prof kapanda Economy class kama Sisi Ngombaru
Msomi anafikiri kabla ya kutenda, na hili ndio tatizo. Unaweza kufikiri hana pesa kumbe alifikiria kwanza faida za kupanda daraja lingine.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvu daah hatari sana ahahaha daaah…mkuu lakini Profesa ni profesa tu dunia nzima , mazingira ya huku mkuu si unayaelewa ?
Profesa sio profesa dunia nzima[emoji28][emoji28]hili nakataa. Mzungu hajawahi kuamini elimu yetu ndio sababu msomi akitaka kufanya kazi kule lazima aingie darasani tena
 
Aisee, ebu soma tena ulichoandika, story za vijiwen hizo , mfano ukiwa certified na CCNP , ukienda kufanya kazi ulaya inabid uwe cerified tena ? Mkuu hizi institutions zinazotoa hizo vitu zipo governed na ISO mastaa
 
Uprofesa ni namna unavyopambana na mazingira ili kupata maisha mazuri. Kuna ambao hawajaenda shule ila ni maprofesa wa maisha. Ila uprofesa wa maisha + uprofesa wa darasani ni ufanisi zaidi. Yule mbunge darasa la saba, angeongeza na uprofesa wa darasani angekuwa mfano wa kuigwa duniani. Angekaa meza moja na professor PO Lumumba wa Kenya.
 
Huu uprofesa umeutunga wewe?
 
Professor hajawahi kuwa chawa,hajafikia hatua ya kujidhalilisha kushobokea wanaume wenzie ili pesa ziingie,professa akipata mtoto wa kiume hajawahi lazimisha apewe jina la Boss wake ili kumfurahisha zaidi na kibarua kiendelee kudumu. Professor hajawahi kuwa mropokaji.

Mjini ni kujitoa akili ili uishi vizuri mitandaoni
Nikasoma harafu nikajiuliza huyu ndie Profesa nini wa SUA[emoji3][emoji2][emoji1][emoji16][emoji38][emoji28][emoji1787][emoji23]
 
Back
Top Bottom