Yule mama aliyechukua ubunge wa Msigwa atafute kazi nyingine maana Msigwa asipopewa ukuu wa wilaya, tegemea atakua mbunge na waziri mdogo.
Lissu alisema hizo hela zinatoka kwa Mama Abdul ndiyo maana Msigwa kaamue azifuate huko huko. Kwa sasa Msigwa na Sugu hawachekani kwani tajiri wao ni mmoja.
NI SWALA LA MUDA! Tukiwaambia hakuna mpinzani wa kweli mnabweka
Bora shetani unaemjua kuliko malaika usiemjua...Na hakuna mwana-Ccm wa kweli.
..watu wako Ccm kupiga pesa, na kusaka vyeo.
Bora shetani unaemjua kuliko malaika usiemjua.
Kila shetani na mbuyu wake.
Zimwi likujualo halikuli likakwisha
Katika hao wote Bora Steve...RC Dr.Albert Chalamila anautaka Ubunge Iringa mjini.
..Steve Nyerere anataka ubunge Iringa mjini.
..Richard Kasesela anashawishiwa agombee Iringa mjini.
..Je, Peter Msigwa ataweza kupenya hapo ktk muda mfupi tangu ajiunge Ccm.
Mama ameshamaliza point zake zote alizokua anataka kuziongea bungeni.mama Jesca mbunge wa iringa cross uende chadema upambane na mchungaji kisiasa itakulipa
Katika hao wote Bora Steve.
Ukiangalia Ile clip ya Chalamila kuhusu mgomo wa Kariakoo unaona kabisa hapa hakuna leadership material.
Kasesela alijimaliza mwenyewe aliposema tuliza ma***""ko.
Msigwa na Steve Ni wazi Msigwa anachukua Jimbo Kama alivyolichukua huko nyuma.
Chalamila kapata "pii hechi dii" lini!!??Msigwa ni Mkinga hawezi Kuongoza Ngome ya Mkwawa chini ya CCM
Mbunge 2025 ni Dr Albert Chalamila ππ
Hili la sugu pia kupokea blank cheque limeenea sana kwa wanaomjua sugu. He is money minded driven huyu jamaa. Forget about what he put on camera, light and action. Bosi wao mmoja hawa.Lissu alisema hizo hela zinatoka kwa Mama Abdul ndiyo maana Msigwa kaamue azifuate huko huko. Kwa sasa Msigwa na Sugu hawachekani kwani tajiri wao ni mmoja.
Yule chalamila mpuuziMsigwa ni Mkinga hawezi Kuongoza Ngome ya Mkwawa chini ya CCM
Mbunge 2025 ni Dr Albert Chalamila ππ
Haswa, hao ndiyo wanasiasaWanasiasa si wa kuumiza nao kichwa. Akiona maslahi yake yameguswa au kuyakosa ndiyo utajua, siasa anafanya kwa mapenzi ya kuwakomboa wananchi ama kujikomboa yeye.
Hapa bado kabla ya 2025, yatakuja na mengine mengi na kuondoka wengi. Biashara ya kununua na kujiuza imefunguliwa rasmi.
huo udaktar aliupata lini?nakumbuka amewah nifundisha pale mafinga changarawe 2005Ndio