Yule mama aliyechukua ubunge wa Msigwa atafute kazi nyingine maana Msigwa asipopewa ukuu wa wilaya, tegemea atakua mbunge na waziri mdogo.
..RC Dr.Albert Chalamila anautaka Ubunge Iringa mjini.
..Steve Nyerere anataka ubunge Iringa mjini.
..Richard Kasesela anashawishiwa agombee Iringa mjini.
..Je, Peter Msigwa ataweza kupenya hapo ktk muda mfupi tangu ajiunge Ccm.