Zembwela: Mchungaji Msigwa leo ndio anaiona Chadema ni Saccos ya mtu mmoja baada ya kushindwa kutetea cheo chake Kanda ya Nyasa

Zembwela: Mchungaji Msigwa leo ndio anaiona Chadema ni Saccos ya mtu mmoja baada ya kushindwa kutetea cheo chake Kanda ya Nyasa

Yule mama aliyechukua ubunge wa Msigwa atafute kazi nyingine maana Msigwa asipopewa ukuu wa wilaya, tegemea atakua mbunge na waziri mdogo.

..RC Dr.Albert Chalamila anautaka Ubunge Iringa mjini.

..Steve Nyerere anataka ubunge Iringa mjini.

..Richard Kasesela anashawishiwa agombee Iringa mjini.

..Je, Peter Msigwa ataweza kupenya hapo ktk muda mfupi tangu ajiunge Ccm.
 
Lissu alisema hizo hela zinatoka kwa Mama Abdul ndiyo maana Msigwa kaamue azifuate huko huko. Kwa sasa Msigwa na Sugu hawachekani kwani tajiri wao ni mmoja.

..Msigwa angetimkia chama kingine cha upinzani angeeleweka.

..Ccm hawawezi kumuamini Msigwa kwasababu kwa miaka mingi imejijenga kama mkosoaji mkubwa wa Ccm.

..Ccm watamtumia Msigwa kwa muda mfupi kuishambulia Cdm kipindi cha kampeni na baada ya hapo hawatamhitaji tena.
 
Baada ya kuona hana nafasi hata ya kuwa mjumbe wa sekretariet ya cdm, yaaji anakuwa mwanachama wa kawaida tu akaona ni heri kujivua gwanda na kuvaa matambaa ya kijani.

Wanasiasa wapo kimaslahi sana, all they think is matumbo yao, laiti kama wangejua ni namna gani wanaaminisha wananchi kuwa upande wao, wasingenunulika kwa vipande thelathini vya fedha.
 
..RC Dr.Albert Chalamila anautaka Ubunge Iringa mjini.

..Steve Nyerere anataka ubunge Iringa mjini.

..Richard Kasesela anashawishiwa agombee Iringa mjini.

..Je, Peter Msigwa ataweza kupenya hapo ktk muda mfupi tangu ajiunge Ccm.
Katika hao wote Bora Steve.
Ukiangalia Ile clip ya Chalamila kuhusu mgomo wa Kariakoo unaona kabisa hapa hakuna leadership material.
Kasesela alijimaliza mwenyewe aliposema tuliza ma***""ko.
Msigwa na Steve Ni wazi Msigwa anachukua Jimbo Kama alivyolichukua huko nyuma.
 
..kura hutokana na kukubalika na wajumbe/ wapigakura sio uwezo, maarifa, au elimu, ya mgombea.

..kitakachompa shida Msigwa ni kuwa mgeni mno ktk Ccm kulinganisha na Chalamila, Steve Nyerere, Kasesela, na Msambatavangu.
 
Lissu alisema hizo hela zinatoka kwa Mama Abdul ndiyo maana Msigwa kaamue azifuate huko huko. Kwa sasa Msigwa na Sugu hawachekani kwani tajiri wao ni mmoja.
Hili la sugu pia kupokea blank cheque limeenea sana kwa wanaomjua sugu. He is money minded driven huyu jamaa. Forget about what he put on camera, light and action. Bosi wao mmoja hawa.
 
Wanasiasa si wa kuumiza nao kichwa. Akiona maslahi yake yameguswa au kuyakosa ndiyo utajua, siasa anafanya kwa mapenzi ya kuwakomboa wananchi ama kujikomboa yeye.

Hapa bado kabla ya 2025, yatakuja na mengine mengi na kuondoka wengi. Biashara ya kununua na kujiuza imefunguliwa rasmi.
Haswa, hao ndiyo wanasiasa
 
Back
Top Bottom