Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
sinza pazuri ona watangazaji wako wa hovyo hawa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa smart gin pombe za bei ndogoHuyo zake konyagi na sungura
Kakosea nini hapo? Huyo ni mtumiaji mzuri wa ganja na inamsaidia kwenye kazi zake why inakuwa shida akitoa maoni yakesinza pazuri ona watangazaji wako wa hovyo hawa..
mimi nataka waruhusu hata kwa kibali, for medical purposes kama nchi zingine. Niwe mkulima wa bangi nimechoka kulima mazao yasiyo na soko la uhakika. Bangi inauzika kirahisi sana na kwa bei ya juu. Misimu miwili tu nikilima ekari kumi kila msimu nitauaga umaskini😀"Nchi nyingi Siku hizi tena zilizoendelea kama ninayosafiri sana ya Netherlands na nyinginezo zinaruhusu Uvutaji wa Bangi kwa Raia wake wanapotaka sioni sababu ya Tanzania kuzuia wakati Bangi nayo ni Burudani na ina Starehe yake" amesema Mtangazaji wa Wasafi FM Zembwela (Hillary Daud) akiwa Nyumbani kwa Spika wa Bunge na Watangazaji Wenzake ambako kwa Asubuhi ya Leo wanafanyia Kipindi hapo.
Kwa GENTAMYCINE ninayemjua ndani nje Zembwela tokea akiwa Comedian na Rafiki yake Marehemu Max, alipokuwa East Africa Radio na East Africa Tv na Mitaani Sinza, Tandale, Mwenge na Magomeni na nini hasa anachokitumia ndiyo maana Macho yake 24/7 huwa ni Mekundu na Mdomo wake una Uweusi mwingi ngoja ninyamaze na niishie hapa tu.tafadhali.
TCRA Kazi Kwenu na Zembwela alivyo wa hovyo hovyo baada ya Awali katika Maelezo yake kutaka Watanzania tuvute Bangi muda si mrefu Kiunafiki kabisa ametengua hiyo Kauli na Kuzuga kwa kusema Tanzania hairuhusu Uvutaji wa Bangi.
Tafadhali achukuliwe hatua haraka pamoja na hiyo Redio ( Wasafi FM ) kwani kwa Kauli yake tu ya Awali kututaka Watanzania tuvute Bangi na Kuiomba Serikali iruhusu Uvutaji huo wa Bangi tena Hewani ( On Air ) imeleta Usumbufu na inaweza kupokelewa vibaya na tusiovuta Bangi hiyo akina GENTAMYCINE tukashawishika kuanza Kuivuta na Kulanduka nayo vilevile.
Tatizo ni mpayukaji huyo ndgu yako,Kakosea nini hapo? Huyo ni mtumiaji mzuri wa ganja na inamsaidia kwenye kazi zake why inakuwa shida akitoa maoni yake
Hujakosea na umepiga mule mule.Huyo zake konyagi na sungura
Maskani yao si ilikuwa karibu na shule ya mapambano kwenye liuwanja lileNashukuru kwa kulijua hilo na anaivuta mno kiasi kwamba zinamfanya awe Mwehu sometimes.
Unafiki huyu mwamba Genta inaonekana ana bifu zake binafsi sio mtu wa kudis kaya kiasi hiki bangi Ina shida gani watu tunaivuta miaka nenda Rudi na bado tunawahudumia wananchi kwa weledi Wala hawawezi kuhisi tunatumia watu waache unafiki bangi sio mbaya kama inavyopaishwaAna hoja asikilizwe.,msiishie kumshambulia tu bila hoja yoyote
Marais wengi sana wa marekani wako documented kuhusishwa na utumiaji wa hiyo kitu,Tena including Marais ambao ni Bora kabisaAcheni upopoma.. bangi iruhusiwe. Marais karibia wote wa marekani, tukianzia Clinton, Bush junior, Obama na mkewe, hata Rais mpendwa mno wa marekani John Kennedy, walikuwa wavutaji wazuri wa bangi. Nyinyi ni nani mapopoma mpaka muipinge bangi?
View attachment 2609425
Bangi ilianza kufanyiwa hujuma kijanja sana na mpaka do hii hujuma zile zimetawala,report kibao za madaktari hazikuwahi thibitisha,vita ya bangi ni uchumi.ukisoma "refer madness" utapata sakata Zima la kuzima mchakato wa bangi,Ngoma Iko deeply rooted in racial bases.Marais wengi sana wa marekani wako documented kuhusishwa na utumiaji wa hiyo kitu,Tena including Marais ambao ni Bora kabisa
Bangi ina madhara kwa wabongo tu? Elon Musk tajiri wa kupindukia duniani anavuta bangi na anafanya maajabu duniani!Nakubaliana na wew akamatwe haraka sana
Vita ya bangi wengi hawajui chanzo chake ndio maana wafuata mkumbo ni wengi,ukijua chanzo chake Wala huwezi shangaa,in short bangi ni great threat to pharmaceutical companies as well as tobacco industrialists.Bangi ina madhara kwa wabongo tu? Elon Musk tajiri wa kupindukia duniani anavuta bangi na anafanya maajabu duniani!
Hakuna sababu ya kumkamata wala kumshukuru kwani ameanzisha mjadala mzuri.
Mimi nawafahamu mawaziri wa serikali ya Mkwere waliokuwa wavuta bangi mahiri. Kuna wakuu wa mikoa wanaokula ganja wengi tu!
Marekani wanatengeneza mpaka pipi na biscuits za bangi.
It's also used for medicinal purposes.
Kwa hiyo unaogopa atamuaribu Spika Tulia nae aanze Kulanduka Kama yeye!!??Nimechukia Yeye kuiunga Mkono hadharani na Kuishadadia hivyo / vile ( tena Redioni Wasafi FM mbele ya Spika wa Bunge Tulia Ackson Nyumbani Kwake ) kwani anaharibu na kutuharibia Wadau.
Watu wengine wanaogopa bangi ikiruhusiwa watalazimishwa kila Mtu lazima avute ganja,kumbe siyo, Kuku wanarusiwa kuliwa lakini kuna wengine hawali Kuku kabisa!!Mkuu GENTAMYCINE si unajua huyo jamaa ni comedian? Huenda alikuwa anachekesha tu watanzania turuhusiwe kuvuta bangi. Kwa kuwa tunajua madhara ya bangi wengine hatutavuta bangi hata kama ikiruhusiwa kama ilivyo tumbaku
Wewe mbwiga akamatwe kwa kosa gani? Bangi kama Konyagi haina madhara if consumed in moderation!Nakubaliana na wew akamatwe haraka sana
Mnawaangalia hao commedian? Kuna Cha maana huw wanaongea? Kama huyo Zembwela aliwrza vipi kuwa mtangazaji? Too low"Nchi nyingi Siku hizi tena zilizoendelea kama ninayosafiri sana ya Netherlands na nyinginezo zinaruhusu Uvutaji wa Bangi kwa Raia wake wanapotaka sioni sababu ya Tanzania kuzuia wakati Bangi nayo ni Burudani na ina Starehe yake" amesema Mtangazaji wa Wasafi FM Zembwela (Hillary Daud) akiwa Nyumbani kwa Spika wa Bunge na Watangazaji Wenzake ambako kwa Asubuhi ya Leo wanafanyia Kipindi hapo.
Kwa GENTAMYCINE ninayemjua ndani nje Zembwela tokea akiwa Comedian na Rafiki yake Marehemu Max, alipokuwa East Africa Radio na East Africa Tv na Mitaani Sinza, Tandale, Mwenge na Magomeni na nini hasa anachokitumia ndiyo maana Macho yake 24/7 huwa ni Mekundu na Mdomo wake una Uweusi mwingi ngoja ninyamaze na niishie hapa tu.tafadhali.
TCRA Kazi Kwenu na Zembwela alivyo wa hovyo hovyo baada ya Awali katika Maelezo yake kutaka Watanzania tuvute Bangi muda si mrefu Kiunafiki kabisa ametengua hiyo Kauli na Kuzuga kwa kusema Tanzania hairuhusu Uvutaji wa Bangi.
Tafadhali achukuliwe hatua haraka pamoja na hiyo Redio ( Wasafi FM ) kwani kwa Kauli yake tu ya Awali kututaka Watanzania tuvute Bangi na Kuiomba Serikali iruhusu Uvutaji huo wa Bangi tena Hewani ( On Air ) imeleta Usumbufu na inaweza kupokelewa vibaya na tusiovuta Bangi hiyo akina GENTAMYCINE tukashawishika kuanza Kuivuta na Kulanduka nayo vilevile.