GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hayo ni maoni ya Zembwela na wenzake, wewe unaamini kama kweli Watanzania watajielewa na Kwa maumivu ya tozo na ugumu wa maisha walionao, ni asilimia ngapi watarudi 2025?"Kama kweli Watanzania wakijielewa na kutuliza Akili zao na kwa hali ninayoiona sasa Mitaani kutokana na Hasira za Tozo Lukuki huku Maisha yao yakizidi kuwa magumu kuna Uwezekano 90% ya Wabunge hatutokuwa nao tena Bungeni mwaka 2025" amesema Mtangazaji wa Wasafi FM Hillary Daud a.k.a Zembwela leo Asubuhi katika 'Segment' yao ya Magazeti.
Hakika Mkuu na hapa ndipo Wasiwasi wangu mkubwa uliko kwani ninavyojua ni kwamba duniani kote hakuna Watu ( Raia ) Wanafiki kama Watanzania ( Waswahili )Mmewasahau watanzania, wakishapewa kanga na show za akina zuchu plus kampeni zenye matusi basi wanagawa kura kama kawaida
Kwa Umbumbu ( Uzuzu ) wa Wapiga Kura wengi ( siyo Wote ) wenye Unafiki mwingi na Njaa kali najua 98% ya Wabunge wa sasa Watarejea tena Bungeni.Hayo ni maoni ya Zembwela na wenzake, wewe unaamini kama kweli Watanzania watajielewa na Kwa maumivu ya tozo na ugumu wa maisha walionao, ni asilimia ngapi watarudi 2025?
Kwani hao waliyoingia kwa influence ya huyo uliyomtaja,wana uwezo wowote....wote ni wale waleWabunge wengi watakaopungua ni wale walioingia kwa influence ya Magufuli.
Team Mgaso itaweka watu wake almost kila mahali.
Ndio maana kule juu wamejipanga kuhakikisha hilo linatokea.
Salute mkuu you hit the point home, watanzania ni WANAFIKI, uongo, mazuzu na uoga wa kuogopa vivuli vyao!,bila push back came 2025 itakua kama CD 💿, utapigwa wimbo ule ule!wengi wanalalamika humu kwenye soft landing, mara ohoooo ajira, tumeonewa makazini, interview hazikua fair etc etc, push back in zero, ccm wapo tayari to take this country down as far as wanabaki madarakani, huu ndio ukweli!Hakika Mkuu na hapa ndipo Wasiwasi wangu mkubwa uliko kwani ninavyojua ni kwamba duniani kote hakuna Watu ( Raia ) Wanafiki kama Watanzania ( Waswahili )