Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Itatusaidiaje sisi wananchi?Wameenda kujifunza sanaa ya uigizaji kwa Wakorea dear.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itatusaidiaje sisi wananchi?Wameenda kujifunza sanaa ya uigizaji kwa Wakorea dear.
TumeuzwaaaWameenda kukutana na jumong 😄
Tanzania sahv kipaumbele namba moja ni mambo ya wasanii,waigizaji na wakata UNO mzee
Ova
Watanzania changamoto namba 1 ni mambo ya sanaa naoTumeuzwaaa
Ndo wanavyosema itakua tu umbea wa wabongo!Acha hizo basi kuwa serious Mkuu, yule dogo?
Hell no!
Hasara kwa taifaSio kila kitu kina manufaa ya direct mwaya.
Huyo kibonde ndio nani?yani mpana kama mlango wa kontenaView attachment 3002202
Mkono mtupu haulambwi!
Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili.
Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na wageni waalikwa wengine ambao ni viongozi na wadau wa tasnia ya burudani.
Katika uzinduzi huo Rais alitangaza rasmi ushiriki wa wasanii katika ziara zake ikiwemo ziara inayotarajiwa hivi karibuni nchini Korea ya Kusini, kisha kufuatiwa na ile ya Marekani.
Japo tangazo lake hilo lilikuja ikiwa tayari wasanii (waigizaji) walishaanza kufunga safari kuelekea nchini huko kabla ya Rais kuungana nao hapo baadaye.
Zengwe katika wasanii watakaosafiri na Rais
Kuna mchezo mchafu umefanyika katika nafasi za wasanii watakaoungana na Rais ziarani hapo. Safari hii ya Korea ya Kusini Rais ataambatana na waigizaji filamu.
Mkurugenzi wa bodi ya filamu nchini Dr. Kiagho Kilonzo anatajwa kufanya upendeleo kwa kupoka nafasi ya muigizaji mmoja mwanamama (jina linahifadhiwa kwa sasa) kisha kumuweka mwanadada mwingine anayedaiwa kuwa mpenzi wake.
Upendeleo huo wa waziwazi umewaumiza na kuwasononesha wengi, lakini Mkurugenzi hakujali hilo zaidi ya kuweka maslahi ya mpenzi wake mbele!
View attachment 3006418
Kupitia chanzo changu nyeti,
Nifah.
Shhhhh nifah silence is a weaponMhhhhhh! Sasa si useme hata kwa code?