Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam Kila zqma na kitabu chake ...haya mambo ukiwayachulupia siriasi" utakomda bureee! WatanzanIa wapiga kura ndiO Hawa Hawa wanaomshangilia Makonda,Ni sawa kwako kuona hivyo na ni sawa kwetu wengine kuona sio sawa pia.
Nchi yenyewe hii ya chama kimoja sijui hata hayo makampeni hua wanapiga ya kazi gani..?😐Halafu kwenye kampeni mtamsaidia kwenda? Hao wasanii ndio wanaotumika kujaza watu vijijini huko.
Sasa kwanini wasitafute njia zingine za 'kuwahonga'?Mkuu, hao watu wanategemeana. Haya ni maandalizi ya kampeni, kila mmoja anajitahidi kutumia nafasi yake kupata ushawishi kutoka kwa mwenzie.
Wasanii nchi hii ni turufu kwa wanasiasa wakati wa kampeni, huku wasanii nao wakivuna kupitia kampeni,
Sasa si ndio hayohayo Mkuu?Sasa kwanini wasitafute njia zingine za 'kuwahonga'?
Wawape tu hata hela badala ya kuharibu maana nzima ya ziara za kirais nchi za nje
Unaenda Korea na Steve Nyerere wa kazi gani badala ya kwenda hata na mzee Sanga mkulima wa parachichi Njombe angalau atatafsiriwa ataelewa masoko na mahitaji ya maandalizi ya parachichi kabla halijawa exported, Steve ataleta tija gani kwa Taifa?
Wasanii wanataka kuleta mageuzi ya kiuchumi tz 😄Shilole atakuwemo?
Hii ziara si anaenda kusaini mikataba ya madini na kupatiwa 2.5b usd?View attachment 3002202
Mkono mtupu haulambwi!
Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili.
Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na wageni waalikwa wengine ambao ni viongozi na wadau wa tasnia ya burudani.
Katika uzinduzi huo Rais alitangaza rasmi ushiriki wa wasanii katika ziara zake ikiwemo ziara inayotarajiwa hivi karibuni nchini Korea ya Kusini, kisha kufuatiwa na ile ya Marekani.
Japo tangazo lake hilo lilikuja ikiwa tayari wasanii (waigizaji) walishaanza kufunga safari kuelekea nchini huko kabla ya Rais kuungana nao hapo baadaye.
Zengwe katika wasanii watakaosafiri na Rais
Kuna mchezo mchafu umefanyika katika nafasi za wasanii watakaoungana na Rais ziarani hapo. Safari hii ya Korea ya Kusini Rais ataambatana na waigizaji filamu.
Mkurugenzi wa bodi ya filamu nchini Dr. Kiago Kilonzo anatajwa kufanya upendeleo kwa kupoka nafasi ya muigizaji mmoja mwanamama (jina linahifadhiwa kwa sasa) kisha kumuweka mwanadada mwingine anayedaiwa kuwa mpenzi wake.
Upendeleo huo wa waziwazi umewaumiza na kuwasononesha wengi, lakini Mkurugenzi hakujali hilo zaidi ya kuweka maslahi ya mpenzi wake mbele!
Kupitia chanzo changu nyeti,
Nifah.
Ok fuatilia mkuu.Sijafuatilia hilo Mkuu.
NgoswePenzi kitovu cha uzembe...
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake!View attachment 3002202
Mkono mtupu haulambwi!
Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili.
Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na wageni waalikwa wengine ambao ni viongozi na wadau wa tasnia ya burudani.
Katika uzinduzi huo Rais alitangaza rasmi ushiriki wa wasanii katika ziara zake ikiwemo ziara inayotarajiwa hivi karibuni nchini Korea ya Kusini, kisha kufuatiwa na ile ya Marekani.
Japo tangazo lake hilo lilikuja ikiwa tayari wasanii (waigizaji) walishaanza kufunga safari kuelekea nchini huko kabla ya Rais kuungana nao hapo baadaye.
Zengwe katika wasanii watakaosafiri na Rais
Kuna mchezo mchafu umefanyika katika nafasi za wasanii watakaoungana na Rais ziarani hapo. Safari hii ya Korea ya Kusini Rais ataambatana na waigizaji filamu.
Mkurugenzi wa bodi ya filamu nchini Dr. Kiagho Kilonzo anatajwa kufanya upendeleo kwa kupoka nafasi ya muigizaji mmoja mwanamama (jina linahifadhiwa kwa sasa) kisha kumuweka mwanadada mwingine anayedaiwa kuwa mpenzi wake.
Upendeleo huo wa waziwazi umewaumiza na kuwasononesha wengi, lakini Mkurugenzi hakujali hilo zaidi ya kuweka maslahi ya mpenzi wake mbele!
Kupitia chanzo changu nyeti,
Nifah.
Umeona wivu mleta mada kauza nini?Unajaziajazia minyama ili kujustify ulichoandika. Kama list ilishaandaliwa na wahusika wakapewa taarifa alafu mtu from nowhere akate jina huo ni uongo.
Maana kumbuka hiyo ni ziara ya raisi, kabla ya kuteua wa kwenda nae lazima list ipiiwe na iangaliwe kwa ukaribu sana maana pia usalama wa raisi unazingatiwa sana. Sasa mtu tu from nowhere hawezi kukata jina kienyeji hivyo na aweke anayetaka yeye.
Labda useme ilikua ni provisional list tu, na kama ilikua ni provisional basi hakuna haja ya hizi lawama.
Huyu kijana wa Prof Kilonzo hawezi kufanya hivyoninamjua fikaView attachment 3002202