Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu

Sijui Rais aliwaza nini kuamua hili..

Unaenda na wasanii kufanya nn hivi? Hii nchi hela watu hawana uchungu kabisa kuzila, alafu anaibuka mkuu wa mkoa Arusha kumlaumu mtendaji wa wilaya sijui kata kula laki 6, uhanithi mtupu yaani.

Kwanza watu wenyewe wasivyojitqmbua watakuchezea drama mama Rais hautaamini na nakuhakikishia wewe mwenyewe utafuta huu utaratibu
 
Mkuu, hao watu wanategemeana. Haya ni maandalizi ya kampeni, kila mmoja anajitahidi kutumia nafasi yake kupata ushawishi kutoka kwa mwenzie.

Wasanii nchi hii ni turufu kwa wanasiasa wakati wa kampeni, huku wasanii nao wakivuna kupitia kampeni,
 
Mkurugenzi wa bodi ya filamu nchini Dr. Kiago Kilonzo anatajwa kufanya upendeleo kwa kupoka nafasi ya muigizaji mmoja mwanamama (jina linahifadhiwa kwa sasa) kisha kumuweka mwanadada mwingine anayedaiwa kuwa mpenzi wake.
Mapenzi Mabaya Mapenzi Mapenzi Mapenzi Mabaya unaniona Mimi Zoba Zoozoba Ayeee
 
Mkurugenzi wa bodi ya filamu nchini Dr. Kiago Kilonzo anatajwa kufanya upendeleo kwa kupoka nafasi ya muigizaji mmoja mwanamama (jina linahifadhiwa kwa sasa) kisha kumuweka mwanadada mwingine anayedaiwa kuwa mpenzi wake.
Kwahy maana ake n kwamba tayari kuna list ya wanaotakiwa kwenda, sasa kama list ipo je n nani aliyeiandaa hiyo list mpaka imfikie Kilonzo hadi aweke watu wake.?
 
Back
Top Bottom