Waje tu hao FIFA, hapa kazi tuWakiwadaka tu ndio watakuwa wamewaalika fifa
Mwizi ni mwizi tu at avae taiZungumza maneno yenye hekima, lugha zako za vijiweni speaks volume kuhusu tabia zako, labda nikulize swali dogo:Hivi tangu Serikali ya awamu ya kwanza iondoke madarakani unaweza kunipatia takwimu ni lini Tanzania ilifanikiwa kuleta kikombe cha ushindi nchini? Eti kafoji sijui nini ndiyo maana kiwango cha mpira nchini kimeshuka, tangu lina kiwango cha mpira kikapanda nchini - lini? Kiala siku magazeti yamejaa taarifa za infight ndani ya taasisi ya TFF wanagombania ukwapuaji majungu, fitina na tuhuma zisizo kuwa na kichwa wala miguu, nimewahoji tuna uhakika gani kama fedha za FIFA zimeliwa kweli - je wakija FIFA wenyewe wakasema fedha zao zimetumika vizuri nyinyi mtasema nini? Bila shaka mnajua hoja yangu ina mshiko ndiyo maana mnakuja na hoja mbadala eti Malinzi na kundi lake wametumia vibaya michango ya Serengeti, sijui Malinzi na kundi lake wameforge nini - lawama na madai chungu mzima, mnayesema hayo wakati hamjui mahakama itasema nini kuhusu tuhuma hizo.
mkuu wale vijana wa serengeti boys hawajapewa stahiki zao mpaka leo
Angalia yule nahodha anajitibia mwenyewe mguu ambao kaumia akiwa na timu ya Taifa
nilimsikia mwesiga anasema zile pesa walienda kulipia deni wanalodaiwa na TRA ,ndiyo maana hawakuwapa stahiki zao wachezaji
Duuh.kazi ipo.mwenyekiti kasema katiba inatambua mtu akiwa na dharula ,yeye akasema dharula ni pale ambapo kafika kwenye usaili akaumwa ghafla ,lakini la kuwekwa selo hilo si dharula ni lao binafsi
mkuu TFF kuna fedha nyingi zaidi ya hizo za FIFA,FIFA wakisema zao hazijaliwa sawa ila sidhani kama wanaleta wakaguzi wa fedha.Kumbuka kuna mashitaka ya kughushi ,waweza kuwa umemlipa mhusika lakini taratibu za fedha hazikufuatwaZungumza maneno yenye hekima, lugha zako za vijiweni speaks volume kuhusu tabia zako, labda nikulize swali dogo:Hivi tangu Serikali ya awamu ya kwanza iondoke madarakani unaweza kunipatia takwimu ni lini Tanzania ilifanikiwa kuleta kikombe cha ushindi nchini? Eti kafoji sijui nini ndiyo maana kiwango cha mpira nchini kimeshuka, tangu lina kiwango cha mpira kikapanda nchini - lini? Kiala siku magazeti yamejaa taarifa za infight ndani ya taasisi ya TFF wanagombania ukwapuaji majungu, fitina na tuhuma zisizo kuwa na kichwa wala miguu, nimewahoji tuna uhakika gani kama fedha za FIFA zimeliwa kweli - je wakija FIFA wenyewe wakasema fedha zao zimetumika vizuri nyinyi mtasema nini? Bila shaka mnajua hoja yangu ina mshiko ndiyo maana mnakuja na hoja mbadala eti Malinzi na kundi lake wametumia vibaya michango ya Serengeti, sijui Malinzi na kundi lake wameforge nini - lawama na madai chungu mzima, mnayesema hayo wakati hamjui mahakama itasema nini kuhusu tuhuma hizo.
Hawa wanakamati ni wapuuzi, wakiendelea na huu ujinga, magufuli futa hii tff pesa tuelekeze kwenye Mambo mengine!na hao hao akina Malinzi na Wahuni wenzake
Mimi ndio maana nikakwambia huku sio kwako unabisha,Mimi nimezungumzia kushuka viwango vya FIFA wewe unasema vikombe wapi nimezungumzia vikombe,wewe tuambie harmonize amekuja na tuzo gani hizo ndio issue zako,wakati wa Mzee Tenga Tanzania ilifika 70's lakini tupo 140's sasa si Bora majizi yafungwe tu.Zungumza maneno yenye hekima, lugha zako za vijiweni speaks volume kuhusu tabia zako, labda nikulize swali dogo:Hivi tangu Serikali ya awamu ya kwanza iondoke madarakani unaweza kunipatia takwimu ni lini Tanzania ilifanikiwa kuleta kikombe cha ushindi nchini? Eti kafoji sijui nini ndiyo maana kiwango cha mpira nchini kimeshuka, tangu lina kiwango cha mpira kikapanda nchini - lini? Kiala siku magazeti yamejaa taarifa za infight ndani ya taasisi ya TFF wanagombania ukwapuaji majungu, fitina na tuhuma zisizo kuwa na kichwa wala miguu, nimewahoji tuna uhakika gani kama fedha za FIFA zimeliwa kweli - je wakija FIFA wenyewe wakasema fedha zao zimetumika vizuri nyinyi mtasema nini? Bila shaka mnajua hoja yangu ina mshiko ndiyo maana mnakuja na hoja mbadala eti Malinzi na kundi lake wametumia vibaya michango ya Serengeti, sijui Malinzi na kundi lake wameforge nini - lawama na madai chungu mzima, mnayesema hayo wakati hamjui mahakama itasema nini kuhusu tuhuma hizo.
Kulikua na Fedha za TBL, NMB, Vodacom, Azam, Wananchi wanaochanga, etcmkuu TFF kuna fedha nyingi zaidi ya hizo za FIFA,FIFA wakisema zao hazijaliwa sawa ila sidhani kama wanaleta wakaguzi wa fedha.Kumbuka kuna mashitaka ya kughushi ,waweza kuwa umemlipa mhusika lakini taratibu za fedha hazikufuatwa
Alipanga wahaya wenziwe ili waigeuze TFF Kagera Sugar !Mkuu hivi hao Serengeti Boys kwani walikwama kuondoka nchini au kukosa nauri ya kirudi? hawakulala kwenye Hoteli yenye hadhi au kupewa three course meals? Tuna uhakika gani kma Malinzi na wenzake walishindwa ku-accout fedha zilivyo tumika, narudia kwamba simtetei Malinzi tuwe wakweli linapokuja suala la uchanguzi wa Viongozi wa TFF ujitokesa majungu, fitina na mizengwe lukuki tusishangae ya Malizi na kundi lake, hata Tenga mabo yalikuwa ni haya haya mara kuwekeana pingamizi, mara fedha zilikuwa misappropriated mara... ujinga mtupu - we angalia mambo ya usanii yanayo endelea TFF utasikia amekwisha teuliwa mtu wa kukahimu nafasi ya malizi, mara malizi hasirudi hapa kwa kuwa anatuhumiwa wanayesma hayo hata kabla ya hakimu kusema chochote wako overly concern kumuondoa Malinzi basi sa if wakiteuliwa wao ndio wataleta mabariko ya kweli ya kandanda nchini - usanii tu ndiyo unaendelea hapa - mawazo yao yote yapo kuwania ukwapuaji tu.
wao siku zote kuhonga wajumbe watiifu kwao,kuvuruga vyama vya soka ambavyo haviwaungi mkono ,ni mizozo mizozo mizozo tuKulikua na Fedha za TBL, NMB, Vodacom, Azam, Wananchi wanaochanga, etc
Ila jamaa anajua wenye kuleta hela ni FIFA tu
Ila kama hata Shetani ana Wafuasi watiifu tu kwake, basi siwezi kushangaa hawa wezi nao kua na wafuasi watiifu kwaowao siku zote kuhonga wajumbe watiifu kwao,kuvuruga vyama vya soka ambavyo haviwaungi mkono ,ni mizozo mizozo mizozo tu
Majaliwa aliwaonya wakati anazichangisha zile pesa za Serengeti Boys, wakamuona anachekesha. Sasa wanaisoma numbermkuu wale vijana wa serengeti boys hawajapewa stahiki zao mpaka leo
Angalia yule nahodha anajitibia mwenyewe mguu ambao kaumia akiwa na timu ya Taifa
nilimsikia mwesiga anasema zile pesa walienda kulipia deni wanalodaiwa na TRA ,ndiyo maana hawakuwapa stahiki zao wachezaji
Wewe utakuwa Team nshomile !Zungumza maneno yenye hekima, lugha zako za vijiweni speaks volume kuhusu tabia zako, labda nikulize swali dogo:Hivi tangu Serikali ya awamu ya kwanza iondoke madarakani unaweza kunipatia takwimu ni lini Tanzania ilifanikiwa kuleta kikombe cha ushindi nchini? Eti kafoji sijui nini ndiyo maana kiwango cha mpira nchini kimeshuka, tangu lina kiwango cha mpira kikapanda nchini - lini? Kiala siku magazeti yamejaa taarifa za infight ndani ya taasisi ya TFF wanagombania ukwapuaji majungu, fitina na tuhuma zisizo kuwa na kichwa wala miguu, nimewahoji tuna uhakika gani kama fedha za FIFA zimeliwa kweli - je wakija FIFA wenyewe wakasema fedha zao zimetumika vizuri nyinyi mtasema nini? Bila shaka mnajua hoja yangu ina mshiko ndiyo maana mnakuja na hoja mbadala eti Malinzi na kundi lake wametumia vibaya michango ya Serengeti, sijui Malinzi na kundi lake wameforge nini - lawama na madai chungu mzima, mnayesema hayo wakati hamjui mahakama itasema nini kuhusu tuhuma hizo.
Acha kutetea upuuzi hata kama ni mtu wa kwenu kama kakosea inabidi ashughulikiwe haijalishi ni lini......tuhuma za Malinzi zilianza hata humu muda mreefu tu,jamaa alikuwa mpigaji yule!!Mkuu hivi hao Serengeti Boys kwani walikwama kuondoka nchini au kukosa nauri ya kirudi? hawakulala kwenye Hoteli yenye hadhi au kupewa three course meals? Tuna uhakika gani kma Malinzi na wenzake walishindwa ku-accout fedha zilivyo tumika, narudia kwamba simtetei Malinzi tuwe wakweli linapokuja suala la uchanguzi wa Viongozi wa TFF ujitokesa majungu, fitina na mizengwe lukuki tusishangae ya Malizi na kundi lake, hata Tenga mabo yalikuwa ni haya haya mara kuwekeana pingamizi, mara fedha zilikuwa misappropriated mara... ujinga mtupu - we angalia mambo ya usanii yanayo endelea TFF utasikia amekwisha teuliwa mtu wa kukahimu nafasi ya malizi, mara malizi hasirudi hapa kwa kuwa anatuhumiwa wanayesma hayo hata kabla ya hakimu kusema chochote wako overly concern kumuondoa Malinzi basi sa if wakiteuliwa wao ndio wataleta mabariko ya kweli ya kandanda nchini - usanii tu ndiyo unaendelea hapa - mawazo yao yote yapo kuwania ukwapuaji tu.
mkuu TFF kuna fedha nyingi zaidi ya hizo za FIFA,FIFA wakisema zao hazijaliwa sawa ila sidhani kama wanaleta wakaguzi wa fedha.Kumbuka kuna mashitaka ya kughushi ,waweza kuwa umemlipa mhusika lakini taratibu za fedha hazikufuatwa
Kabla hajaingia TFF, kuna kipindi nilikuwa nagongana nae sana Bank Kuu. Daah...wahaya noma sana !Acha kutetea upuuzi hata kama ni mtu wa kwenu kama kakosea inabidi ashughulikiwe haijalishi ni lini......tuhuma za Malinzi zilianza hata humu muda mreefu tu,jamaa alikuwa mpigaji yule!!
Siyo kweli, ingawa na mimi ni mzaliwa wa Mkoa wa Kagera lakini huwa si support mambo ya ndiyo sivyo, jaribu kupitia comments zangu kuhusu Malinzi hasa pale alipotaka kumuwekea pingamizi jamaa fulani nimesahau jina lake, nilimjia juu kweli kweli kwamba hazianzishe mizengwe hisiyo na tija - let wapiga kura ndiyo wachangue Kiongozi watakaye muona anafaa - please jaribu kutafuta comments zangu.Wewe utakuwa Team nshomile !
Mkuu nikuulize swaliWell said, nimekupata vizuri sana mkuu - narudia kusema kwamba sio kwamba namtetea Malinzi na kundi lake - mkuu mimi binafsi nimefanya kazi na Govt Agencies za wenzetu weupe si rahisi kukwapua fedha zao bila ya kubainika, wako makini kweli kweli, sasa swali? Unakuwaje FIFA isewe na wasi wasi na Malinzi na kundi lake, kumbuka FIFA wanatoa fedha nyingi kwenye masuala ya kuendeleza mpira nchini - sasa iweje tena kwa sisi kudai kwamba Malinzi na wenzake ni wezi wa kutupwa, kisa? Eti wamekwapua fedha za michango ya Serengeti Boys, kuna ukweli gani katika madai hayo kama si majungu na fitina za kujaribu kutafuta sababu za kumuengua Malinzi hasiwanie kiti cha Uongozi wa TFF - kwa nini msiwachie wapiga kura ndiyo wachague mgombea wanaye mtaka wao, yaani masaa yote maadui wake wanatumia vyombo vya habari ku-demonise binadamu wenzao - hivi inaingilia akilini kwamba Malinzi atakimbilia kukwapua michango ya Serengeti Boys yaani akose chembe ya Uzalendo, hivi Malinzi ana njaa ya kufikia kujidhalilisha kweli? Personally I don't think so, if anything angekimbilia fedha za FIFA ambazo zilikuwa ni nyingi ukilinganisha na za Serengeti Boys.