Well said, nimekupata vizuri sana mkuu - narudia kusema kwamba sio kwamba namtetea Malinzi na kundi lake - mkuu mimi binafsi nimefanya kazi na Govt Agencies za wenzetu weupe si rahisi kukwapua fedha zao bila ya kubainika, wako makini kweli kweli, sasa swali? Unakuwaje FIFA isewe na wasi wasi na Malinzi na kundi lake, kumbuka FIFA wanatoa fedha nyingi kwenye masuala ya kuendeleza mpira nchini - sasa iweje tena kwa sisi kudai kwamba Malinzi na wenzake ni wezi wa kutupwa, kisa? Eti wamekwapua fedha za michango ya Serengeti Boys, kuna ukweli gani katika madai hayo kama si majungu na fitina za kujaribu kutafuta sababu za kumuengua Malinzi hasiwanie kiti cha Uongozi wa TFF - kwa nini msiwachie wapiga kura ndiyo wachague mgombea wanaye mtaka wao, yaani masaa yote maadui wake wanatumia vyombo vya habari ku-demonise binadamu wenzao - hivi inaingilia akilini kwamba Malinzi atakimbilia kukwapua michango ya Serengeti Boys yaani akose chembe ya Uzalendo, hivi Malinzi ana njaa ya kufikia kujidhalilisha kweli? Personally I don't think so, if anything angekimbilia fedha za FIFA ambazo zilikuwa ni nyingi ukilinganisha na za Serengeti Boys.