Zengwe zito uchaguzi TFF

Wale wale tu, wakabila !
 
wapiga kura washahongwa mkuu,kitu alichokifanya Poti Malinzi ni kuhakikisha wajumbe wengi wanaopitishwa wilayani wanakuwa ni watu ambao ni watiifu kwake,ndiyo maana walipopitishwa wajumbe ambao ni tofauti na yeye uchaguzi ulifutwa ushahidi upo mwingi tu
 
Alipanga wahaya wenziwe ili waigeuze TFF Kagera Sugar !

Tatizo lako badala ya kutumia akili ulizo jaliwa na your Makers unakimbilia kutuletea mipasho ya taarabu, hilo la kwanza - la pili, nani alikwambia Kiwanda cha Kagera ni mali ya Wahaya - nani? je, ni Wahaya wangapi wapo kwenye team ya Kagera Sugar?

Baba wa Taifa aliwahi kusema kwamba watu waliofirisika akili reasoning capacities uwatuma kumbilia kutaja taja makabila wakikosa hoja zenye mshiko - wewe ni spitting image ya kundi hilo - Iam sorry kukwambia hivyo - leta hoja sio kutaja taja makabila.
 
lakini si mwenyekiti wa chama cha soka Kagera ,Mwache akaongozi kagera mkuu
 

Mkuu, kama MALINZI anaji-tumkubisa kutumia mbinu hizo na a water tight ushahidi hupo hapo mimi sita mtetea.
 
Usitushughulishe aiseeh, kila mchangiaji anakushangaa unavyo haingaika. Na ni uhaya tu ndo unakusumbua. Hata vitu vya wazi unajifanya huvioni. Malinzi kala pesa ya TBL, Azam, Vodacom na za Serengeti Boys !
 
Mkuu, kama MALINZI anaji-tumkubisa kutumia mbinu hizo na a water tight ushahidi hupo hapo mimi sita mtetea.
Malinzi aliyumia mbinu aliyotumia Mkuu Lowasa kuwa na wajumbe watiifu katika uchaguzi,na alikuwa anaenda kushinda kwa kishindo
 
mkuu kabla ya Kuna huku jf na mapovu ungeelewa kwanza wanashtakiwa kwa makosa gani.sio pesa za FIFA wala Serengeti boys Ni ripoti ya auditor WA tbl ndo msingi WA kesi mengineyo mbwembwe tu
 
Malinzi anajulikana. Msimletee misiba isiyomuhusu
 
Mkiingilia uchaguzi fifa inapiga kitanzi

Si ndiyo hapo mkuu, ukurupukaji tu na kujifanya wajuaji - FIFA itawapiga pini wakose pa kutokea, FIFA hawaruhusu mambo ambayo ni too chaotic, who needs changing leadership like bolts in a machine, na ukichunguza ugomvi,majungu na fitina vinasabishwa na nini utakuta ni ulaji tu sio kuendeleza mpira.

TFF inachukuliwa kama ni kichaka cha watu kutokea kimaisha - wote wanao wania nafasi ya TFF akili zao zote ziko huko huko ndiyo maana wanapigana vita vya kufa na kupona, mara huyu kamuwekea pingamizi fulani yule, mara huyu kaiba sijui nini yaani vurugu tupu, mimi naona kukomesha ujinga huu Wizara ndiyo iwe inahusika kuajiri Viongozi wa TFF, tukishindwa kutumia mbinu hizo Watanzania masuala ya mipira tutakua tunayasikia kwenye luninga za Ulaya.
 
Stahiki zao kama?
 
ndugu amini usiamini hakuna uchaguzi ,naona kabisa hii tume ya uchaguzi TFF ilipangwa uwabebe akina Malinzi,inavyoonesha hawa wajumbe 4 kesho na wao watabandika matokeo yao ya usahili mbali na yale ya mwenyekiti
Mjaribu kuwa rational mnavyokuwa mna argue.Angekuwa Malinzi ana uwezo km Ndolanga, FIFA ingekwisha wagonga nyundo Mwigulu na wenzake TAKUKURU.

TAKUKURU tusiwasifie sana, nao wana hila katika hili na siyo kwamba wana dhamira chanya
 
Ww acha porojo kwani tuhuma zinawakati?
Muda wowote ukihisiwa sasa una makosa lazima ukamatwe wakati wowote na mahali popote kujali unafanya nn kwa wakati huo!!
 
Hivi mbona ww unatokwa povu zaid hata ya omo unalipwa sh ngapi kuwatetea hawa wezi au ndo miongoni Mwa wajumbe wanaotaka kuharibu uchaguzi?
Kama ni mjumbe nikwambie tu muda wako unahesabika utawafuata wenzio waliko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…