Yule hakimu upo uzi wake humu JF, ni mla rushwa wa kutukuka !Ndiyo maana nasema TFF kuna a deep seated tatizo pale, si bure!! Wataendelea kubadirisha badirisha Uongozi kama nuts za kuunganisha mashine lakini hakuna lolote litakalo badirika - Wizara ndiyo inapaswa kuajiri Director/Manager wa kusimamia kitengo hicho - huo ndio unaweza kuwa ni mwarobaini wa kukomesha matatizo sugu ya Uongozi wa TFF.
Nyamlani ni mtu wa Usalama wa Taifa. Hilo alishaligundua kitambo sananyamlani mwanzo sikuelewa kwanini kajitoa kumbe alishanusa
Apigwe mama yako na baba yako mshenzi mkubwa weHivi pesa za tff sio za umma kweli.......
Kwa nn ikibainika watu km malinzi wasipigwe risasi km wafanyavyo China ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia km hiyo