Zeppelin ikiwa juu ya anga la Berlin 1915

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1636019231634.png

Zeppelin ni meli ndege iliyopewa jina la mbunifu aliyeiunda aliitwa Count Ferdinand von Zeppelin. Zeppelin ilileta mabadiliko makubwa katika usafirishaji wa mizigo kwa njia ya anga.
 
Hiwa kuna muda nikisoma vitabu vya historia kama hizi .. mara nyingi najihisi nipo dunia nyingine tofauti sana.. au muda mwingine najihisi nipo kwenye past time ya kipindi hayo matukio yakitoke

MÊmENtO HoMO
 
Wajerumani ni next level

Ndio maana wajuvi wa Mambo wanasema isingekuwa WWI ujerumani kuondolewa Tanganyika Basi tungekuwa zaidi ya nnchi Kama south Africa au pakstan
Agenda yao kubwa ilikua ni kuchota mali, madini, meno ya tembo na mbao kutoka Tanganyika ziliitajirisha Ujerumani kwa kipindi kifupi. Uingereza waliwaonea wivu sana.

Hata wangekaa sana maeneo ya weusi yasingeendelezwa sana tungekuwa na Soweto kama South Africa. Lakini Mzungu ana utu anapojenga shule hospital anaweka barabara, maji na umeme tofauti na mkoloni CCM.

Uzuri wao Wajerumani wanachapa kazi. Tusingekua na tatizo la ajira kwa vijana.
 
Kwahiyo Leo hatuna maji shule wala barabara,hapo ulipo umesoma shule/kunywa maji/kutembea kwenye barabara zilizo jengwa na sarikali ya tz inayoongozwa na CCM kweli nyumbu ni nyumbu Tu
 
1915 Berlin ya wakati ni zaidi ya jiji la Ilala. 60 years! After the so called independence Angalia municipalities zote zinavyofanana.
 
Agenda yao kubwa ilikua ni kuchota mali, madini, meno ya tembo na mbao kutoka Tanganyika ziliitajirisha Ujerumani kwa kipindi kifupi. Uingereza waliwaonea wivu sana.

Hata wangekaa sana maeneo ya weusi yasingeendelezwa sana tungekuwa na Soweto kama South Africa. Lakini Mzungu ana utu anapojenga shule hospital anaweka barabara, maji na umeme tofauti na mkoloni CCM.

Uzuri wao Wajerumani wanachapa kazi. Tusingekua na tatizo la ajira kwa vijana.
Kweli kabisa Ukoloni was Wazilungu ulikuwa na nafuu kuliko huu wa sasa!
 
Kwahiyo Leo hatuna maji shule wala barabara,hapo ulipo umesoma shule/kunywa maji/kutembea kwenye barabara zilizo jengwa na sarikali ya tz inayoongozwa na CCM kweli nyumbu ni nyumbu Tu
Yaani baada ya miaka 60 ,Kuna watito wanakaa chini,Kuna maeneo hayana maji,zahanati Wala Shule...CCM no janga!
 
Nitajie nchi moja Tu ya Africa ambayo haina upungufu wa hivi vitu ulivyo orodhesha,unazungumzia miaka 60 unaona mingi
 
Back
Top Bottom