Zero IQ ni mtu muelewa sana ila anapenda nini kingine zaidi ya ngono?

Hata hivo ni jambo la heshima sana,
kwani kujitafutia kipato imekua tatizo sana kwa vijana wengi, endapo ajira ya serikali ikizingua, au masomo yakizingua.

Respect to you, uwazi ni kitu kizur ndan ya maisha.
Mkuu zile hasoling nilizopitia na ndugu yangu magu hataki tukale wote keki ya taifa tena kwa kozi pendwa ya Afya nikaona no sweat wacha nipapambane kitaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…