Zero IQ ni mtu muelewa sana ila anapenda nini kingine zaidi ya ngono?

Zero IQ ni mtu muelewa sana ila anapenda nini kingine zaidi ya ngono?

Hata hivo ni jambo la heshima sana,
kwani kujitafutia kipato imekua tatizo sana kwa vijana wengi, endapo ajira ya serikali ikizingua, au masomo yakizingua.

Respect to you, uwazi ni kitu kizur ndan ya maisha.
Mkuu zile hasoling nilizopitia na ndugu yangu magu hataki tukale wote keki ya taifa tena kwa kozi pendwa ya Afya nikaona no sweat wacha nipapambane kitaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nacheka kwa dharau kama ata ID ya Suriya hauijui ni ya mwaka gani?
Kwan mwisho wa kufungua IDs mbili ni mwaka gani? Maana haina connection kabisa.it isnt logical.mwaka na kuwa na IDs mbili kuna uhusiano gani?
Pia tofautisha ata miandiko tu kama kweli we ni great thinker na sio popoma kama GENTAMYCINE(jokes)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom