ZEZETA imedhihirisha Rayvanny anabebwa na MISIFA tu na KISMATI. Ni ngoma mbovu balaa

Kuna siku nimeenda studio kwa wanangu pale Kurasini.Basi nikakuta wanasuka beat.
Basi wakanipa mic nijaribu kuingiza mistari ili wajaribu beat yao.....
Ukizingatia mie sio msanii ebana NILIISHIA KUSEMA BABY NAKUPENDAAAAA....


TOKA SIKU HIYO NAHESHIMU SANA WIMBO WA MTU...KUNA KAZI SANA KUTUNGA,KUIMBA NA KUFANYA KAZI YAKO IKUBALIKE.

Japo namkubali sana harmonize kuliko rayvanny
 
Sio kila mtu aimbe, wengine wadau tu wa muziki
 
Pengine alitumia akili ya kizezeta kuandika hiyo ngoma
 
Inaonekana shemeji anapenda sana nyimbo za rayvan hasa zezeta ndio mana umekuja kumpomda huku
 
Radi itakayokupiga Bado iko gym inapasha... We ngoja..
 
Hapo umedhihirisha live kwamba una chuki binafsiii, kinyagooo!
Sikiliza wimbo wake unaitwa SUGU Kajiita hivyo ndugu yangu, mimi sina huo muda wa kuchukia mtu, ili nipate faida gani sasa. Kwanza mimi ni shabiki mkubwa sana WCB ndio maana wakinidissappoint naumia sana
 
Inaonekana shemeji anapenda sana nyimbo za rayvan hasa zezeta ndio mana umekuja kumpomda huku
Mimi nina sikio la muziki, na hapa ni kama mdau tu ndio maana nikaweza angalizo. Rayvanny ana nyimbo hata 8 tu hajafikisha kaanza kutoa ngoma mbovu ataweza kutunga nyimbo hata 15 kali kweli ?
 
Hii ngoma kali mno,kwenye gari yangu ndio ngoma kuu..km jana hata foleni sikuinotice kabisaa
 
Huyu jamaa mpumbafu sana unaweza kusema rayvann ni mbovu bila kuleta zako tukalinganisha na zake
 
Safar yako ni ndefu sana ad ujue mziki,inaweza kukugharimu hata maisha yako yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…