ZEZETA imedhihirisha Rayvanny anabebwa na MISIFA tu na KISMATI. Ni ngoma mbovu balaa

ZEZETA imedhihirisha Rayvanny anabebwa na MISIFA tu na KISMATI. Ni ngoma mbovu balaa

Kazi ya Mondi inaonekana anakuza vipaji. Mwenzake Ali wa Leo yupo Kariakoo anacheza Dhumna hana habari na sanaa.
 
Ukweli mm sijawahi kumwelew huyu jamaa na nashangaaga sana wanapomlinganisha na harmonize.....harmonize hajawai toa ngoma mbovu hata siku moja kila ngoma akitoa ni hit song lkn rayvanny ngoma moja tu ambayo ilihiti ambayo ni kwetu lkn iz zote zilizobaki ni flop song kama nn
Msukule naona Leo unawageuka maboss zako
 
Pale Madale hakuna yoyote mwenye kipaji cha muziki wote wajanja wajanja tu.

Dimond-kipaji chake kusema hovyo
Harmonise-anamuiga Dimond
Mavoko-Alikuwa zamani siku hizi anapiga kelele
Raymond-alikuja anajitaidi siku hizi hakuna kitu kishaambukizwa ubovu
 
Kazi ya Mondi inaonekana anakuza vipaji. Mwenzake Ali wa Leo yupo Kariakoo anacheza Dhumna hana habari na sanaa.
Analazimisha tu kuinua vipaji lakini hana nguvu hiyo, hata abdu kiba tu kashindwa kumsaidia
 
Habari wadau wa Celebrities !!.

Leo nataka nimzumgumzie huyu msanii ambaye amekuwa akipewa sifa nyiiingi kwamba ana uwezo mkubwa, kwa kumsikiliza leo Ngoma zake zote ukiacha KWETU ni mbovu balaa.

1. SUGU ( Mbovu), ZEZETA ( Mbovu ), & SALOME ( Umeshirikishwa umeimba MATUSI balaa ). Somehow PENZI, SHIKWAMBI na MBELEKO ni ngoma nzuri japo hujazitoa serious.

- Mbona mwenzio HARMONIZE kila akitoa ni NGOMA Kali na ni mtu yuko serious sana ukiona kazi zake

2. AIYOLA, INDE, BADO, NIAMBIE, PENZI, KIDONDA CHANGU, SHOW ME & HAPPY BIRTHDAY - Ngoma zote "HITS"

- Rayvanny kuwa serious tumekuchoka, kwanza huo wimbo wako wa ZEZETA ni mbovu na MELODY utafikiri umetungiwa na BEKA wa YAMOTO BAND, Ngoma mbovu - umebakiza SIFA na MBWEMBWE tu.

Fanya kazi, Sifa unazopewa zimekuharibu. Hauko SERIOUS na unatunga NGOMA Mbaya balaa, Ulivyotoa NATAFUTA KIKI kama ngoma ya ZIMA MOTO ikahit ni kama imekuwa trend sasa ya kufanya ngoma kwa zimamoto. Shiit

we mchawi mkuu

kwani anashindana na harmonise?

au yuko mwanamuziki huyo tu, sikiliza wengine

au una mkataba nae? ushamlipa kutoa nyimbo?
 
Habari wadau wa Celebrities !!.

Leo nataka nimzumgumzie huyu msanii ambaye amekuwa akipewa sifa nyiiingi kwamba ana uwezo mkubwa, kwa kumsikiliza leo Ngoma zake zote ukiacha KWETU ni mbovu balaa.

1. SUGU ( Mbovu), ZEZETA ( Mbovu ), & SALOME ( Umeshirikishwa umeimba MATUSI balaa ). Somehow PENZI, SHIKWAMBI na MBELEKO ni ngoma nzuri japo hujazitoa serious.

- Mbona mwenzio HARMONIZE kila akitoa ni NGOMA Kali na ni mtu yuko serious sana ukiona kazi zake

2. AIYOLA, INDE, BADO, NIAMBIE, PENZI, KIDONDA CHANGU, SHOW ME & HAPPY BIRTHDAY - Ngoma zote "HITS"

- Rayvanny kuwa serious tumekuchoka, kwanza huo wimbo wako wa ZEZETA ni mbovu na MELODY utafikiri umetungiwa na BEKA wa YAMOTO BAND, Ngoma mbovu - umebakiza SIFA na MBWEMBWE tu.

Fanya kazi, Sifa unazopewa zimekuharibu. Hauko SERIOUS na unatunga NGOMA Mbaya balaa, Ulivyotoa NATAFUTA KIKI kama ngoma ya ZIMA MOTO ikahit ni kama imekuwa trend sasa ya kufanya ngoma kwa zimamoto. Shiit

Mi ni mdau mkubwa sana wa huyu dogo lakini leo nakuunga mkono mtoa mada....Hivi huyu dogo sijui anashauriwaga na nani kabla ya kutoa nyimbo zake...Yaaan zile nyimbo zake nzuri azipi uzito na hazitoi officially.....minyimbo mibaya mibaya ndo anaifanyia media tour.....hii zezeta hamna kitu....yaan kaboronga tuuu,melody mbaya,beat mbayaaaa,video imepoaaaa...yaaan ameimba kizezeta kweli...

Hivi unaachaje kuipa promo na kuirelease officially nyimbo kama Mbeleko?? bora hata ange release nyimbo yake ya 'unaibiwa' kuliko hii ya zezeta, nyimbo mbayaaaaaaa!!!
 
Back
Top Bottom