Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Akizungumza katika kipindi cha Kivulini Talk, Mkuu wa Programu wa JamiiAfrica, Ziada Seukindo, amesema kuwa mwaka mmoja baada ya matukio ya Oktoba 29, bado kuna deni la ukweli na uwajibikaji.
"Unajua ni kama bado tunasubiri ukiangalia hata comments, social media ah ukiangalia event yoyote ikitokea watu wanakumbushia kwa hiyo bado kuna unfinished business... kama taifa tunasubiri"
"naweza kusema hakuna kitu najua serikali inafanya vitu vingi hata mambo ya maendeleo ya miundobinu na nini lakini yote hayo kama wananchi tunashindwa kushiriki pamoja kama nchi na kuwa pamoja na kusupport vinavyoendelea kwa sababu bado kuna deni la ukweli ujulikane lakini kikubwa uwajibikaji pia uonekane.
Soma Pia: Tume ya Jaji Lila kuanza uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29