Ziara Maalum ya RC Makalla Kigamboni yabaini eneo la Avic Town na GSM walilopewa Yanga SC lina Mgogoro wa Ardhi

Usimba huo na wanaona wivu tu alvic town na bunju wapi na wapi Simba walitamani wapewe kiwanja ktk eneo Hilo nyeti kbsa kuwa kutokea tz
 
Makolosenge FC mnaanzishaga thread za kichoko sn ndo maana rage aliwaita mbumbu. Je avic town ni Mali ya gsm au si mali Yao wamekodi Tu? Pili hapo avic town ndipo eneo walilopewa yanga na makonda ndo Hil eneo la avic town yanga wameshajenga? Huyu mwanzisha hii thread si ndiye kolosenge aliyesema juma shaaban Haji yanga na amerudisha pesa ya Yan kaenda Morocco si ni huyu huyu kolosenge mwny I'd zaidi ya elfu moja
 
Una hoja ya msingi ila ulipoanza kuleta ushabiki wa Simba na Yanga hoja yako umeigeuza kioja.
 
BASHITE bado mshauri wenu mkuu?!
 
Kutenganisha Avic Town na GSM ( Wadhamini wakuu wa Yanga SC ) ni sawa na Kumtenganisha Shetani ( Lucifa ) na Dhambi.

Na hivi RC Makalla ni Simba SC mtanyooshwa tu na katika hili anzeni kujiandaa nalo Kisaikolojia kwani limewakalia vibaya sana.
[https://www]

ABOUT AVIC TOWN

[https://www]

AVIC TOWN is a low-density and high-end villa project which was created by China Aviation Technology International Holdings Co., Ltd., with a total investment of 800 million US dollars. At present, 130 sets of purely single-family villas in 6 types have been completed at the first phase plan. The overall quality of the projects presented has surpassed any villa project community in Tanzania. It is a well-deserved NO.1, which is the representative of the whole project.

[https://www]

Bird View


We are a community with many amenities. Such as Football Field, Basketball Court, Swimming pool, Gym, Shopping Center, etc. SEE MORE

We also have provided our community with close gate security, CCTV courage, and Police station to ensure your safety in AVIC TOWN SEE MORE

AVIC TOWN Kigamboni is developed by AVIC Coast Land Development (T) LTD and invested by AVIC INTERNATIONAL.

ABOUT AVIC INTL

[https://www]

AVIC INTERNATIONAL is a large scaled state owned company affiliated to Aviation Industry Corporation of China (AVIC, a Fortune 500 company). AVIC INTL specializes in six major business sectors, including international aviation, trade and logistics, retail & high-end consumer goods, real estate and hotel management, electronic high technology and development of resources.


AVIC INTL has established 89 branches in 38 countries and regions and owns eight listed companies with over 70,000 employees serving customers in more than 180 countries and regions such as Tanzania, Kenya, Zambia, Algeria, UAE, Sri Lanka, Malaysia, etc.

[https://www]

This is not our first time building projects in Tanzania. Here are some of our other projects developed and established in Dar es Salaam.







[https://www]

Oysterbay apartment — Apartment for rent in Oysterbay







[https://www]

Sea view apartment — Apartment for rent in Upanga

About Us

AVIC TOWN Kigamboni is located in Somangira Kigamboni Dar es Salaam. AVIC TOWN is 2kms from Amani Beach and 1km from Protea Hotel, also 25kms from the ferry and 28kms from the Central Business District of Dar es Salaam. The land of 583 acres will be developed in 5 phases. The initiating zone under construction includes 160 sets of houses which are Villas and Bungalows.

Latest News

The kigamboni bridge start to be used in March

AVIC TOWN-Luxury Landmark in Kigamboni

AVIC international offers free real estate services in Tanzania

Chinese conglomerate enters Tanzania real estate industry

Newsletter

SIGN UP

Lets Stay in Touch





AVIC

|

AVIC INTL

ENQUIRE NOW

Call Us:

+255 763 500 999

+255 766 189 999

Copyright 2016 [emoji2398] AVIC TOWN. All rights reserved. Powered by MSM Group
 
Waambieni GSM na Yanga SC waache Utapeli kwani huenda ndiyo maana Yanga SC hamfanikiwi Kimpira Uwanjani kwakuwa mna Laana za hao Wakazi 234 wa Kigamboni mliowadhulumu Ardhi yao.
Kilaza acha kupotosha watu
 
Ila uzuri hatoweza kuchukua uamuzi wowote😂
 
GSM wanahusishwa na mambo kibao ya kijanja janja, wanatakiwa wafanyiwe uchunguzi wa kutosha na mamlaka ya nchi kujiridhisha kama kweli wanafuata sheria kwenye mambo yao ya biashara na umiliki wa mali.
Wakichunguzwa watakuwa na hatia na wakichukuliwa Sheria, tutarudi hapahapa kusema matajiri wanaonewa.
 
You Moron did you share this before with Dar es Salaam RC Amos Makalla when he paid a Visit to Kigamboni residents today?
 
Avic Town (Eneo hilo lilikuwa la jeshi la polisi na wanakijiji)...Avic Town alipigwa kajenga Kwa Nguvu!!!..Makonda aliwahi kuwaambia wakutane na wananchi wa hapo wawape maeneo Yao kabla mradi kuisha!!.. Haijulikani kilitokea nini baadae!!
 
HaHahahaha
 
Tatizo umeha ushabiki mbele mpaka unarukwa na akili. Fanya utafiti kabla ya kuropoka. Avic Town si mali ya GSM. Pia usidhani kila anaecomment kukupinga ni mwanayanga
Kama sikosei ni Mali ya NSSF huu mradi ulijengwa na wachina kupitia kampuni ya CRJE
 
Mleta Uzi Ni Malaysy kiufupi.
 
Sasa akina Magu na Lukuvi kwa nini wqlikiwa wanafanya haya ikiwa wanajua wanadhulumu Eneo la watu?

Afu kwa nini Wizara ya Ardhi hadi leo hawajatatua wakati wao ndio wamedhulumu wananchi kwa kushirikiana na Avic na Yanga?

Na Ndungulile mbumbe wao na Waziri amewasaidia vipi wananchi wake?
 
Lukuvi aliwaogopa Makonda na Magu akaufyata.Ndio maana huwa naipuuza na kudharau Sana mijitu inayojifanya kumtaja Mungu hadharani kujionesha inasali Sana huwa ni mitapeli.
 
Usipotoshe watu we mpuuzi kabla ujabwabwaja uwe unafanya uchunguzi juu ya jambo usilolijua,,, nani kakwambia avic town ni ya gsm? Uwe unadanganya wajinga wajinga wasiojielewa umbumbuni uko, Gsm pale ni mpangaji Kama wapangaji wengine sasa huo upuuzi wako unaotapika apa unahusiana nini na yanga na gsm? Ata Kama wakiambiwa waondoke pale kwani sehemu za kuweka kambi ni apo tu, alafu kuna watu wanachanganya mambo eneo ambalo yanga walipewa na makonda ni tofauti na hilo la avic town analojichanganya nalo uyu makoro fc, eneo la yanga lipo salama salimini na ujenzi utaanza hivi karibuni, habar za uongo kama hizi za uyu bwana muwe mnazipuuza zinalenga kuichafua brand kubwa ya timu ya wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…