Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una hoja ya msingi ila ulipoanza kuleta ushabiki wa Simba na Yanga hoja yako umeigeuza kioja.Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Wakazi wa Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla wamesema kuwa Mmiliki wa eneo la Avic Town ambako ndiko Klabu ya Yanga kupitia Mdhamini wao GSM amewadhulumu eneo hilo na wanataka Haki itendeke Kwao.
"Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa tunasikitika sana huyu Avic Town amejimilikisha eneo lote hili Kubwa na Kusababisha Watu 234 tukose Maeneo hapa wakati Kisheria ilikuwa ni Haki yetu kutokana na Vikao tulivyokaa huko nyuma na Waziri Lukuvi kwa Maagizo ya Hayati Rais Dkt. Magufuli" alisema Mmoja wa Wazee.
Hata hivyo wakati Mkutano huo wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla na Wakazi wa Kigamboni ukiendelea Mkuu huyo ametaka Maelezo zaidi kutoka Wizarani ya kwanini Mtu Mmoja Avic Town ( GSM Wadhamini wakuu wa Yanga SC ) wakiwemo wapewe eneo lote hilo peke yao na Wakazi Wengine wenye Haki nalo Kunyimwa.
Mkuu wa Mkoa Amos Makalla hongera sana kwa Kuliibua hili la Avic Town ( GSM Wadhamini wakuu wa Yanga SC wakiwemo ) na Mimi Mightier nakuomba ulipiganie vilivyo ili Avic Town ( GSM na Yanga SC yao ) wanyang'anywe, washtakiwe ikiwezekana na waambiwe wakajenge pale pale Mafurikoni Kwao Jangwani panawatosha sana tu.
Haya Avic Town ( GSM Wadhamini wakuu wa Yanga SC ) Kazi ndiyo Kwanza imeshaanza na taratibu Msukule wenu mliousajili unaanza Kuwaleteeni Nuksi huku Laana ya Kijana Mstaarabu mliomuacha Kiudhalilishaji Juzi kutokea Tanga ikianza Kuwatafuna.
Mkiambiwa nyie ni Matapeli hamtaki.
BASHITE bado mshauri wenu mkuu?!Kama walipewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati huo Paul Makonda ( mwana Simba SC ) walishindwa Kuhoji au Kufuatilia uhalali wake hasa Kisheria na Kuuliza?
Na bahati nzuri aliyewapa Makonda alikuwa ni mwana Simba SC lia lia na huyu Mkuu wa Mkoa wa sasa wa Dar es Salaam Amos Makalla aliyeliibua hili leo pamoja na Wakazi wa Kigamboni nae ni mwana Simba SC tena Kindakindaki kabisa mwenye Kadi halali.
Si mnae Manara? Mwambieni awatetee.
[https://www]Kutenganisha Avic Town na GSM ( Wadhamini wakuu wa Yanga SC ) ni sawa na Kumtenganisha Shetani ( Lucifa ) na Dhambi.
Na hivi RC Makalla ni Simba SC mtanyooshwa tu na katika hili anzeni kujiandaa nalo Kisaikolojia kwani limewakalia vibaya sana.
Kilaza acha kupotosha watuWaambieni GSM na Yanga SC waache Utapeli kwani huenda ndiyo maana Yanga SC hamfanikiwi Kimpira Uwanjani kwakuwa mna Laana za hao Wakazi 234 wa Kigamboni mliowadhulumu Ardhi yao.
Ila uzuri hatoweza kuchukua uamuzi wowote😂Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Wakazi wa Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla wamesema kuwa Mmiliki wa eneo la Avic Town ambako ndiko Klabu ya Yanga kupitia Mdhamini wao GSM amewadhulumu eneo hilo na wanataka Haki itendeke Kwao.
"Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa tunasikitika sana huyu Avic Town amejimilikisha eneo lote hili Kubwa na Kusababisha Watu 234 tukose Maeneo hapa wakati Kisheria ilikuwa ni Haki yetu kutokana na Vikao tulivyokaa huko nyuma na Waziri Lukuvi kwa Maagizo ya Hayati Rais Dkt. Magufuli" alisema Mmoja wa Wazee.
Hata hivyo wakati Mkutano huo wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla na Wakazi wa Kigamboni ukiendelea Mkuu huyo ametaka Maelezo zaidi kutoka Wizarani ya kwanini Mtu Mmoja Avic Town ( GSM Wadhamini wakuu wa Yanga SC ) wakiwemo wapewe eneo lote hilo peke yao na Wakazi Wengine wenye Haki nalo Kunyimwa.
Mkuu wa Mkoa Amos Makalla hongera sana kwa Kuliibua hili la Avic Town ( GSM Wadhamini wakuu wa Yanga SC wakiwemo ) na Mimi Mightier nakuomba ulipiganie vilivyo ili Avic Town ( GSM na Yanga SC yao ) wanyang'anywe, washtakiwe ikiwezekana na waambiwe wakajenge pale pale Mafurikoni Kwao Jangwani panawatosha sana tu.
Haya Avic Town ( GSM Wadhamini wakuu wa Yanga SC ) Kazi ndiyo Kwanza imeshaanza na taratibu Msukule wenu mliousajili unaanza Kuwaleteeni Nuksi huku Laana ya Kijana Mstaarabu mliomuacha Kiudhalilishaji Juzi kutokea Tanga ikianza Kuwatafuna.
Mkiambiwa nyie ni Matapeli hamtaki.
Wakichunguzwa watakuwa na hatia na wakichukuliwa Sheria, tutarudi hapahapa kusema matajiri wanaonewa.GSM wanahusishwa na mambo kibao ya kijanja janja, wanatakiwa wafanyiwe uchunguzi wa kutosha na mamlaka ya nchi kujiridhisha kama kweli wanafuata sheria kwenye mambo yao ya biashara na umiliki wa mali.
Pamoja na upiga dili, hakuketa hizi hekaya za MakallaMakonda naye utamhesabu kwenye viongozi? Yule alikuwa mpiga dili na mtu wa show off tu.
You Moron did you share this before with Dar es Salaam RC Amos Makalla when he paid a Visit to Kigamboni residents today?[https://www]
ABOUT AVIC TOWN
[https://www]
AVIC TOWN is a low-density and high-end villa project which was created by China Aviation Technology International Holdings Co., Ltd., with a total investment of 800 million US dollars. At present, 130 sets of purely single-family villas in 6 types have been completed at the first phase plan. The overall quality of the projects presented has surpassed any villa project community in Tanzania. It is a well-deserved NO.1, which is the representative of the whole project.
[https://www]
Bird View
We are a community with many amenities. Such as Football Field, Basketball Court, Swimming pool, Gym, Shopping Center, etc. SEE MORE
We also have provided our community with close gate security, CCTV courage, and Police station to ensure your safety in AVIC TOWN SEE MORE
AVIC TOWN Kigamboni is developed by AVIC Coast Land Development (T) LTD and invested by AVIC INTERNATIONAL.
ABOUT AVIC INTL
[https://www]
AVIC INTERNATIONAL is a large scaled state owned company affiliated to Aviation Industry Corporation of China (AVIC, a Fortune 500 company). AVIC INTL specializes in six major business sectors, including international aviation, trade and logistics, retail & high-end consumer goods, real estate and hotel management, electronic high technology and development of resources.
AVIC INTL has established 89 branches in 38 countries and regions and owns eight listed companies with over 70,000 employees serving customers in more than 180 countries and regions such as Tanzania, Kenya, Zambia, Algeria, UAE, Sri Lanka, Malaysia, etc.
[https://www]
This is not our first time building projects in Tanzania. Here are some of our other projects developed and established in Dar es Salaam.
[https://www]
Oysterbay apartment — Apartment for rent in Oysterbay
[https://www]
Sea view apartment — Apartment for rent in Upanga
About Us
AVIC TOWN Kigamboni is located in Somangira Kigamboni Dar es Salaam. AVIC TOWN is 2kms from Amani Beach and 1km from Protea Hotel, also 25kms from the ferry and 28kms from the Central Business District of Dar es Salaam. The land of 583 acres will be developed in 5 phases. The initiating zone under construction includes 160 sets of houses which are Villas and Bungalows.
Latest News
The kigamboni bridge start to be used in March
AVIC TOWN-Luxury Landmark in Kigamboni
AVIC international offers free real estate services in Tanzania
Chinese conglomerate enters Tanzania real estate industry
Newsletter
SIGN UP
Lets Stay in Touch
AVIC
|
AVIC INTL
ENQUIRE NOW
Call Us:
+255 763 500 999
+255 766 189 999
Copyright 2016 [emoji2398] AVIC TOWN. All rights reserved. Powered by MSM Group
Avic Town (Eneo hilo lilikuwa la jeshi la polisi na wanakijiji)...Avic Town alipigwa kajenga Kwa Nguvu!!!..Makonda aliwahi kuwaambia wakutane na wananchi wa hapo wawape maeneo Yao kabla mradi kuisha!!.. Haijulikani kilitokea nini baadae!!Kama walipewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati huo Paul Makonda (mwana Simba SC) walishindwa Kuhoji au Kufuatilia uhalali wake hasa Kisheria na Kuuliza?
Na bahati nzuri aliyewapa Makonda alikuwa ni mwana Simba SC lia lia na huyu Mkuu wa Mkoa wa sasa wa Dar es Salaam Amos Makalla aliyeliibua hili leo pamoja na Wakazi wa Kigamboni nae ni mwana Simba SC tena Kindakindaki kabisa mwenye Kadi halali.
Si mnae Manara? Mwambieni awatetee.
HaHahahahaMakolosenge FC mnaanzishaga thread za kichoko sn ndo maana rage aliwaita mbumbu. Je avic town ni Mali ya gsm au si mali Yao wamekodi Tu? Pili hapo avic town ndipo eneo walilopewa yanga na makonda ndo Hil eneo la avic town yanga wameshajenga? Huyu mwanzisha hii thread si ndiye kolosenge aliyesema juma shaaban Haji yanga na amerudisha pesa ya Yan kaenda Morocco si ni huyu huyu kolosenge mwny I'd zaidi ya elfu moja
Kama sikosei ni Mali ya NSSF huu mradi ulijengwa na wachina kupitia kampuni ya CRJETatizo umeha ushabiki mbele mpaka unarukwa na akili. Fanya utafiti kabla ya kuropoka. Avic Town si mali ya GSM. Pia usidhani kila anaecomment kukupinga ni mwanayanga
Ulichoandika Galina ukweli wowote zaidi ya umbeya na uchonganishiNi Matapeli Waandamizi hapa Tanzania.
Mleta Uzi Ni Malaysy kiufupi.Makolosenge FC mnaanzishaga thread za kichoko sn ndo maana rage aliwaita mbumbu. Je avic town ni Mali ya gsm au si mali Yao wamekodi Tu? Pili hapo avic town ndipo eneo walilopewa yanga na makonda ndo Hil eneo la avic town yanga wameshajenga? Huyu mwanzisha hii thread si ndiye kolosenge aliyesema juma shaaban Haji yanga na amerudisha pesa ya Yan kaenda Morocco si ni huyu huyu kolosenge mwny I'd zaidi ya elfu moja
Sasa akina Magu na Lukuvi kwa nini wqlikiwa wanafanya haya ikiwa wanajua wanadhulumu Eneo la watu?Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Wakazi wa Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla wamesema kuwa Mmiliki wa eneo la Avic Town ambako ndiko Klabu ya Yanga kupitia Mdhamini wao GSM amewadhulumu eneo hilo na wanataka Haki itendeke Kwao.
"Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa tunasikitika sana huyu Avic Town amejimilikisha eneo lote hili Kubwa na Kusababisha Watu 234 tukose Maeneo hapa wakati Kisheria ilikuwa ni Haki yetu kutokana na Vikao tulivyokaa huko nyuma na Waziri Lukuvi kwa Maagizo ya Hayati Rais Dkt. Magufuli" alisema Mmoja wa Wazee.
Hata hivyo wakati Mkutano huo wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla na Wakazi wa Kigamboni ukiendelea Mkuu huyo ametaka Maelezo zaidi kutoka Wizarani ya kwanini Mtu Mmoja Avic Town (GSM Wadhamini wakuu wa Yanga SC) wakiwemo wapewe eneo lote hilo peke yao na Wakazi Wengine wenye Haki nalo Kunyimwa.
Mkuu wa Mkoa Amos Makalla hongera sana kwa Kuliibua hili la Avic Town (GSM Wadhamini wakuu wa Yanga SC wakiwemo) na Mimi Mightier nakuomba ulipiganie vilivyo ili Avic Town (GSM na Yanga SC yao) wanyang'anywe, washtakiwe ikiwezekana na waambiwe wakajenge pale pale Mafurikoni Kwao Jangwani panawatosha sana tu.
Haya Avic Town (GSM Wadhamini wakuu wa Yanga SC) Kazi ndiyo Kwanza imeshaanza na taratibu Msukule wenu mliousajili unaanza Kuwaleteeni Nuksi huku Laana ya Kijana Mstaarabu mliomuacha Kiudhalilishaji Juzi kutokea Tanga ikianza Kuwatafuna.
Mkiambiwa nyie ni Matapeli hamtaki.
Lukuvi aliwaogopa Makonda na Magu akaufyata.Ndio maana huwa naipuuza na kudharau Sana mijitu inayojifanya kumtaja Mungu hadharani kujionesha inasali Sana huwa ni mitapeli.hilo eneo ni kweli wananchi walidhulumiwa kwani liliuzwa na wananchi kuondolewa bila kupewa hakizao cha ajabu wizara na manispaa wamekuwa wakitupiana mzigo na Lukuvi amekuwa kimya muda mrefu si ajabu na yeye alipozwa kama eneo walilopewa yanga lina mgogoro ni wazi aliyewapa anahusika na utapeli na aliwapa ili kujificha chini ya mgongo wao ingawa nachojua yanga wanakodisha kwa ajili ya mazoezi na kambi
Usipotoshe watu we mpuuzi kabla ujabwabwaja uwe unafanya uchunguzi juu ya jambo usilolijua,,, nani kakwambia avic town ni ya gsm? Uwe unadanganya wajinga wajinga wasiojielewa umbumbuni uko, Gsm pale ni mpangaji Kama wapangaji wengine sasa huo upuuzi wako unaotapika apa unahusiana nini na yanga na gsm? Ata Kama wakiambiwa waondoke pale kwani sehemu za kuweka kambi ni apo tu, alafu kuna watu wanachanganya mambo eneo ambalo yanga walipewa na makonda ni tofauti na hilo la avic town analojichanganya nalo uyu makoro fc, eneo la yanga lipo salama salimini na ujenzi utaanza hivi karibuni, habar za uongo kama hizi za uyu bwana muwe mnazipuuza zinalenga kuichafua brand kubwa ya timu ya wananchiKatika hali isiyokuwa ya Kawaida Wakazi wa Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla wamesema kuwa Mmiliki wa eneo la Avic Town ambako ndiko Klabu ya Yanga kupitia Mdhamini wao GSM amewadhulumu eneo hilo na wanataka Haki itendeke Kwao.