Mkulu wawe
Member
- Mar 4, 2020
- 87
- 111
Duh,Bora usingekomenti yani umeongea kitu cha tofauti kabisaKama walipewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati huo Paul Makonda (mwana Simba SC) walishindwa Kuhoji au Kufuatilia uhalali wake hasa Kisheria na Kuuliza?
Na bahati nzuri aliyewapa Makonda alikuwa ni mwana Simba SC lia lia na huyu Mkuu wa Mkoa wa sasa wa Dar es Salaam Amos Makalla aliyeliibua hili leo pamoja na Wakazi wa Kigamboni nae ni mwana Simba SC tena Kindakindaki kabisa mwenye Kadi halali.
Si mnae Manara? Mwambieni awatetee.
Mi mwenyewe nilikua nahisi hivyo,lakini kuhisi sio uhalisia wa jambo. Pia, je kama kama GSM wametumia jina lingine ili kujificha nyuma yake?Mimi sio Yanga lakiji ninachojua Alvic Town sio mali ya GSM bali wao wamekodi kuweka kambi. Ule ni mradi wa wachina kama nipo sahihi wamejenga nyumba na wanaziuza kwa wenye uwezo wao.
Mo na watu wake mna kazi sana nyie miaka yote ya Utawala wa JPM isibainike hivyo ije ibainike hivyo leo yani wenyewe ndiyo mnafikiri mtamchafua jamaa na kuwadhoofisha Yanga kiaina kaeni mkijua hamtafanikiwa katika hilo,mmeanza kutapatapa mapema Kabla ligi haijaanza mtakoma kuanzia mwaka huu mwambieni nae mwekezaji wenu,Tapeli na janja janja yeye si ana hela ajenge kitu kama Avic Town kigamboni kuliko kuingia mitandaoni mnapiga majungu .Posho na umasikini vinawasumbua watu kama wewe unatumwa kuingia mitandaoni kwa lengo la kuchafua watu ili kufanikisha malengo yenu kama mlivyofanya kipindi kile mkimtumia Makonda kumdhoofisha Manji ambaye alikuwa mdhamini wa Yanga mkafanikiwa kwa Sasa msahau ile janja janja watu wanaijua mjiandae kisaikolojia kudhalilika na kupigwa vipigo vya mbwa mwizi na kombe mtalisikia na kuliona kwenye TV,mwenye kombe lake analitaka kwa namna yoyote ile.Kwisha habari yenu,Mnaanza kula vipigo kwenye ngao ya jamii na kuendelea mwanzo mwisho Baba mwenye nyumba karudi anatawala nyumba yake.Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Wakazi wa Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla wamesema kuwa Mmiliki wa eneo la Avic Town ambako ndiko Klabu ya Yanga kupitia Mdhamini wao GSM amewadhulumu eneo hilo na wanataka Haki itendeke Kwao.
"Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa tunasikitika sana huyu Avic Town amejimilikisha eneo lote hili Kubwa na Kusababisha Watu 234 tukose Maeneo hapa wakati Kisheria ilikuwa ni Haki yetu kutokana na Vikao tulivyokaa huko nyuma na Waziri Lukuvi kwa Maagizo ya Hayati Rais Dkt. Magufuli" alisema Mmoja wa Wazee.
Hata hivyo wakati Mkutano huo wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla na Wakazi wa Kigamboni ukiendelea Mkuu huyo ametaka Maelezo zaidi kutoka Wizarani ya kwanini Mtu Mmoja Avic Town (GSM Wadhamini wakuu wa Yanga SC) wakiwemo wapewe eneo lote hilo peke yao na Wakazi Wengine wenye Haki nalo Kunyimwa.
Mkuu wa Mkoa Amos Makalla hongera sana kwa Kuliibua hili la Avic Town (GSM Wadhamini wakuu wa Yanga SC wakiwemo) na Mimi Mightier nakuomba ulipiganie vilivyo ili Avic Town (GSM na Yanga SC yao) wanyang'anywe, washtakiwe ikiwezekana na waambiwe wakajenge pale pale Mafurikoni Kwao Jangwani panawatosha sana tu.
Haya Avic Town (GSM Wadhamini wakuu wa Yanga SC) Kazi ndiyo Kwanza imeshaanza na taratibu Msukule wenu mliousajili unaanza Kuwaleteeni Nuksi huku Laana ya Kijana Mstaarabu mliomuacha Kiudhalilishaji Juzi kutokea Tanga ikianza Kuwatafuna.
Mkiambiwa nyie ni Matapeli hamtaki.
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza kama ndivyo usemavyo wewe mwambieni tajiri wenu akanunue nyumba zote na kuwa eneo lake ili Simba mkaweke kambi pale.Hivi wewe unamjua vizuri GSM kweli fuatilia hoyo mtu upate habari yake si hivyo kama Mo ,huyo tajiri kweli kweli nenda hata ofisi za TRA kaulize habari zake utajulishwa vizuri huyo Siyo mtu janja janja kama Mo hindi janja janja na Tapeli mkubwa nenda kaulize watumishi kwenye kampuni za familia yao wanalipwa mishahara ya kutupwa chini ya laki na ishirini kumejaa vibarua wanalia njaa kila siku .Huyo bwana ni mnyonyaji ,mbinafsi ,ana dharau na Tapeli mkubwa huwa ni mtu wa maslahi sana ni suala la Muda tu hapo Simba atafukuzwa na wenye Simba yao hanaga msaada wa kweli huyo mtu.Mimi sio Yanga lakiji ninachojua Alvic Town sio mali ya GSM bali wao wamekodi kuweka kambi. Ule ni mradi wa wachina kama nipo sahihi wamejenga nyumba na wanaziuza kwa wenye uwezo wao.
Babra unajidanganya,boresheni kwanza mishahara na maslahi ya watumishi kwenye kampuni zote za Mohammed Enterprises watu wanalia sana njaa ,ni dhambi kumlipa mtu chini ya Tsh 120,000/= kwa mwezi na mmejaza vibarua hamtaki kuwapa ajira hata kwa kuwapa vimishahara hivyo vidogo.Matapeli wakubwa nyieKutenganisha Avic Town na GSM ( Wadhamini wakuu wa Yanga SC ) ni sawa na Kumtenganisha Shetani ( Lucifa ) na Dhambi.
Na hivi RC Makalla ni Simba SC mtanyooshwa tu na katika hili anzeni kujiandaa nalo Kisaikolojia kwani limewakalia vibaya sana.
Babra unapata shida sana,mtakoma mwaka huu,mmeshikwa pabaya mlimtumia Makonda kuidhoofisha sana Yanga hata kwa kuwahujumu matajiri wote waliokuwa wanaidhamini na kuisaidia Yanga,Wakina Manji,Bin Kleib,Davis Mosha n.k kwa sasa wamerudi Wana hasira mjiandae kisaikolojia fitina za nje na ndani ya uwanja ndiyo mabingwa mtakoma sana,Mtawala wa ligi ya soka la Tanzania karudi,mjiandae kisaikolojia kupokea maumivu tena inaanzia kwenye Ngao ya Jamii siyo mbali Tarehe 25/9/2021.Kwisha habari yenu mtadhalilika na kunyanyasika sana kuanzia msimu huu.Muda utasema,Stay tuned utakumbuka maneno yangu tena usijaribu kubet kuhusu Simba kushinda mechi yoyote hata mara moja itakula kwakoHawa jamaa; watu wengi walidhani kipindi cha Magufuli ndiyo ingekuwa arobaini yao lakini sijui waliponaje. Kwa kifupi ni watu wabaya sana sana na hata huko kwenye mpira wamekwenda kimkatiti tu. Siyo watu wazuri kabisa. Ila kama waliweza ku-survive wakati wa Magufuli kwa huyu mama ndiyo watatanuka na ku-terrorize wanavyopenda. Mtu asikudanganye hata huyu Mo aliyeko Simba ni mtu mzuri kama anavyojifanya. Mimi ndiyo maana ushabiki wa mpira wa hizi club nilishaupiga teke siku nyingi na sijishughulishi huko kabisa.
Mmeshikwa pabaya msimu huu hahahahaaaaa si vibaya ukiamia kushangilia Yanga manake ni back to back mpaka wewe na ndugu zako mnazeekaWapokonywe
Unaongea pumba sana. Jua Avic Town si mali ya GSM. Na eneo walilopewa Yanga halipo upande wa Avic bali upande wa Dar es Salaam zoo.Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza kama ndivyo usemavyo wewe mwambieni tajiri wenu akanunue nyumba zote na kuwa eneo lake ili Simba mkaweke kambi pale.Hivi wewe unamjua vizuri GSM kweli fuatilia hoyo mtu upate habari yake si hivyo kama Mo ,huyo tajiri kweli kweli nenda hata ofisi za TRA kaulize habari zake utajulishwa vizuri huyo Siyo mtu janja janja kama Mo hindi janja janja na Tapeli mkubwa nenda kaulize watumishi kwenye kampuni za familia yao wanalipwa mishahara ya kutupwa chini ya laki na ishirini kumejaa vibarua wanalia njaa kila siku .Huyo bwana ni mnyonyaji ,mbinafsi ,ana dharau na Tapeli mkubwa huwa ni mtu wa maslahi sana ni suala la Muda tu hapo Simba atafukuzwa na wenye Simba yao hanaga msaada wa kweli huyo mtu.
Umenikosea heshima sana kuniingiza kwenye huo ushabiki mandazi wa Yanga na Simba. Huo ujinga nilikuwa nao zamani lakini siyo sasa. Baada ya kuja kujitambua na kugundua kuwa kuendekeza ushabiki huu wa kijinga ni kuwasindikiza maponjoro wachache wenye malengo yao binafsi nilijiondoa moja kwa moja kwenye huu upumbavu. Huko siko kabisaaaa na sina muda hata kujua Yanga au Simba wanacheza lini na yupi amechukuwa ubingwa. Huko bakini watu kama ninyi mnaofuata mkumbo kama nyumbu bila kujua mbele kuna niniBabra unapata shida sana,mtakoma mwaka huu,mmeshikwa pabaya mlimtumia Makonda kuidhoofisha sana Yanga hata kwa kuwahujumu matajiri wote waliokuwa wanaidhamini na kuisaidia Yanga,Wakina Manji,Bin Kleib,Davis Mosha n.k kwa sasa wamerudi Wana hasira mjiandae kisaikolojia fitina za nje na ndani ya uwanja ndiyo mabingwa mtakoma sana,Mtawala wa ligi ya soka la Tanzania karudi,mjiandae kisaikolojia kupokea maumivu tena inaanzia kwenye Ngao ya Jamii siyo mbali Tarehe 25/9/2021.Kwisha habari yenu mtadhalilika na kunyanyasika sana kuanzia msimu huu.Muda utasema,Stay tuned utakumbuka maneno yangu tena usijaribu kubet kuhusu Simba kushinda mechi yoyote hata mara moja itakula kwako
Una Ubongo uliojaa Mchwa wengi mno.Mo na watu wake mna kazi sana nyie miaka yote ya Utawala wa JPM isibainike hivyo ije ibainike hivyo leo yani wenyewe ndiyo mnafikiri mtamchafua jamaa na kuwadhoofisha Yanga kiaina kaeni mkijua hamtafanikiwa katika hilo,mmeanza kutapatapa mapema Kabla ligi haijaanza mtakoma kuanzia mwaka huu mwambieni nae mwekezaji wenu,Tapeli na janja janja yeye si ana hela ajenge kitu kama Avic Town kigamboni kuliko kuingia mitandaoni mnapiga majungu .Posho na umasikini vinawasumbua watu kama wewe unatumwa kuingia mitandaoni kwa lengo la kuchafua watu ili kufanikisha malengo yenu kama mlivyofanya kipindi kile mkimtumia Makonda kumdhoofisha Manji ambaye alikuwa mdhamini wa Yanga mkafanikiwa kwa Sasa msahau ile janja janja watu wanaijua mjiandae kisaikolojia kudhalilika na kupigwa vipigo vya mbwa mwizi na kombe mtalisikia na kuliona kwenye TV,mwenye kombe lake analitaka kwa namna yoyote ile.Kwisha habari yenu,Mnaanza kula vipigo kwenye ngao ya jamii na kuendelea mwanzo mwisho Baba mwenye nyumba karudi anatawala nyumba yake.
Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Wakazi wa Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla wamesema kuwa Mmiliki wa eneo la Avic Town ambako ndiko Klabu ya Yanga kupitia Mdhamini wao GSM amewadhulumu eneo hilo na wanataka Haki itendeke Kwao.
"Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa tunasikitika sana huyu Avic Town amejimilikisha eneo lote hili Kubwa na Kusababisha Watu 234 tukose Maeneo hapa wakati Kisheria ilikuwa ni Haki yetu kutokana na Vikao tulivyokaa huko nyuma na Waziri Lukuvi kwa Maagizo ya Hayati Rais Dkt. Magufuli" alisema Mmoja wa Wazee.
Hata hivyo wakati Mkutano huo wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla na Wakazi wa Kigamboni ukiendelea Mkuu huyo ametaka Maelezo zaidi kutoka Wizarani ya kwanini Mtu Mmoja Avic Town (GSM Wadhamini wakuu wa Yanga SC) wakiwemo wapewe eneo lote hilo peke yao na Wakazi Wengine wenye Haki nalo Kunyimwa.
GSM wanahusishwa na mambo kibao ya kijanja janja, wanatakiwa wafanyiwe uchunguzi wa kutosha na mamlaka ya nchi kujiridhisha kama kweli wanafuata sheria kwenye mambo yao ya biashara na umiliki wa mali.
Unauliza Shahawa Ukeni au?Sasa GSM wanaingiaje hapo?! Kwavile Yanga wapo hapo Avic Town, au?
Kwahiyo Da' Barbara kawadanganya Avic Town ni ya GSM?!Unauliza Shahawa Ukeni au?
Aden Rage hakukosea aliposema Mashabiki wa Simba ni Mbumbumbu!!Wewe jamaa upumbafu ulionao ni wa Hali ya juu Sana
Hujuia kuwa GSM wamepanga Tu muda wowote waweza timuka
Yanga inajenga huko kigamboni ambako mkuu wa mkoa pindi hicho aliipa timu ya wananchi ijenge
ingekuwa jambo njema Kama ni rahisi kuchukua kombe kwa kuongea ongea porojo kama hiziMo na watu wake mna kazi sana nyie miaka yote ya Utawala wa JPM isibainike hivyo ije ibainike hivyo leo yani wenyewe ndiyo mnafikiri mtamchafua jamaa na kuwadhoofisha Yanga kiaina kaeni mkijua hamtafanikiwa katika hilo,mmeanza kutapatapa mapema Kabla ligi haijaanza mtakoma kuanzia mwaka huu mwambieni nae mwekezaji wenu,Tapeli na janja janja yeye si ana hela ajenge kitu kama Avic Town kigamboni kuliko kuingia mitandaoni mnapiga majungu .Posho na umasikini vinawasumbua watu kama wewe unatumwa kuingia mitandaoni kwa lengo la kuchafua watu ili kufanikisha malengo yenu kama mlivyofanya kipindi kile mkimtumia Makonda kumdhoofisha Manji ambaye alikuwa mdhamini wa Yanga mkafanikiwa kwa Sasa msahau ile janja janja watu wanaijua mjiandae kisaikolojia kudhalilika na kupigwa vipigo vya mbwa mwizi na kombe mtalisikia na kuliona kwenye TV,mwenye kombe lake analitaka kwa namna yoyote ile.Kwisha habari yenu,Mnaanza kula vipigo kwenye ngao ya jamii na kuendelea mwanzo mwisho Baba mwenye nyumba karudi anatawala nyumba yake.
unatamani iwe hivo ila haitatokeaJambo usilolijua ni kama usiku wa giza kama ndivyo usemavyo wewe mwambieni tajiri wenu akanunue nyumba zote na kuwa eneo lake ili Simba mkaweke kambi pale.Hivi wewe unamjua vizuri GSM kweli fuatilia hoyo mtu upate habari yake si hivyo kama Mo ,huyo tajiri kweli kweli nenda hata ofisi za TRA kaulize habari zake utajulishwa vizuri huyo Siyo mtu janja janja kama Mo hindi janja janja na Tapeli mkubwa nenda kaulize watumishi kwenye kampuni za familia yao wanalipwa mishahara ya kutupwa chini ya laki na ishirini kumejaa vibarua wanalia njaa kila siku .Huyo bwana ni mnyonyaji ,mbinafsi ,ana dharau na Tapeli mkubwa huwa ni mtu wa maslahi sana ni suala la Muda tu hapo Simba atafukuzwa na wenye Simba yao hanaga msaada wa kweli huyo mtu.
Your general opinion is appreciated lakini linapokuja suala la Avic na GSM, hakuna uhusiano wowote! Ni kama ambavyo ex-Simba Chairman alivyowahi kusema kwamba Mashabiki wa Simba ni Mbumbumbu, ndo maana unaona hapa wanaona GSM ndie mmiliki wa Avic Town kwa sababu tu Yanga wamepanga Avic Town, na mwezeshaji ni GSM!!Hawa jamaa; watu wengi walidhani kipindi cha Magufuli ndiyo ingekuwa arobaini yao lakini sijui waliponaje. Kwa kifupi ni watu wabaya sana sana na hata huko kwenye mpira wamekwenda kimkatiti tu. Siyo watu wazuri kabisa. Ila kama waliweza ku-survive wakati wa Magufuli kwa huyu mama ndiyo watatanuka na ku-terrorize wanavyopenda. Mtu asikudanganye hata huyu Mo aliyeko Simba ni mtu mzuri kama anavyojifanya. Mimi ndiyo maana ushabiki wa mpira wa hizi club nilishaupiga teke siku nyingi na sijishughulishi huko kabisa.
Ni ya anayekubandua.Kwahiyo Da' Barbara kawadanganya Avic Town ni ya GSM?!