Babra unapata shida sana,mtakoma mwaka huu,mmeshikwa pabaya mlimtumia Makonda kuidhoofisha sana Yanga hata kwa kuwahujumu matajiri wote waliokuwa wanaidhamini na kuisaidia Yanga,Wakina Manji,Bin Kleib,Davis Mosha n.k kwa sasa wamerudi Wana hasira mjiandae kisaikolojia fitina za nje na ndani ya uwanja ndiyo mabingwa mtakoma sana,Mtawala wa ligi ya soka la Tanzania karudi,mjiandae kisaikolojia kupokea maumivu tena inaanzia kwenye Ngao ya Jamii siyo mbali Tarehe 25/9/2021.Kwisha habari yenu mtadhalilika na kunyanyasika sana kuanzia msimu huu.Muda utasema,Stay tuned utakumbuka maneno yangu tena usijaribu kubet kuhusu Simba kushinda mechi yoyote hata mara moja itakula kwako