Ziara Maalum ya RC Makalla Kigamboni yabaini eneo la Avic Town na GSM walilopewa Yanga SC lina Mgogoro wa Ardhi

Avic town ni ya GSM?
 
Sawa,ila ukikaa na kupunguza stress,utaelewa tofauti kubwa iliyopo kati ya Alvic na Avic.
Kwasasa pambana na hali yako Mkuu.

Mchana mwema!!
Kama umeshindwa kunielewa nilipomaanisha Alvic, kamwe huwezi kuwa na akili ya kuelewa hoja.
 
Tatizo umeha ushabiki mbele mpaka unarukwa na akili. Fanya utafiti kabla ya kuropoka. Avic Town si mali ya GSM. Pia usidhani kila anaecomment kukupinga ni mwanayanga
Jamaa kavurugwa na yuko kijijini,yan kwa upeo wake anajua avic town ni lile eneo bashite aliwapa Yanga!achana nae fala yule
 
Amos Makalla ni Simba damu damu, hivyo asije taka kutuonea Yanga sbb kapewa U RC, tena tutamwambia boss wake ambae ni Yanga, awe makini, Amos Makalla aache ushabiki wake wa Simba kutaka kuikandamiza Yanga.
Mo alimtumia bashite kumkandamiza manji,now anatumia nguvu hiyo kumchafua gharib,twitter kule anamtumia kigogo sasa tena kuna kajamaa kanautaka urais ndio kilitumbuliwa na magu baada ya hapo akawa info wa kigogo na wanaharakati wengine,iko kijamaa kiko karibu sana na mo now wanamtumia kigogo kuiongelea negative Yanga na GSM,lakini hata wafanyaje hawawezi zama zishabadilika,huyo makala mkia haswa zaidi ya bashite lkn ubavu wa kumgusa GSM nyakati hizi hana,wanaotumika kumchafua GSM wengine ndio hawa mazwazwa wa humu na kwenye mitandao mingine wamejaa kibao,mo ushindani wa man to man uwa hawezi
 
Yaani hilo Makonda hakuliona aje alione Makalla na porojo zake kwa watu waliopangwa kuongea.

Asilete u Simba wake kwenye masuala ya kisheria. Anaweza kuwa RC atakaye kaa muda mfupi sana awamu ya Samia.
Chalamila ashavunja rekodi yako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…