kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,451
- 2,059
Wale Watu Wakapaza Sauti...Wapokonywe ...Wapokonywe....!!
Pilato Akanawa Mikono..!
Pilato Akanawa Mikono..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha matusi, hayauzwi dukani hayo!!Ni ya anayekubandua.
Unaendelea kuthibitisha aliyowahi kusema Aden RageNa hata aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Yanga SC Luc Eymael Raia wa Ubelgiji hakukosea aliposema kuwa wana Yanga SC ni Nyani, Mbwa na Sokwe.
Cc: kakamina
Nawe pia unaendelea Kuthibitisha aliyoyasema Kocha Luc Eymael.Unaendelea kuthibitisha aliyowahi kusema Aden Rage
Prove me wrong kutokana na kile ambacho aliwahi kusema Rage 👇 👇 👇 👇Nawe pia unaendelea Kuthibitisha aliyoyasema Kocha Luc Eymael.
Sasa GSM wanaingiaje hapo?! Kwavile Yanga wapo hapo Avic Town, au?
Avic town ni ya GSM?Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Wakazi wa Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla wamesema kuwa Mmiliki wa eneo la Avic Town ambako ndiko Klabu ya Yanga kupitia Mdhamini wao GSM amewadhulumu eneo hilo na wanataka Haki itendeke Kwao.
"Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa tunasikitika sana huyu Avic Town amejimilikisha eneo lote hili Kubwa na Kusababisha Watu 234 tukose Maeneo hapa wakati Kisheria ilikuwa ni Haki yetu kutokana na Vikao tulivyokaa huko nyuma na Waziri Lukuvi kwa Maagizo ya Hayati Rais Dkt. Magufuli" alisema Mmoja wa Wazee.
Hata hivyo wakati Mkutano huo wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla na Wakazi wa Kigamboni ukiendelea Mkuu huyo ametaka Maelezo zaidi kutoka Wizarani ya kwanini Mtu Mmoja Avic Town (GSM Wadhamini wakuu wa Yanga SC) wakiwemo wapewe eneo lote hilo peke yao na Wakazi Wengine wenye Haki nalo Kunyimwa.
Mkuu wa Mkoa Amos Makalla hongera sana kwa Kuliibua hili la Avic Town (GSM Wadhamini wakuu wa Yanga SC wakiwemo) na Mimi Mightier nakuomba ulipiganie vilivyo ili Avic Town (GSM na Yanga SC yao) wanyang'anywe, washtakiwe ikiwezekana na waambiwe wakajenge pale pale Mafurikoni Kwao Jangwani panawatosha sana tu.
Haya Avic Town (GSM Wadhamini wakuu wa Yanga SC) Kazi ndiyo Kwanza imeshaanza na taratibu Msukule wenu mliousajili unaanza Kuwaleteeni Nuksi huku Laana ya Kijana Mstaarabu mliomuacha Kiudhalilishaji Juzi kutokea Tanga ikianza Kuwatafuna.
Mkiambiwa nyie ni Matapeli hamtaki.
Wewe ndiyo ujibu hoja!?Elewa point ya msingi. Ukikosa hoja usihamie kwenye kukosoa maandishi.
Wewe ndio takataka kabisaWewe ndiyo ujibu hoja!?
Huoni tofauti kati ya Alvic na Avic wewe!?
Hicho kichwa kimegeuka mzigo kwa kiwiliwili. Mjinga mkubwa!!!
Sawa,ila ukikaa na kupunguza stress,utaelewa tofauti kubwa iliyopo kati ya Alvic na Avic.Wewe ndio takataka kabisa
Kama umeshindwa kunielewa nilipomaanisha Alvic, kamwe huwezi kuwa na akili ya kuelewa hoja.Sawa,ila ukikaa na kupunguza stress,utaelewa tofauti kubwa iliyopo kati ya Alvic na Avic.
Kwasasa pambana na hali yako Mkuu.
Mchana mwema!!
Jamaa kavurugwa na yuko kijijini,yan kwa upeo wake anajua avic town ni lile eneo bashite aliwapa Yanga!achana nae fala yuleTatizo umeha ushabiki mbele mpaka unarukwa na akili. Fanya utafiti kabla ya kuropoka. Avic Town si mali ya GSM. Pia usidhani kila anaecomment kukupinga ni mwanayanga
Mo alimtumia bashite kumkandamiza manji,now anatumia nguvu hiyo kumchafua gharib,twitter kule anamtumia kigogo sasa tena kuna kajamaa kanautaka urais ndio kilitumbuliwa na magu baada ya hapo akawa info wa kigogo na wanaharakati wengine,iko kijamaa kiko karibu sana na mo now wanamtumia kigogo kuiongelea negative Yanga na GSM,lakini hata wafanyaje hawawezi zama zishabadilika,huyo makala mkia haswa zaidi ya bashite lkn ubavu wa kumgusa GSM nyakati hizi hana,wanaotumika kumchafua GSM wengine ndio hawa mazwazwa wa humu na kwenye mitandao mingine wamejaa kibao,mo ushindani wa man to man uwa haweziAmos Makalla ni Simba damu damu, hivyo asije taka kutuonea Yanga sbb kapewa U RC, tena tutamwambia boss wake ambae ni Yanga, awe makini, Amos Makalla aache ushabiki wake wa Simba kutaka kuikandamiza Yanga.
Angalia hapa alichowaita kocha wenu wa zamani patrick auseum 😀Na hata aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Yanga SC Luc Eymael Raia wa Ubelgiji hakukosea aliposema kuwa wana Yanga SC ni Nyani, Mbwa na Sokwe.
Cc: kakamina
Chalamila ashavunja rekodi yako mkuuYaani hilo Makonda hakuliona aje alione Makalla na porojo zake kwa watu waliopangwa kuongea.
Asilete u Simba wake kwenye masuala ya kisheria. Anaweza kuwa RC atakaye kaa muda mfupi sana awamu ya Samia.
Kwa record ile, ngumu kupata mwingine! Upo sawa kabisa.Chalamila ashavunja rekodi yako mkuu