CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Kwa fikra kama zako itachukua muda mrefu sana Tanzania kuendelea.Huyu Mama sio wa mchezo mchezo,
2025 wapinzani msiweke mgombea Kwani Ni matumizi mabaya ya pesa
Nilishangaa sana,Nadhani kuna michawa inalipwaWho is Shaka? Tunaweka politics kwa Kila kitu! Watanzania ni wapumbavu saana
ID yako ina kasoro kubwa sana ya kisarufi, kiuandishi na kiaiba!Shaka Hamidu Shaka Namuona Akifika mbali Sana kiuongozi katika nchi hii, Ni kiongozi mwenye kufuatilia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya serikali, Hataki kukaa ofisini kusubiri kusoma ripoti Bali anataka akajionee mwenyewe kazi zinavyoendelea na namna mtanzania anavyo hudumiwa
Hili daraja limejengwa na Magu.Huyu Mama sio wa mchezo mchezo,
2025 wapinzani msiweke mgombea Kwani Ni matumizi mabaya ya pesa
ID yako ina kasoro kubwa sana ya kisarufi, kiuandishi na kiaiba!
Na mimi nina dhiki, nijuze walipwaje ili ikinifaa tuunge juhudi kusifia ujinga na kufungua nyuzi za kipuuzi.
Njoo tu utatafutiwa mashamba ya kulimaID yako ina kasoro kubwa sana ya kisarufi, kiuandishi na kiaiba!
Na mimi nina dhiki, nijuze walipwaje ili ikinifaa tuunge juhudi kusifia ujinga na kufungua nyuzi za kipuuzi.
Mesenja.......Injinia soma hiyooooo, Shaka huenda akawa Ni kijana mzalendo,tumpe Muda tuone
Yaani anatoa taarifa hizi huyu mama Naye muongo hebu jisikizie maelezo yake Kuna sehemu hayana ukweli.Nawasalimu kwa jina la JTM,
Ziara za Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka Hamdu Shaka zimekuwa zikiacha vilio kwa wazembe na wapigaji katika maeneo ya miradi mbalimbali hapa chini,
Je, tutarajie pia kesho kunamtu ataliwa kichwa na Katibu huyu wa NEC itikadi &Uenezi wa CCM Taifa anayefuata sera za Utawala bora hasa Utawala wa Sheria?!
View attachment 2359994
#Usikokose kesho,
Mbona pale TAZARA lile Daraja lilijengwa na Kikwete lakini Magufuli alichukua credit.Hili daraja limejengwa na Magu.
Mama anaweza wapi kufanya mambo ya hivi?
Kwa uwezo upi walionao na serekale yake?
Yeye mwenyewe aliliwa kichwa awamu ya tano akarudi kwao Chwaka kuvua samakiKumbe Shaka nae anaguts za kula vichwa😳