Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikusoma sana mkuu... umeeleza vizuri kabisa na jibu lipo katika maelezo yako.....hukunisoma vizuri.
..ngoja nikupe mfano ktk demokrasia zilizoendelea.
..Kunaweza kuwa na mswada au sheria ambayo inahitaji kupigiwa kura na wabunge.
..Sasa Raisi na Serikali lazima washawishi idadi ya kutosha ya wabunge ili mswada au sheria ipite.
..Wabunge nao wanachomeka mambo / miradi yao kwamba ili wapitishe mswada basi wanahitaji kitu[mradi...] fulani toka serikalini / kwa Raisi.
..Ili hilo litokee ni lazima kuwe na mfumo wa utawala ambao umetenganishe mihimili ya Mahakama, Bunge, na Serikali.
..Mfumo wa utawala ambapo wananchi waliochagua chama cha upinzani wanakuwa watazamaji, au wanapata "makombo", ktk miradi ya maendeleo siyo mzuri, na ni wa KIBAGUZI.
Moshi sio wajinga unavyofikiri.KILIMANJARO Yaani kwa maana ya Moshi Mjini wameshtuka hawataki kutumika tena
Hiki ulichokiandika kipo Chadema,au umerukwa akili?. Chama cha Mbowe cha mfukoni, ambacho hata ofisi hamna huku mna ruzuku, michango ya wabunge 1.5Mil, anakula mwenyekiti pekee ndio upunguani gani?.Chagua lissu kwa ili uwe huru,upate haki pamoja na maendeleo
Katafute waswahili wa darasa la saba uwaambie ujinga huo sio sisi WasomiNi Kweli walevi na wanaipigania ushoga Kama LISSU Ni hatari.....Mbaya zaidi unaongelea jina la mtu na si uhalisia wa walevi na wasanii Kama LISSU
[emoji1][emoji1] Unaijua VIETEE wewe?Hiki ulichokiandika kipo Chadema,au umerukwa akili?. Chama cha Mbowe cha mfukoni, ambacho hata ofisi hamna huku mna ruzuku, michango ya wabunge 1.5Mil, anakula mwenyekiti pekee ndio upunguani gani?.
Nilikusoma sana mkuu... umeeleza vizuri kabisa na jibu lipo katika maelezo yako...
Kwani serikali haijawai omba support kutoka pande zote kupitisha muswada? Wapinzani wangeweza kutumia upenyo huo kupenyeza miradi yao lakini matokeo yake wanapinga kila mswada
jpm vivahHuyu mgombea wa ccm ni mbaguzi. Na kutokana na chuki zake binafsi tu dhidi ya wachaga amewatumbua sana wachaga ktk kipindi chake Cha miaka 5.
Na huku tulijiqpiza tangu Xmas ya kwanza tulipo mgundua kuwa ana chuki nasi kuwa tutamuadhibu!!!
Trust me hio hata nchi zilizoendelea ipo ila viwango tu inapishana... ila turudi kwenye general view unadhani serikali inafurahi kuona miswada yote inapitishwa kwa kelele za upinzani kuwasemea mabaya kwa wananchi, je wangeonyesha kuunga mkono hoja miswada kadhaa na kutumia fursa kuombea kitu in return unadhani ingekuwaje, sasa hapa wapinzani mswada tu wanakutishia Waziri ujiuzulu au utumbiliwe huwezi pata urafiki namna hio..nadhani mentality ya wanasiasa wetu haiko vizuri.
..pia mfumo wetu wa utawala na uongozi haukujengwa kwa namna ambayo Raisi na Wabunge wataheshimiana, na kutegemeana.
..usifikiri hujuma dhidi ya wabunge zimeanza baada ya mfumo wa vyama vingi kuja. Hujuma zilikuwepo hata wakati wa mfumo wa chama kimoja.
..Wako wabunge walitengwa, na majimbo yao kunyimwa maendeleo, kwasababu tu mbunge alikuwa haivi na wakubwa waliokuwa serikalini.
Trust me hio hata nchi zilizoendelea ipo ila viwango tu inapishana... ila turudi kwenye general view unadhani serikali inafurahi kuona miswada yote inapitishwa kwa kelele za upinzani kuwasemea mabaya kwa wananchi, je wangeonyesha kuunga mkono hoja miswada kadhaa na kutumia fursa kuombea kitu in return unadhani ingekuwaje, sasa hapa wapinzani mswada tu wanakutishia Waziri ujiuzulu au utumbiliwe huwezi pata urafiki namna hio
Upinzani wa kujidanganya hautusaidii, kuna mambo lazima tukubali ili tufanye mabadiliko ya kweli yakuchukua nchi.Acha uongo.
Pindi Lissu anatoka Rombo, alisimamishwa Marangu, wamama walikuwa na Masale barabarani.
Mbowe hai kakarbishwa na masale mara nyingi sana.
Sijui hizi bongo zenu zikiwa Lumumba huwa zipoje, Duh!
Lakini ndiyo mmoja kati ya mikoa iliyopiga hatua kubwa kimaendelea ukilinganisha na ile iliyong'ang'ania CCM k.v Tabora, Dodoma, Pwani nk..Ni ziara iliyobeba Maono Ya WanaMoshi, WanaMoshi wameamua wameona wamebaki wanachezea Jimbo Lao na mkoa Wao kwa Mambo ya wasanii na Matapeli wa Siasa, Wafanyabiashara wa Siasa wamekuwa wanawatapeli Watu wa Moshi Ohh NCCR mali ya Wachaga, Mara TLP mali Ya wachaga, Mara Chadema is Chagga Development Manifesto na Wachaga wakiamini .....Lakini Leo Wamwambia ukweli Kuwa Maendeleo Ni Connection na si Sanaa....... Mkutano wa leo ulikuwa wa Kihistoria since 1995 haijawahi kutokea Mgombea wa chama Chochote akapokelewa kwa Heshima Kama JPM.
CCM kuna mashoga kibao si unawacheki wenzako hapoNi Kweli walevi na wanaipigania ushoga Kama LISSU Ni hatari.....Mbaya zaidi unaongelea jina la mtu na si uhalisia wa walevi na wasanii Kama LISSU
Tell dem broCCM kuna mashoga kibao si unawacheki wenzako hapoView attachment 1607763View attachment 1607765View attachment 1607766View attachment 1607767View attachment 1607768View attachment 1607769