Ziara ya Katibu Mkuu Wa CCM na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa Mikoa Ya Geita, Kagera, Kigoma, Katavi na Tabora

Ziara ya Katibu Mkuu Wa CCM na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa Mikoa Ya Geita, Kagera, Kigoma, Katavi na Tabora

Sure,Chongolo amepwaya sana.Bashiru alifiti sana ila aliharibu kuwadharau wazee na vyama pinzani.
Chongolo hana dharau ila hana mbinu zakujenga hoja watu wavutike nakushawishika.
Shaka humchukulia Chongolo kama mshikaji wake tu.Kabla ya Kinana kulikuwa na katibu mmoja anafanana na Chongolo kiutendaji.
Akili yako haina akili,

Kila kiongozi ana aina yake ya kufanya kazi,

Crde Chongolo sio mwanasiasa ila nimtendaji mzuri sana,

Kama kunakatibu mkuu bora CCM imepata basi ni huyu bwana,

Kazi iendelee
 
Back
Top Bottom