johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unauliza mavumbi stooKama mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa bungeni atalazimika kujiuzulu.
Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni ubinafsi?
Je, J J Mnyika atafunguka?
Ngoja tuone.
Kama mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa bungeni atalazimika kujiuzulu.
Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni ubinafsi?
Je, J J Mnyika atafunguka?
Ngoja tuone.
Wewe huwajui CCM wewe. Speaker Ndugai ana wigo mpana wa kuwachachafya CHADEMA. To start with, anaweza kusema simply yeye anafanyia kazi barua aliyopokea. Kama CHADEMA wanasema ile ni fake, waende Mahakamani kufungua kesi ya jinai.Kama mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa bungeni atalazimika kujiuzulu.
Kama hujui vitu vingine kaaga kimya. Wabunge viti maalumu hawazalishi ruzuku yoyote kwenye vyama.Hivi unafikiri mbowe anaweza kukataa ruzuku inayotokana na akina mdee? Kingine ndani ya chadema ni nani msemaji? Maana Lisu anajisemea na kuweka masharti ya kwenda kuonana na mh. Rais, mbowe yupo kmy, wala Mnyika ambaye ni KM naye kmy. Kabla ya kuanza kuropoka Lisu angejadiliana na viongozi wenzake ili wawe na msimamo moja.. lisu anakataa kupeleka agenda za kwenda kuongea na mh. Raiskwa Shibuda ambaye ni mkt wa vyama vya upinzani km nani? Ameshauriana na wenzake? Tukisema upinzani wa tz ni ovyo, TUNAMAANISHA.. masuala madogo km haya yanaishusha hadhi chadema mbele ya wananchi.
Ruzuku haitokani na akina Halima Mdee na wenzake bali inatokana na kura za wananchi walizoipigia Chadema.Hivi unafikiri mbowe anaweza kukataa ruzuku inayotokana na akina mdee? Kingine ndani ya chadema ni nani msemaji? Maana Lisu anajisemea na kuweka masharti ya kwenda kuonana na mh. Rais, mbowe yupo kmy, wala Mnyika ambaye ni KM naye kmy. Kabla ya kuanza kuropoka Lisu angejadiliana na viongozi wenzake ili wawe na msimamo moja.. lisu anakataa kupeleka agenda za kwenda kuongea na mh. Raiskwa Shibuda ambaye ni mkt wa vyama vya upinzani km nani? Ameshauriana na wenzake? Tukisema upinzani wa tz ni ovyo, TUNAMAANISHA.. masuala madogo km haya yanaishusha hadhi chadema mbele ya wananchi.
Hakuna mtu aliyekuwa na nguvu CCM kama Lowassa lakini alijiuzulu.Wewe huwajui CCM wewe. Speaker Ndugai ana wigo mpana wa kuwachachafya CHADEMA. To start with, anawesa kusema simply yeye anafanyia kazi barua aliyopokea. Kama CHADEMA wanasema ile ni fake, waende Mahakamani kufungua kesi ya jinai.
Speaker hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo
Hivi kwa kutumia common sense tu ya kawaida we unaona ni sawa kabisa Chadema kupeleka agenda zao kwa Shibuda? We unamjua Shibuda na historia yake?Hivi unafikiri mbowe anaweza kukataa ruzuku inayotokana na akina mdee? Kingine ndani ya chadema ni nani msemaji? Maana Lisu anajisemea na kuweka masharti ya kwenda kuonana na mh. Rais, mbowe yupo kmy, wala Mnyika ambaye ni KM naye kmy. Kabla ya kuanza kuropoka Lisu angejadiliana na viongozi wenzake ili wawe na msimamo moja.. lisu anakataa kupeleka agenda za kwenda kuongea na mh. Raiskwa Shibuda ambaye ni mkt wa vyama vya upinzani km nani? Ameshauriana na wenzake? Tukisema upinzani wa tz ni ovyo, TUNAMAANISHA.. masuala madogo km haya yanaishusha hadhi chadema mbele ya wananchi.
Una taka kusema Rais Samia hajui kilichotokea hadi wabunge hao wapo Mjengoni?Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa Bungeni atalazimika kujiuzulu.
Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni ubinafsi?
Je, J J Mnyika atafunguka?
Ngoja tuone.
Bado posho hajakamilika?Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa Bungeni atalazimika kujiuzulu.
Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni ubinafsi?
Je, J J Mnyika atafunguka?
Ngoja tuone.
Nakubaliana nawe kwa 100%Hivi kwa kutumia common sense tu ya kawaida we unaona ni sawa kabisa Chadema kupeleka agenda zao kwa Shibuda? We unamjua Shibuda na historia yake?
Badala ya kupeleka agenda kwa Shibuda azichuje ni bora na mkutano wenyewe usiwepo tu
So what?Hakuna mtu aliyekuwa na nguvu CCM kama Lowassa lakini alijiuzulu.
Unapokuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais unakuwa na nguvu kubwa by JK - Chato
Endelea kuwapa kinywaji cha asili akina Tarimo!So what?
Nadhani scenario mezani ni eti Speaker kuziuzulu baada ya akina Mbowe kwenda kulalamika kwa Mama. It will not happen. Mark this post.Hakuna mtu aliyekuwa na nguvu CCM kama Lowassa lakini alijiuzulu.
Unapokuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais unakuwa na nguvu kubwa by JK - Chato
Mwezi mtukufu na weweEndelea kuwapa kinywaji cha asili akina Tarimo!
Sure hawa ni wahujumu uchumi wakubwa wa nchi yetu kabisaJob atamaliza nngwe hii halafu hatagombea tena. Akigombea anaweza kushindwa na akishinda hatapata uspika. Busara ni kujistaafia na kula mafao mazuri tu ya uspika mstaafu.
Tulia hatapewa uspika. Akigombea ubunge kuna uwezekano mkubwa anaweza kushindwa. Akiteuliwa au akishinda hatapewa uspika maana Tulia=Job.
Amandla...