Hivi unafikiri mbowe anaweza kukataa ruzuku inayotokana na akina mdee? Kingine ndani ya chadema ni nani msemaji? Maana Lisu anajisemea na kuweka masharti ya kwenda kuonana na mh. Rais, mbowe yupo kmy, wala Mnyika ambaye ni KM naye kmy. Kabla ya kuanza kuropoka Lisu angejadiliana na viongozi wenzake ili wawe na msimamo moja.. lisu anakataa kupeleka agenda za kwenda kuongea na mh. Raiskwa Shibuda ambaye ni mkt wa vyama vya upinzani km nani? Ameshauriana na wenzake? Tukisema upinzani wa tz ni ovyo, TUNAMAANISHA.. masuala madogo km haya yanaishusha hadhi chadema mbele ya wananchi.