Ziara ya Mbowe Ikulu kama itakuwa ya kizalendo namuona Dr Tulia akikaimu Uspika na kuutwaa kabisa

Nadhani scenario mezani ni eti Speaker kuziuzulu baada ya akina Mbowe kwenda kulalamika kwa Mama. It will not happen. Mark this post.

Hayo mengine ya Lowassa kujiuzulu ni nje ya scope hii
Hakuna lisilowezekana ndani ya CCM labda kama wewe umezaliwa juzi.

Safu za uongozi zinapangwa kwa kutumia akili kubwa siyo kufukuzana kama Ufipa!
 
Kipindi hayo yanatokea Samia alikuwa makamu wa rais.
nashangaa mnapoumia kuwaona HAO wabunge bungeni badala ya kudai Haki yenu ya uchaguzi mliyodhulumiwa.
Yaani wizi wa kura na Kura FEKI Kwa chadema sio ishu wala hawapigi kelele ILA wao wanalia na HAO wabunge wafukuzwe [emoji16][emoji16][emoji16].
 
Hakuna lisilowezekana ndani ya CCM labda kama wewe umezaliwa juzi.

Safu za uongozi zinapangwa kwa kutumia akili kubwa siyo kufukuzana kama Ufipa!
Ni kweli hakuna linaloshindikana. Ila unless umezaliwa juzi, ni upotofu even to think of Speaker Ndugai ajiuzulu kwa kuwa akina Mbowe wataenda "kushitaki" kwa Mama namna Bunge lilivyohandle issue ya wale wabunge 19.

Samia keshakwambia yeye na late Magufuli ni kitu kimoja.
 
Kila zama na kitabu chake.

Kama mama amemkalisha Dr Bashiru kipenzi cha mwendazake sembuse Job wa ugogoni?!!

Kila zama na kitabu chake bwashee!
 
Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa Bungeni atalazimika kujiuzulu.

Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni ubinafsi?

Je, J J Mnyika atafunguka?

Ngoja tuone.
Barua ya CHADEMA kwenda kwa Mh. Rais wa Jamhuri wa Tanzania iliyo andikwa mwezi huu imesha pokelewa na kujibiwa
Ila barua ya CHADEMA kwenda kwa Spika wa bunge iliyo andikwa miezi kadhaa iliyo pita na kupokelewa na wafanyakazi wa bunge bado spika hajaiona..
Hii ndiyo Tanzania..
 
Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa Bungeni atalazimika kujiuzulu.

Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni ubinafsi?

Je, J J Mnyika atafunguka?

Ngoja tuone.
Naona humjui vizuri Rais wewe.
Umesahau kuwa Mh. Samia ndio alikuwa Makamu wa Rais wa JPM na Mbowe na Mnyika anawajua vizuri sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi unafikiri mbowe anaweza kukataa ruzuku inayotokana na akina mdee? Kingine ndani ya chadema ni nani msemaji? Maana Lisu anajisemea na kuweka masharti ya kwenda kuonana na mh. Rais, mbowe yupo kmy, wala Mnyika ambaye ni KM naye kmy. Kabla ya kuanza kuropoka Lisu angejadiliana na viongozi wenzake ili wawe na msimamo moja.. lisu anakataa kupeleka agenda za kwenda kuongea na mh. Raiskwa Shibuda ambaye ni mkt wa vyama vya upinzani km nani? Ameshauriana na wenzake? Tukisema upinzani wa tz ni ovyo, TUNAMAANISHA.. masuala madogo km haya yanaishusha hadhi chadema mbele ya wananchi.
Shibuda ni mwenyekiti wa matawi ya CCM na si mwenyekiti wa vyama vya upinzani?

Umeelewa?
 
Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa Bungeni atalazimika kujiuzulu.

Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni ubinafsi?

Je, J J Mnyika atafunguka?

Ngoja tuone.
Sasa hivi MATAGA mnahaha kama kuku wa mdondo, hamjui pa kushikilia. Mwendazake kawaacha yatima. Najua muda si mrefu nanyi waganga njaa mtapotea hapa.
 
Chama kisichokuwa na Mbunge kama vile NCCR hakiwezi kupata ruzuku...ata kama kulipigiwa Kura milioni 3...kama hakijashinda kiti cha ubunge ni hakipewi ruzuku
 
Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa Bungeni atalazimika kujiuzulu.

Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni ubinafsi?

Je, J J Mnyika atafunguka?

Ngoja tuone.
Mbowe ni mbinafasi?
 
Hivi rais ana mamlaka ya kumtengua spika?
 
Hivi unafikiri mbowe anaweza kukataa ruzuku inayotokana na akina mdee? Kingine ndani ya chadema ni nani msemaji? Maana Lisu anajisemea na kuweka masharti ya kwenda kuonana na mh. Rais, mbowe yupo kmy, wala Mnyika ambaye ni KM naye kmy. Kabla ya kuanza kuropoka Lisu angejadiliana na viongozi wenzake ili wawe na msimamo moja.. lisu anakataa kupeleka agenda za kwenda kuongea na mh. Raiskwa Shibuda ambaye ni mkt wa vyama vya upinzani km nani? Ameshauriana na wenzake? Tukisema upinzani wa tz ni ovyo, TUNAMAANISHA.. masuala madogo km haya yanaishusha hadhi chadema mbele ya wananchi.
Nawe utofautishe mtazamo binafsi na msimamo wa chama
 
Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa Bungeni atalazimika kujiuzulu.

Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni ubinafsi?

Je, J J Mnyika atafunguka?

Ngoja tuone.
Huo utamaduni wa kujiuzulu siyo wa kwetu, labda Mungu aamue tu mwenyewe! Lakini kwenye Bettina napo, hamna kitu mle!
 
Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa Bungeni atalazimika kujiuzulu.

Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni ubinafsi?

Je, J J Mnyika atafunguka?

Ngoja tuone.
Kama Rais SSH atasikiliza hoja za CHADEMA kuhusu ukiukwaji wa Katiba na Sheria ili kuwakandamiza, kuwaonea, KUWANYANYASA na kuwapiga CHADEMA nje na ndani ya Bunge basi wote Ndugai na Asiye Tulia Ackson watakuwa wamekalia kuti kavu Bungeni. Wote wamehusika kuwaingiza Covid-19 Bungeni na kuwakingia kifua kwa nguvu zote huku WAKIJUA KUWA KATIBA HAIRUHUSU MBUNGE YEYOTE KUINGIA BUNGENI KAMA HANA CHAMA.....!!!
Hawa Covid-19 WALISHAFUKUZWA UANACHAMA TOKA CHADEMA hivo hawapaswi kuwa Bungeni hata kwa nusu sekunde!!!
 
Wewe kwa akili zako ndogo unahisi Mbowe ataenda kuzungumza kuhusu habari za Covid wale,au kuhusu mambo yake binafsi???

Sahahu kuhusu Covid coz hule ni mpango wa siri wa Mbowe na Job .
 
Back
Top Bottom