johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
Kama ni mpango wa siri wa Mbowe na Ndugai wewe umeujuaje?!Wewe kwa akili zako ndogo unahisi Mbowe ataenda kuzungumza kuhusu habari za Covid wale,au kuhusu mambo yake binafsi???
Sahahu kuhusu Covid coz hule ni mpango wa siri wa Mbowe na Job .
Dr Tulia hausiki yeye hana mamlaka ya kumuapisha mbunge!Kama Rais SSH atasikiliza hoja za CHADEMA kuhusu ukiukwaji wa Katiba na Sheria ili kuwakandamiza, kuwaonea, KUWANYANYASA na kuwapiga CHADEMA nje na ndani ya Bunge basi wote Ndugai na Asiye Tulia Ackson watakuwa wamekalia kuti Bungeni.
Hahahaaaa...... Alifanya vizuri bunge la katiba!Huo utamaduni wa kujiuzulu siyo wa kwetu, labda Mungu aamue tu mwenyewe! Lakini kwenye Bettina napo, hamna kitu mle!
Nyie ujinga unawazidi, unatoka pande ipi aroo? Chato?Hivi unafikiri mbowe anaweza kukataa ruzuku inayotokana na akina mdee? Kingine ndani ya chadema ni nani msemaji? Maana Lisu anajisemea na kuweka masharti ya kwenda kuonana na mh. Rais, mbowe yupo kmy, wala Mnyika ambaye ni KM naye kmy. Kabla ya kuanza kuropoka Lisu angejadiliana na viongozi wenzake ili wawe na msimamo moja.. lisu anakataa kupeleka agenda za kwenda kuongea na mh. Raiskwa Shibuda ambaye ni mkt wa vyama vya upinzani km nani? Ameshauriana na wenzake? Tukisema upinzani wa tz ni ovyo, TUNAMAANISHA.. masuala madogo km haya yanaishusha hadhi chadema mbele ya wananchi.
Acha kujitoa ufahamu wewe!!!Kipindi hayo yanatokea Samia alikuwa makamu wa rais.
nashangaa mnapoumia kuwaona HAO wabunge bungeni badala ya kudai Haki yenu ya uchaguzi mliyodhulumiwa.
Yaani wizi wa kura na Kura FEKI Kwa chadema sio ishu wala hawapigi kelele ILA wao wanalia na HAO wabunge wafukuzwe [emoji16][emoji16][emoji16].
Pumbaaf....!!!Kama ni mpango wa siri wa Mbowe na Ndugai wewe umeujuaje?!
Kwani mama haujui ukweli?? au unataka kutueleza kuwa wakati hayo yakofanyika mama alikuwa kasafiri? Kama ww unajua ukweli na upo mbali na binge vipi kuhusu mama aliye kuwa karibu huko.Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa Bungeni atalazimika kujiuzulu.
Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni ubinafsi?
Je, J J Mnyika atafunguka?
Ngoja tuone.
Correct.....!!Shibuda ni mwenyekiti wa matawi ya CCM na si mwenyekiti wa vyama vya upinzani?
Umeelewa?
Kongole kwa comment yako....wengine hawajui wape darasa kiongoziRuzuku haitokani na akina Halima Mdee na wenzake bali inatokana na kura za wananchi walizoipigia Chadema.
Hizo nafasi ni za wananchi kupitia Chadema hivyo Halima Mdee na wenzake ni wahujumu uchumi, sema kibongobingo ndio wanadunda lakini hata hapo jirani Kenya hawa wasingethubutu kulisogelea bunge!
HanaHivi rais ana mamlaka ya kumtengua spika?
Kuwa Naibu wa Spika manake siyo ku-support kila kitu anachosema Spika. Huyu Kigagula amesomea Sheria tofauti na Ndugai aliyesomea kutibu Wanyama!Dr Tulia hausiki yeye hana mamlaka ya kumuapisha mbunge!
We jamaa kichwa chako kina chaji vizuri toka jamaa umeme ulete hitilafu.Ruzuku haitokani na akina Halima Mdee na wenzake bali inatokana na kura za wananchi walizoipigia Chadema.
Hizo nafasi ni za wananchi kupitia Chadema hivyo Halima Mdee na wenzake ni wahujumu uchumi, sema kibongobingo ndio wanadunda lakini hata hapo jirani Kenya hawa wasingethubutu kulisogelea bunge!
Hivi Ndugai sio mwanasheria?Kuwa Naibu wa Spika manake siyo ku-support kila kitu anachosema Spika. Huyu Kigagula amesomea Sheria tofauti na Ndugai aliyesomea kutibu Wanyama!
Je, alikuwa wapi kumshauri HUYU MGOGO wakti akipindisha Katiba na Sheria??
Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa Bungeni atalazimika kujiuzulu.
Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni ubinafsi?
Je, J J Mnyika atafunguka?
Ngoja tuone.
Ni bwana mifugo!Hivi Ndugai sio mwanasheria?
Unajuaje kama hakutoa ushauri ukakataliwa?!!Kuwa Naibu wa Spika manake siyo ku-support kila kitu anachosema Spika. Huyu Kigagula amesomea Sheria tofauti na Ndugai aliyesomea kutibu Wanyama!
Je, alikuwa wapi kumshauri HUYU MGOGO wakti akipindisha Katiba na Sheria??
Wewe ni zezeta usiyeweza kufikiri sawasawa.unazungumzia ruzuku mbowe anaweza kukataa? Kwani wakiwaondoa hao wapumbavu wenzenu zile nafasi 19 za chama zinapotea? Si watawateuwa wanaowataka wao na ruzuku itabaki palepale.jipunguzie uzezeta hata Kama Ni ngumu kwakoHivi unafikiri mbowe anaweza kukataa ruzuku inayotokana na akina mdee? Kingine ndani ya chadema ni nani msemaji? Maana Lisu anajisemea na kuweka masharti ya kwenda kuonana na mh. Rais, mbowe yupo kmy, wala Mnyika ambaye ni KM naye kmy. Kabla ya kuanza kuropoka Lisu angejadiliana na viongozi wenzake ili wawe na msimamo moja.. lisu anakataa kupeleka agenda za kwenda kuongea na mh. Raiskwa Shibuda ambaye ni mkt wa vyama vya upinzani km nani? Ameshauriana na wenzake? Tukisema upinzani wa tz ni ovyo, TUNAMAANISHA.. masuala madogo km haya yanaishusha hadhi chadema mbele ya wananchi.
Acha kujitoa ufahamu wewe!!!
Kila Mtz anajua NEC-CCM WALIIBA KURA MWAKA JANA 2020. Katiba ya CCM imetamka wazi kuwa TUME CHAGUZI CCM IKISHA TANGAZA HAKUNA KUHOJI.!! Wewe ulitaka CHADEMA wafanyeje?
Swala la WABUNGE WA VITI MAALUMU TOKA CHADEMA HAWAKUINGIA KIHALALI MJENGONI. Hapo kuna forgery au NYALAKA GHUSHI KUWAINGIZA HAO CORONA 19 BILA TARATIBU ZA KISHERIA NA WALISHA FUKUZWA UANACHA TANGU NOV, 2020.....!!! KWA SASA WANABEBWA NA SPIKA NDUGAI AMBAYE ANATAKIWA AIDHA AJIUZULU AU BUNGE LIMUNG'OE KWA KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NA SPIKA.....Full stop.
Ili wateule halali waingie bungeni.Sasa kama mlishawafukuza uanachama mnahangaika nao wa nini?