Ziara ya Nancy Pelosi nchini Taiwan ilitoa jibu

Ziara ya Nancy Pelosi nchini Taiwan ilitoa jibu

Sina haja ya kubishana na mfia china kobaaz kama wewe mwenye uelewa wa hapa na pale tena wa kuokoteza tena uelewa wenyewa wa kimaamuma.
Mkikosa hoja ndivyo mnavyoropokaga.
Mara mfia China mara mvaa kobaaz.
Kakae chini ujifunze kwanza uache blabbering.
 
,kama huyo USA asingekuwa anamuogopa Mchina kuna haja gani ya kuushikilia mgogoro kati ya China na Taiwan?
Mgogoro huo USA anautumia kama kete sababu amefanya calculations zake aakajua kuwa ipo siku China atahatarisha nafasi yake ya ukitanja wa Dunia-hivyo anatumia Taiwan kama kete ili China asifanikiwe.
Yaaaani Marekani anamzuia China asitawale dunia kupitia Taiwan? Are you serious? Huyo Taiwan ni strategic partner mkubwa wa Marekani... Marekani anaitumia Taiwan kama ambavyo wew unaitumia Zanzibar
 
Raisi Xi wa China alitoa vitisho kuhusiana na ziara ya bi Perosi nchini Taiwan. Wote tulisikia. Pamoja na vitisho vyote, Marekani wakapuuza, bi mkubwa akaingia Taiwan. Wote tuliona, mchana kweupe.

Wote tulifuatilia msafari wa bi Perosi. Ndege, meli za kivita zilikuwa zimeizunguka Taiwan, lakini Yule Bibi akaingia na kutoka kwa ujasiri na kejeli kubwa. Mchina aliishia kurusha mabomu baharini.

Marekani alikuwa anatufundisha kwamba MChina hana chochote kwake.

Taiwan bado imeshikiliwa na Marekani, wa China wanafanya drills miaka nenda rudi. Cha ajabu tunajizima data, HATUJIFUNZI.
MChina bado Sana, Sana, Sana. Ana miaka zaidi ya 200 na asipoangalia, hawezi kuitawala dunia.
tena Pelosi aliinga Taiwan na Airt Force One ndege ya Rais wa Marekani ili china akiamua kuangusha ndege ya rais iwe vita imetimia
 
Back
Top Bottom