ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Nisamehe mkuu, ushamba mzigo mzee!kwani umeambiwa ni pound? acha kudemka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisamehe mkuu, ushamba mzigo mzee!kwani umeambiwa ni pound? acha kudemka
Kushindwa kulipa bilioni 10 wakati ule haimaanishi wanashindwa kulipa sasa. Uchumi ni somo linalofundishwa darasani, ukiwaweka katika nafasi wachumi na wakapewa uhuru wa kufanya kazi bila ya siasa kuwaingilia tegemea matokeo chanya ya ukuaji wa uchumi.Zenji iliyoshindwa kulipa deni la tanesko la bilioni 10 hadi magu akawasamehe deni..je itaweza kulipa madeni makubwa hayo ya mabilioni ya pesa inayopewa kama mgao..kupitia mikopo ya jina la JMT.
Kubali ukatae zenji ni kupe tu...hawana faida katika muungano huu..kisayansi tunawaita parasite tena obligate.
#MaendeleoHayanaChama
Nchi hii ingejiwekeza katika wawekezaji wakubwa ambao wangesaidia kupatikana kwa ajira kwa wananchi na upatikanaji wa huduma za kijamii kwa gharama ndogo kuliko mikopo mikopo mikopo aaaaaah Mama badilisha mfumoUtiaji Saini wa Mikataba na Makubaliano hiyo unalenga kuendeleza Uhusiano kati ya Mataifa hayo mawili. Miongoni mwa Makubaliano hayo ni Mkataba wa Mkopo wa Masharti nafuu wa Euro Milioni 178 kwa ajili ya kugharamia mradi wa ujenzi wa barabara wa mabasi yaendayo haraka
Vilevile, Tanzania na Ufaransa zimesaini Mkataba wa Mkopo wa Masharti nafuu wa Euro Milioni 80 kuimarisha Benki ya Maendeleo ya Kilimo
Nchi hizo pia zimesaini tamko la dhamira ya kushirikiana katika Uchumi wa Buluu na Usalama wa Bahari
View attachment 2116841
Pundamilia na TwigaSerikali ya mikopo, misaada, mikopo, misaada.
Duniani hapa hakuna kitu cha bure, tuambiwe hao wanaotupatia mikopo sisi tumewapa nini ama tumewaruhusu kuchukua nini.
Sio tunaambiwa tu tumepewa misaada, hakuna misaada ya bure.
Mbowe amewaacha salama huko ufipa?Huyu Mama na CCM yake hawatatuacha salama.
Halafu wanafuikaji wa huo mkopo ndo utasikia nani kama mama sijui anaupiga mwingi sana mama178,000,000 £ ni sawa na 467,509,776,760.00 TSH. Hizi kwa serikali fisadi ninkuzigawa na kuzitafuna tu, mwisho hata hiyo BRT sijui ni phase gani haitakamilika kwa wakati.