Ziara ya Rais Traole wa Burkina Faso italeta kichocheo kwa Watanzania cha kuchukia utawala wa kifisadi unaogawa rasilimali za Taifa kwa wageni?

Waandishi wetu ambao wengi ni vilaza wamejiandaa kuwahoji na kuwapiga maswali wageni wanaokuja dar

Ova
 
Traole anaweza akaja na kuna mtu yupo hapo Dar hatojua kama Traole kaja,na hatojua Traole ni nani.
Watanzania na habari muhimu ni uso na kisogo
 
Sasa hilo jinga lina umaarufu gani, unashabikii upuuzi.
 
Kuthibitishia hadhira hii, kunithibitishia mimi, kuthibitishia wasiojua, kuthibitishia posterity, kujithibitishia wewe nwenyewe hapa.

Warumi 1 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁸ Kwa maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wa wanadamu waipingao kweli kwa uovu.
¹⁹ Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu aliwadhihirishia.
²⁰ Kwa sababu mambo yake yasiyoonekana tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake; yaani, uweza wake wa milele na Uungu wake; hata wasiwe na udhuru;
²¹ kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza.
²² Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika;
 
Huyo Mungu naye pia hujathibitisha kuwa yupo.
 
Wengi tuu,usijivue ubongo ujue. ama yamwagwe hapa usipo kimbilia kule mapangoni mwenu.
 
Traole anaweza akaja na kuna mtu yupo hapo Dar hatojua kama Traole kaja,na hatojua Traole ni nani.
Watanzania na habari muhimu ni uso na kisogo
Kuna ulazima gani wa.kujua? Mimi siwezi.kwenda kupoteza mda wangu kuangalia kibaraka wa Russia.
 
Bora hata hao ukienda mtajadiliana dili za hela sio Kwa hao mafukara
Naona majukumu aliyokuwa nayo Tlaatlaah na Luca & co umeyabeba rasmi acha wakapumzike baada ya kuangukia pua kwa jukumu walilokuwa wamekabidhiwa.
 
Naona majukumu aliyokuwa nayo Tlaatlaah na Luca & co umeyabeba rasmi acha wakapumzike baada ya kuangukia pua kwa jukumu walilokuwa wamekabidhiwa.
Walipewa majukumu gani na Mimi nafanya jukumu lipi kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…