Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikutoka kwenda wapi?Lissu kachochea mara kibao hukutoka!
Utakuta wanauliza umeoa? Wewe kama Mwislamu una wake wangapi?Waandishi wetu ambao wengi ni vilaza wamejiandaa kuwahoji na kuwapiga maswali wageni wanaokuja dar
Ova
ujinga kwa yupi. Kwako ambaye huzijui ama kwa yule anayezijua.Hazipo ni ujinga mtupu.
Anayezijua nini?ujinga kwa yupi. Kwako ambaye huzijui ama kwa yule anayezijua.
hizo powersAnayezijua nini?
Unaweza kuthibitisha zipo?hizo powers
Sasa hilo jinga lina umaarufu gani, unashabikii upuuzi.View attachment 3212449
Kuna watu maarufu ambao wamewahi kutembelea Tanzania, na kwa namna moja au nyingine kuwa chachu ya mwamko wa kisiasa nchini. Tumetembelewa na watu kama Fidel Castro, Che Guevara, Nelson Mandela, nk. Hata kama hawakuongea mengi wakiwa nchini, kuwapo kwao nchini kulileta hamasa na mwamko fulani ndani ya mioyo ya Watanzania juu ya kuwa na utawala wa haki na kuchukia utawala wa kifisadi usiojali kupoteza rasilimali za taifa na kuiweka nchi katika ukoloni mamboleo, mambo waliyoyapinga vikali.
Tanzania kwa sasa inazidi kuwa kinara wa utawala wa kifisadi unaokumbatia wageni na kuwajali zaidi ya wananchi katika nchi yao wenyewe. Sasa je, ziara ya Captain Ibrahimu Traole hapa Tanzania, italeta mwamko na msisimko wa kukataa utawala wa namna hiyo kwa Watanzania, kutia ndani na ndugu zetu wa JWTZ?
kumthibitishia naniUnaweza kuthibitisha zipo?
Kuthibitishia hadhira hii, kunithibitishia mimi, kuthibitishia wasiojua, kuthibitishia posterity, kujithibitishia wewe nwenyewe hapa.kumthibitishia nani
Kuthibitishia hadhira hii, kunithibitishia mimi, kuthibitishia wasiojua, kuthibitishia posterity, kujithibitishia wewe nwenyewe hapa.
Huyo Mungu naye pia hujathibitisha kuwa yupo.Warumi 1 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁸ Kwa maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wa wanadamu waipingao kweli kwa uovu.
¹⁹ Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu aliwadhihirishia.
²⁰ Kwa sababu mambo yake yasiyoonekana tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake; yaani, uweza wake wa milele na Uungu wake; hata wasiwe na udhuru;
²¹ kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza.
²² Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika;
Kuna ulazima gani wa.kujua? Mimi siwezi.kwenda kupoteza mda wangu kuangalia kibaraka wa Russia.Traole anaweza akaja na kuna mtu yupo hapo Dar hatojua kama Traole kaja,na hatojua Traole ni nani.
Watanzania na habari muhimu ni uso na kisogo
Unawajua usituzuge hapa.Kina nani hao?
Ila wa mwarabu,mchina na wengine upo tayari.Kuna ulazima gani wa.kujua? Mimi siwezi.kwenda kupoteza mda wangu kuangalia kibaraka wa Russia.
Bora hata hao ukienda mtajadiliana dili za hela sio Kwa hao mafukaraIla wa mwarabu,mchina na wengine upo tayari.
Naona majukumu aliyokuwa nayo Tlaatlaah na Luca & co umeyabeba rasmi acha wakapumzike baada ya kuangukia pua kwa jukumu walilokuwa wamekabidhiwa.Bora hata hao ukienda mtajadiliana dili za hela sio Kwa hao mafukara
Walipewa majukumu gani na Mimi nafanya jukumu lipi kwani?Naona majukumu aliyokuwa nayo Tlaatlaah na Luca & co umeyabeba rasmi acha wakapumzike baada ya kuangukia pua kwa jukumu walilokuwa wamekabidhiwa.